Na Maggid Mjengwa,
NIMEPATA kusimulia kisa cha kijana aliyehangaika sana kuusaka ukweli. Katika pitapita zake akaliona duka. Kibao kimeandikwa dukani; Hapa tunauza ukweli.
Dukani hapo...
Dear G8,
Posted on May 4, 2012 | 16 Comments
G8 leaders plan to launch a New Alliance to increase Food and Nutrition Security at the G8 Summit May 18-19...
Baada ya Mh. Jk kumpiga chini katika Baraza lake la Mawaziri. Chama Cha Mapinduzi katika jimbo lake la Sengerema kinamuandalia mapokezi ya kifalme hapo kesho, ambapo atahutubia mkutano mkubwa wa...
MAELEZO YA KATIBU MKUU
OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
(OWM-TAMISEMI)
Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, baadhi ya mafanikio yaliyopatikana
ni pamoja na:-...
Naomba ufafanuzi kwa wale wenye taarifa sahihi. Kila mwaka benki ya DCB hutoa gawio la 50% ya faida baada ya kodi.
Mwaka jana kulingana na document zilizokuwa published kwenye magazeti kama...
Tokea Nassari alipo-misspoke last week jukwaani kumekuwa na harakati za makusudi za ku-seize the moment na kujenga mlima kutokana na kichuguu. Japo sikuwa nimeafiki jinsi kauli ile ilivyokuwa...
Najua jimbo liko wazi baada ya mahakama kuu kutengua matokeo yaliyompatia ushindi bwana AESH HILARY wa CCM dhidi ya MWL.YAMISEBO wa CHADEMA.
Je,AESHI kisha kata rufaa au aliridhika na maamuzi...
Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM...
Habari zenu wakuu,
Kwa muda mrefu tu na imekuwa kama kawaida kuwaalika "wadau wa kimaendeleo" au "marafiki wa kimaendeleo" kuja nchini Tanzania kila kipindi cha uchaguzi na kupewa majina kama...
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Dk Benson Bana amesema uteuzi wa wakuu wa wilaya umelenga kuiimarisha CCM kutokana na vijana kupewa nafasi zaidi.
Alisema hizo ni dalili kwamba...
Kageshike na Nyalandu wanayo kazi kubwa sana ya kufanya katika wizara hii. Wizara hii inachangamoto nyingi sana
ambazo tunaweza kama kuelezea kuja vitabu na vitabu. Lakini zifuatazo tutajaribu...
Wana Bodi,
Sikiliza moja kwa moja kipindi cha Generali on Monday kupitia Arusha Mambo FM ambapo sasa hivi Mh, Zito Kable, Filikunjombe na Peter Selukamba wanajadili kilichojiri katika kikao cha...
Habari za uhakika kutoka manyoni zinatonya kuwa katibu mkuu wa umoja wa vijana wa ccm (uvccm) ndugu shigela amefanya mkutano wa hadhara eneo la majengo mjini manyoni, mkutano huo umehudhuriwa na...
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita amenukuliwa na Gazeti la Mwananchi akisema kwamba Mbunge wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania analipwa mshahara...
Ninavyofahamu uongozi ni nafasi pekee ya kuitumikia jamii kwa uwezo na hata mali ulizonazo kwa manufaa na maendeleo ya taifa,lakini kwa Tanzania ni sehemu ya kula mali za umma .kama wewe sio...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 11/05/2012 // Makala/Tahariri // No comments
Kalamu ya Jabir Idrissa
WAKATI tuliopo, hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuzuia watu kusema. Ni muhimu na...
Posted on May 10, 2012 by zanzibaryetu
Wanawake ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu wakisali sala ya pamoja iliyosaliwa katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja ambapo kesho sala kama hiyo...
Posted on May 11, 2012 by zanzibaryetu
Na Jabir Idrissa
WAKATI tuliopo, hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kuzuia watu kusema. Ni muhimu na haki kwa binadamu kusema anavyojisikia. Zama za...