Kwanini Wazungu wanatusimamia Uchaguzi wetu?

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
Habari zenu wakuu,
Kwa muda mrefu tu na imekuwa kama kawaida kuwaalika "wadau wa kimaendeleo" au "marafiki wa kimaendeleo" kuja nchini Tanzania kila kipindi cha uchaguzi na kupewa majina kama "International Observers". Kwanini hawa watu wanakuja kutusimamia? Je, wao hutuita kwenya kufanya "international observing" kwenye nchi zao pindi wanafanya uchaguzi? Kama huwa tunaenda je sisi huwa tuna sauti kama wao walivyo na sauti kwetu? As far as our history is concerned, I believe this is a form Inferiority complex on what we do OR we just put them way higher than they should. Tunawatukuza sana ndio maana wanatuletea masharti ya ajabu ajabu. Perhaps I'm wrong but sidhani it is really of necessity for them to be supervising us. I thought we gained independence.
 
Tatizo letu weusi tunaamini wazungu ni ndugu wa malaika na Mungu nae ni mzungu, na pia tunaambiwa eti MTU HUYU NI CHAGUO LA MUNGU
 
Tume ya uchaguzi inawaalika kama independent observers, mwisho wa siku tunataka uchaguzi uwe huru na wa haki.
 
Sisi huwa tunaalikwa kwenda kwao? Au sisi "hatuna mchango"? Just curious.
 
Habari zenu wakuu,
Kwa muda mrefu tu na imekuwa kama kawaida kuwaalika "wadau wa kimaendeleo" au "marafiki wa kimaendeleo" kuja nchini Tanzania kila kipindi cha uchaguzi na kupewa majina kama "International Observers". Kwanini hawa watu wanakuja kutusimamia? Je, wao hutuita kwenya kufanya "international observing" kwenye nchi zao pindi wanafanya uchaguzi? Kama huwa tunaenda je sisi huwa tuna sauti kama wao walivyo na sauti kwetu? As far as our history is concerned, I believe this is a form Inferiority complex on what we do OR we just put them way higher than they should. Tunawatukuza sana ndio maana wanatuletea masharti ya ajabu ajabu. Perhaps I'm wrong but sidhani it is really of necessity for them to be supervising us. I thought we gained independence.

Ohoooo! Shauri yako, Kumbe unaamini inji iko CHINI ya Jk eeh! They are the ONE whO run this world my friend. No mAtter what huo ndio ukweli wenyewe na kamwe hatuwezi kuwazuia....labda baada ya miongo kadhaa mbele.
 
Kuna mtu aliulizwa kati ya mzungu na mama yako unampenda nani?? akajibu nampenda mzungu.
 
Ohoooo! Shauri yako, Kumbe unaamini inji iko CHINI ya Jk eeh! They are the ONE whO run this world my friend. No mAtter what huo ndio ukweli wenyewe na kamwe hatuwezi kuwazuia....labda baada ya miongo kadhaa mbele.

Sidhani ni sahihi kusema kamwe hatuwezi kuwazuia. Partially correct.
 
Bajeti yetu inawategemea wao,kwa sababu ya ulofa wetu,ni dhahiri uwaite usiwaite watakuja tu.Laiti tungejikakamua kiuchumi wangetuwekea heshima.Maadamu tunazidi kuomba omba hata vile ambavyo viko ndani ya uwezo wetu,ipo siku wataunda Berlin Conference 1884 part 2.
 
mimi naona mambo makubwa matano:
1.Sisi tunaonekana kuwa wanafunzi wa demokrasi kwa uhalisia mkubwa tu.Ndiyo maana kule UK au USA unaweza kusema Cameron au Obama anafikiri kwa makalio na hutasumbuliwa na polisi wala usalama wa viongozi wa taifa.Hatujakomaa na kweli tutahitaji usimamizi
2. Tuna tabia ya omba omba na kwa hali hiyo kama uliomba pesa ukasema unafanyia uchaguzi lazima waje kuona matumizi halisia ya pesa yao isijekuwa yaleyale ya ufisadi mkafanya hata uchaguzi hewa,iwapo mnathubutu kununua dawa au chakula hewa
3.Wengine wamewekeza hapa kwa hali hiyo wanajitahidi kujiingiza into king-making wakiwatumia waitwao waangalizi na hata mabibi zao waliuoko ndani kushadidia haki ya kiini macho ili wanayemtaka aingie madarakani.
4 Exploration ya kiuchumi pia inafanyika wakati huo huo. Tatizo letu wengi hatufikiri nje ya box.ukienda UK unasoma shahada fulani unafaulu unarejea DAR.Wao wenzenu akisimamia au kuangalia uchaguzi anajenga mtandao mahusiano na maelewano ya faida kwa siku zijazo
5 Hata hivyo chaguzi za Zimbabwe,Kenya Guinea Bissao na hata Tanzania ,kwa maana ya vituko,uharamia na ubabaishaji, mauaji na balaa zinginezo ni sababu tosha kwa wenye mapenzi mema kutusimamia
 
Habari zenu wakuu,
Kwa muda mrefu tu na imekuwa kama kawaida kuwaalika "wadau wa kimaendeleo" au "marafiki wa kimaendeleo" kuja nchini Tanzania kila kipindi cha uchaguzi na kupewa majina kama "International Observers". Kwanini hawa watu wanakuja kutusimamia? Je, wao hutuita kwenya kufanya "international observing" kwenye nchi zao pindi wanafanya uchaguzi? Kama huwa tunaenda je sisi huwa tuna sauti kama wao walivyo na sauti kwetu? As far as our history is concerned, I believe this is a form Inferiority complex on what we do OR we just put them way higher than they should. Tunawatukuza sana ndio maana wanatuletea masharti ya ajabu ajabu. Perhaps I'm wrong but sidhani it is really of necessity for them to be supervising us. I thought we gained independence.
Mkuu KUJITAWALA ni neno pana sana na ni vigumu sana. Inahitajika upeo wa kufikiri na ustaarabu wa hali ya juu. Hii kitu KUJITAWALA ndio imetushinda kabisa sisi waafrika. Kila tunachofanya lazima tugeuze macho kuangalia wazungu kama wanatuona au hawatuoni. Akili zetu hazina tofauti na za watoto wa miaka mitano ambao hawezi kufanya mambo bila usimamizi wa watu wazima.
 
Back
Top Bottom