Ubadhilfu katika halmashauri za wilaya unaofanywa na wakurugenzi wa halmashauri ni moja ya mafanikio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubadhilfu katika halmashauri za wilaya unaofanywa na wakurugenzi wa halmashauri ni moja ya mafanikio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mussa Loth, May 11, 2012.

 1. M

  Mussa Loth Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  [FONT=&quot]MAELEZO YA KATIBU MKUU[/FONT]
  [FONT=&quot]OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA[/FONT]
  [FONT=&quot](OWM-TAMISEMI)[/FONT]
  [FONT=&quot]Katika kipindi cha miaka 50 iliyopita, baadhi ya mafanikio yaliyopatikana[/FONT]
  [FONT=&quot]ni pamoja na:-[/FONT]
  • [FONT=&quot]Kuweka misingi na kuongeza kasi ya kupeleka madaraka kwa wananchi[/FONT]
  [FONT=&quot]kwa maana ya madaraka ya kisiasa, madaraka ya kusimamia watumishi,[/FONT]
  [FONT=&quot]madaraka ya kusimamia fedha na mabadiliko ya mahusiano kati ya[/FONT]
  [FONT=&quot]Serikali Kuu na Serikali za Mitaa kupitia Mpango wa Uboreshaji wa Mfumo[/FONT]
  [FONT=&quot]wa Serikali za Mitaa[/FONT]
  • [FONT=&quot]Kujenga misingi ya Utawala Bora katika ngazi ya Serikali za Mitaa na[/FONT]
  [FONT=&quot]kueleweka kwa wananchi kiasi cha kuanza kujua haki na wajibu wao na[/FONT]
  [FONT=&quot]Halmashauri kutambua umuhimu wa kuwajibika kwa wananchi na ulazima[/FONT]
  [FONT=&quot]wa kuwa wazi katika kuendesha shughuli za Halmashauri.[/FONT]
  • [FONT=&quot]Kutokana na elimu ya uraia kuhusu wajibu na umuhimu wa wananchi[/FONT]
  [FONT=&quot]kushiriki katika shughuli za maendeleo, ari yao katika kutekeleza shughuli[/FONT]
  [FONT=&quot]zinazohusu maendeleo yao ikiwa ni pamoja na Mpango wa Maendeleo ya[/FONT]
  ·[FONT=&quot] [/FONT][FONT=&quot]Kuongezeka kwa raslimali fedha zinazopelekwa katika Mamlaka ya[/FONT]
  [FONT=&quot]Serikali za Mitaa kwa kuzingatia vigezo vya usawa na hivyo kuimarisha[/FONT]
  [FONT=&quot]viwango vya utoaji huduma[/FONT]
  [FONT=&quot]Source:[/FONT] [FONT=&quot]http://www.tanzania.go.tz/wizara/tamisemi.pdf[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Hivi karibuni imethibitika kuwa Halmashauri nyingi ambazo zilipelekewa fedha za miradi zimetafunwa na wenye meno na kwa mujibu wa taarifa ya miaka 50 iliyotolewa KM-TAMISEMI, taarifa hii inaashiria nini kwa Umma wa watanzania kuhusu taarifa za serikali?[/FONT]
  [FONT=&quot]Kwa mujibu wa sheria za Tanzania wabunge ni madiwani pia, je madudu yaliyo na yanayofanywa na wakurugenzi wa halmashauri wabunge walipaswa kuyaona wakiwa bungeni?[/FONT]
  [FONT=&quot]mambo haya ya ubaadhilifu wa fedha za umma yalipaswa kuonwa na wakaguzi wa ndani kwanza kabla ya CAG au chombo kingine chochote je, kuna haja ya kuwachukulia hatua wakaguzi hawa kwa kutowajibika au kwa kushirikiana kuficha na kula fedha za umma na watuhumiwa.[/FONT]
  [FONT=&quot]Nini kifanyike?[/FONT]
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Pesa mkuu inaliwa serikali kuu,hizo za halmashauri ni vidagaa kujikosha!wizara ya afya,maliasili watu wanaiba mamilions
   
Loading...