Mboni M. Mgaza... Mboni Mhita Mgaza? DC - Mkinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mboni M. Mgaza... Mboni Mhita Mgaza? DC - Mkinga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BUBBA, May 10, 2012.

 1. B

  BUBBA Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mboni M. Mgaza Dc wa Mkinga ndio Mboni Mhita?
   
 2. B

  Brigedia Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa nyumbani kwaa ni kijiji cha Mkuzi kule Muheza na anatokea Ukoo wa Chief Mang'enya ambaye mtoto wake mmoja Meja Jenerali Mang'enya aliwahi kuwa speker wa bunge na alifariki hivi karibuni na kuzikwa kwao Muheza.............
   
 3. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hapana huyu sio Mboni Mhita mkuu! ni majina tu!
   
 4. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Je huyu si Mboni Masimba a.k.a Kim Kadashan humu?
   
 5. F

  Froida JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mboni m.Mgeza ni mke wa Dr Kiwehwele anafanya kazi wizara ya maendeleo ya jamii idara ya watoto ni muhitimu wa chuo kikuu,baba yake Mboni wamewahi kufanya kazi na Kikwete undungu wa mbali hivi
   
 6. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nisingeshangaa kwa mkulu wetu kumchagua huyu, sioni tofauti yake yoyote na Lucy Mahyenga!!
   
 7. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  "Mboni Masimba a.k.a Kim Kardashan humu" nahisi una-uncover ID za watu ndugu!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tunasubiri tu ukweli wa mambo.
   
 9. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Mbna thread siielewi?
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,613
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Mkubwa hapo kwenye red umechapia, aliyewahi kuwa speaker wa bunge ni Chief Erasto Mang'enya na alifariki miaka mingi iliyopita.
   
Loading...