Ahsante Mungu kwa kutupa Mh. Joshua Nassari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahsante Mungu kwa kutupa Mh. Joshua Nassari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gizakuu, May 11, 2012.

 1. G

  Gizakuu Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuna jambo Mwenyezi Mungu kawatendea haki kubwa Watanzania ni kwa kumleta kwetu Joshua Nassari ambaye kupitia kwake katufunulia TRUE COLOUR YA CHADEMA, chama nilichodhani ni mbadala wa CCM kumbe nilikuwa nataka kuwaamini makanjanja wa kisiasa!

  Mwenyezi Mungu katuletea Nassari kufunua siri ya ubaguzi wa kutisha wa CDM! Basi tena nimeahirisha kuhamia CDM ngoja nitafute chama kingine maana CCM nao wameshindwa kuvuana magamba. Tafisiri rahisi ya maneno ya Nassari ni kuwa kuwapa nchi CDM ni kuwapa watu vichaa wa kaskazini. Hili halivumiliki! Dr. Slaa tunakuamini toka umkane Nassari maana WANADAI UMEMTUMA!
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  payroll ya nape inaongeza watu kupitia Nassari ...dah ...piga domo mkuu ...ni mali yako
   
 3. M

  Mkaya Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fanya utafiti wa kutosha juu ya hili nadhani itakusaidia kupata majumuisho unayoyapendekeza kuyafanya; go back to a draw board

   
 4. M

  Mkaya Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama uko sahihi.
   
 5. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Atasalimika kweli na kesi yake ya kutoa kauli ya uhaini?

  Punde unaweza kukosa mbunge kama wanasheria watakomaa
   
 6. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nassari a news maker!!

  Who owns Tanzania media houses?? Joshua Nassari!!

  Magazeti, tv, radio za hovyo zina manipulate suala hili kwa kudhani litaiokoa CCm na gharika hii..

  Tulieni mnyolewe, M4C, haina huruma!!
   
 7. G

  Gizakuu Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh bluetooth kumbe bado dawa za kurefusha maisha zinakutunza?!! Hivi nilisikia Padri Slaa kafuta yale malipo ya kuitukana CCM , kumbe bado?!! Mgao pls!
   
 8. G

  Gizakuu Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh bluetooth kumbe bado dawa za kurefusha maisha zinakutunza?!! Hivi nilisikia Padri Slaa kafuta yale malipo ya kuitukana CCM , kumbe bado?!! Mgao pls!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nassari sijui kafikia wapi kwenye ahadi yake ya kushusha sukari bei kule Arumeru.
   
 10. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Hakuna kesi hapo labda kwa kuwa DPP sio mwanasheria ni politician anaweza toa uamuzi kumfurahisha bosi,hata ikiwa hivyo maybe itapata judge amabye ni reasonable na hana political hypocricy na atakuwa fair.In fact kauli za wanasiasa kwenye majukwaa ku zi convert into criminal liability ni kazi,mfano someni kesi kama ya Mtikila ya Mbeya ambayo alishitakiwa kwa kutumia lugha za matuis,pia Mtikila amewahi kufunguliwa kesi nyingi za aina hiyo na hazikufika popote.Mfano tu wa Kawaida,kama mwanasiasa katika hotuba yake akisema: MWEZI HUU NITAHAKIKISHA NATUMIA TEKNOLOJIA ZOTE NILISHUSHE JUA CHINI ILI NIICHOME NCHI HII KWANI IMEJAA MAFISADI. Je ni kitu kinawezekana?Je unaweza kumpeleka mahakamani kwa kosa la kutishia kuchoma nchi?Mfano huo hauna tofauti na kauli ya Nassari,ni misemo tu inayotumika kuelezea Hisia lakini haina madhara yoyoye na haitekelezeki.Kesi nyingine ni wastage of resources na zinasaidia kuwapa walioshitakiwa umaharufu usio na maana.Msisikiklize mijadala ya watu kama Kibonde ambao upeo wao wa ufahamu ni mdogo sana,sana sana wanaweza kujdili vitu vidogo vidogokama Maisha ni nyumba etc
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,781
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Dogo Janja a.k.a Nassari kawasaidia wana-CCM walau mnavuta posho za kuzunguka Tz nzima kufanya mikutano ya kumjibu Nassari.
  Namshauri Nape oporesheni hii muipe jina la OPERESHENI NASSARI.
   
 12. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wewe ni Gizakuu, uendelee kuwa Gizakuu hivyo hivyo, Mungu hasikilizi sala za kinafiki, wewe ni hovyo kweli kweli, unamweleza nani maneno ya kijinga hayo? Nyambafu!
   
 13. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwa lipi sasa
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nepi at work
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Chadema hatuhitaji watu wasiotumia akili yao vizuri kama wewe, hasa unayejiita gizakuu. Tutakukaribisha siku utakapojitambua na kukimbilia nuruni. Na hizi propaganda mnazojaribu kuzieneza haziwezi kamwe kuinusuru ccm na kifo.

  Mizengo Pinda kafikia wapi na agizo la kushusha bei ya sukari isiuzwe zaidi ya sh.1,700/-? Kikwete amefikia wapi na ahadi zake 96 ikiwemo ya kuigeuza kigoma kuwa dubai?
   
 16. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  GIZAKUU,Kweli upo gizani pole sana,subiri tukikomboa nchi na wewe utakuwemo kwenye kundi litakalo nufaika na ukombozi ngoja sisi tuwe mbele kwenye mapambo.
  Mwl Nyerere aliwaikutoa speech ambaye baadae ilim-cost hadi serikali ya wakoloni ikamfikisha mahakaman lakin at the end of result tanzania ikapata uhuru kwanguvu ya nyerere,hadi leo tz imetekwa na mafisadi had leo wananch tunateseka huku watu wachache wakinufaika.MUNGU IBARIKI CHADEMA
   
 17. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Id yako na ulichoandika! Mhhhh! Naona hakuna tofauti sidhani kama hata kwenye secondary ya kata umepitia.
   
 18. b

  betty marandu JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  Baba yako kafikia wapi na maisha bora kwa kila mtanzania?Toa kwanza uchafu kwenye jicho lako ndipo utaona uchafu wa jicho la mwenzio.Nasari ubunge kapata lini hadi awe ameshatimiza ahadi yake?kazi ipo.
   
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Safi sana mkuu Gizakuu, kuna watu wana mahaba yaliyovuka mpaka kwa Chadema, yaani hata kama viongozi wao wakikosea inakuwa walikosea kutokana na mazingira flani flani, ila wakikosea viongozi wa Ccm, maneno kama vilaza, majuha, n.k yanatawala.
  .
  "AMA KWELI VYAMA VYA SIASA NI SAWA NA DINI, KILA MMOJA HUVUTIA KWAKE".
   
 20. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,772
  Likes Received: 2,675
  Trophy Points: 280
  Litakuwa jambo la ajabu sana wanaCCM wakizunguka nchi nzima kumzungumzia Nassari wakati wale "mawaziri " wanaotuhumiwa wizi hawajashughulikiwa, Pia na kama pia watashidwa kuzungumzia jinsi namna Serikali yao itakavyookoa wananchi kutoka katika balaa la mfumuko wa bei.
   
Loading...