Wabunge wa upinzani kushutumiwa kuiba KURA ni sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa upinzani kushutumiwa kuiba KURA ni sahihi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DOMA, May 2, 2012.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wakuu mimi nimekuwa nikijiuliza kila siku kuhusiana na hili la wapinzani kushutumiwa kuiba kura wakati wa uchaguzi hivi ni sahihi? Kama waliiba waliibeje? Wakati wakurugenzi wote ni wa kwao, Polisi ya kwao, Takukuru wao, mahakama zao, mawakala waliweka, sasa hizo kura wapinzani wanaibeje? Mwenye data wakuu naomba anijuze ni jinsi gani wapinzani wanaiba kura, la sivyo itakuwa ni mfa maji haachi kutapatapa
   
Loading...