Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF baada ya badiliko la mawaziri lililopelekea aliyekuwa waziri wa viwanda na Biashara ndg Cyril Chami kutemwa,imedhihirika ripoti zote za CAG hazimtaji moja kwa moja ila ni...
3 Reactions
69 Replies
8K Views
Na Reginald Miruko - Imechapwa 02 May 2012 “SIKUTUMIA fedha kushinda ubunge wa Afrika Mashariki. Nitumie fedha za nini…utampa nani? Pale ukitoa pesa huchaguliwi, wabunge wataona unataka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
:director:Unajua watu wengi hawajui uongozi, mh mkuu wa wilaya amejiuzulu kuna tatizo gani? ? mf mwalimu watoto wameshindwa mitihani yao hujaachia ngazi unasubiri viboko? wewe ni mwalimu mkuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko Handeni, Tanga na ADC wana mkutano wao hapa. Doyo anasema baada ya kuondoka cuf hakujiunga na cdm au nccr kwasababu vyama vyote hivyo vina tabia zinazofanana na cuf. Anasema cuf iliwatimua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Chenge amekuwa ana chip in mara kwa mara katika mijadala hot na mara nyingi akiikosoa na kusahihisha hata lugha. Werema anatakiwa ajitahidi sana kwani naona kila mara anakuwa kama mtu mwenye hasira.
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Naomba msaada mwenye CV ya Mh ludovick,
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Wakuu huku karatu mida hii yupo Alphonce Mawazo akisaidia kuwavua magamba watu wa karatu, mkutano ni mkubwa sana na watu ni wengi mno, Mawazo anaongoza mashambulizi huku na anawachana magamba ile...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Sun, May 6th, 2012 Tanzania | Sun, May 6th, 2012un, May 6th, 2012 Fred Mpendazoe Lawyers representing Fred Mpendazoe have submitted a notice of appeal to the High Court. The appeal comes...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama kuu kanda ya tabora imetupilia mbali kesi ya ubunge wajimbo la shinyanga mjini iliyokuwa imefunguliwa na wapiga kura dhidi ya mh. Steven masele
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Mbunge mpambanaji Cecilia Pareso aliye apishwa hivi karibuni katika bunge lililopita huko Dodoma,leo ameandaliwa mapokezi makubwa wilayani Karatu,yanayoratibiwa na Baraza la Vijana la...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Upepo huu wa mabadiko ya wasomi wa Mafia hasa vijana unakuweka Mbali na utawala wa kisiwa Chetu. Utumiaji wa mitandao ya jamii na kuhamasihana ktk mabadiliko kunamuweka mbali mbunge weti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Abdul Karim Hussein has been based in Burundi for the past 16 years. He's been in Mpimba prison since January 12 By MIKE MANDE Posted Saturday, May 5 2012 at 12:47 A diplomatic row is...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni dhahiri sasa wana ccm wengi wana mkumbuka Nyerere,hasa pale Alipo waambia wana ccm kuwa Kikwete ni mdogo asubiri kwanza.wanamkumbuka sana na kujutia uteuzi wao kwa kumkabidhi jk Nchi sasa Nchi...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Habari kuwa mawaziri 7 waliopo katika baraza la mawaziri wa JK na wabunge 70 wameomba kuvalishwa magwanda ni ya kustua sana kwani inaweza kusababisha serikali kusambaratika. Hapa hoja yangu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Nimekuwa nafuatilia kwa karibu haya maendeleo ya mageuzi katika nchi yetu, kwa muda mrefu wengi wetu tumekuwa na dhana inayoelekea kuamini kuwa Mkuu wa Nchi plae jengoni, amekuwa 'catalyst'...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Prof. Mark Mwandosya & Dk. Ali Mohamed Shein ni mawaziri wasiokuwa na wizara malum ni uteuzi wa aina yake ambao haujawahi kutokea mahali popote pale Ulimwenguni.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumekuwa na msisitizo kuhusu kujiuzuru kwa Hosea and Jairo, lakini serikali imekuwa ililifumbia macho na masikio, ingawa sijui ni kwa maslahi ya nani ? Kama mawaziri na wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Send to a friend Saturday, 05 May 2012 21:19 *WAMO MAWAZIRI SABA, 10,000 WAKABIDHIWA KADI ARUSHA Peter Saramba, Arusha MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…