Tanzania ukipata umeula

sabas matata

Member
Apr 3, 2012
34
6
Ninavyofahamu uongozi ni nafasi pekee ya kuitumikia jamii kwa uwezo na hata mali ulizonazo kwa manufaa na maendeleo ya taifa,lakini kwa Tanzania ni sehemu ya kula mali za umma .kama wewe sio kiongozi wa ngazi yeyote wdwe haujaula.
 
Back
Top Bottom