Uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Sumbawanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Sumbawanga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, May 11, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Najua jimbo liko wazi baada ya mahakama kuu kutengua matokeo yaliyompatia ushindi bwana AESH HILARY wa CCM dhidi ya MWL.YAMISEBO wa CHADEMA.

  Je,AESHI kisha kata rufaa au aliridhika na maamuzi ya mahakama na kuwa sasa NEC inasubiriwa kutangaza rasmi kuwa jimbo liko wazi?

  Naomba mwenye taarifa kamili amwage hapa jamvini.
   
 2. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jimbo liko mikononi mwa CDMvuta subira mkuu ni suala la muda tu
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Funguka zaidi mkuu usinirushe roho...vipi jamaa hakukata / hatakata rufaa??
   
 4. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kakata rufuu mkuu
   
 5. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rekebisha basi!
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  unakimbilia wapi kwa nini usicheki spelling zako?? rufuu ni kitu gani??wewe nawe great thinker??
   
 7. m

  mjuaji Senior Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees.sweki
   
Loading...