Kwanini idadi kubwa ya watu wanatamani jambo "baya" litokee CCM?

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,174
Reaction score
2,814
Ukisoma mitandaoni, ukisikiliza maongezi ya watu waliowengi wanaongea mambo mabaya mabaya kuhusu CCM na viongozi huku wakionyesha kuwa watafurahi pale litakapowakuta la kuwakuta hasa hasa kwa baadhi ya viongozi

Ukiangalia namna watu walivyolipokea swala la Pole Pole "kujidhuru"(kule sio kujiuzuru) kwa yale maandishi yake utaelewa nachokisema.

Ukiangalia humu Jf watu wanavyohoji ukimya wa kiongozi taasisi kwa siku hizi kadhaa ikiwemo sikukuu ya 7*7 utaelewa nachokisema?

Kwanini haya yanatokea? Inamaana viongozi wenyewe hawaoni kama ni hatari watu wanaowaongoza kuanza kuwaombea mabaya viongozi wao?
 
Ukisoma mitandaoni, ukisikiliza maongezi ya watu; vijana kwa wazee, wanawake kwa wanaume wanapojadiliana mambo mabaya mabaya kuhusu CCM na viongozi wake serikalini huonyesha kutamani liwakute la kuwakuta hasa hasa kwa baadhi ya viongozi

Hili si la kupuuza, majasusi wanatakiwa watafute majawabu.

Ukiangalia namna watu walivyolipokea swala la Pole Pole "kujidhuru" kwa yale maandishi yake utaelewa nachokisema.

Ukiangalia humu Jf watu wanavyohoji ukimya wa kiongozi taasisi kwa siku hizi kadhaa ikiwemo sikukuu ya 7*7 utaelewa nachokisema?

Kwanini haya yanatokea? CCM na viongozi wenyewe hawaoni kama ni hatari?
Kwasababu ni matapeli
 
Ukisoma mitandaoni, ukisikiliza maongezi ya watu waliowengi wanaongea mambo mabaya mabaya kuhusu CCM na viongozi huku wakionyesha kuwa watafurahi pale litakapowakuta la kuwakuta hasa hasa kwa baadhi ya viongozi

Ukiangalia namna watu walivyolipokea swala la Pole Pole "kujidhuru"(kule sio kujiuzuru) kwa yale maandishi yake utaelewa nachokisema.

Ukiangalia humu Jf watu wanavyohoji ukimya wa kiongozi taasisi kwa siku hizi kadhaa ikiwemo sikukuu ya 7*7 utaelewa nachokisema?

Kwanini haya yanatokea? CCM na viongozi wenyewe hawaoni kama ni hatari?
NANI ANAMPENDA SHETANI? SHETANI TUNAMCHUKIA NA MABO YAKE YOTE
 
Upo sahihi kabisa.....! Ukitaka kujua hili swala lilivyo serious kiongozi mkuubwa kabsa wa nchi yetu apate ajali ndo utajua wa Tanzania wana chuki kiasi gani.
Au hata waziri wa Tamisemi apate ajali utaona comments za wa Tanzania walivyo vurugwa
 
Wakipatwa na mabalaa itakuwa furaha yetu sana kwa sababu wamegeuka kuwa wakoloni weusi wa kutesa na kuua raia kisa polis IPO chini Yao.
 
Naichukia ssm na namchukia zaidi zaidi ssh wao nitafurahi na ninaombea sana amfuate mwenda zake kwa aibu kubwa. Atakayemnyoosha Mungu atamsamehe maana anatesa viumbe wake wasio na hatia laana iwe juu yake kahaba huyu milele
 
Ukisoma mitandaoni, ukisikiliza maongezi ya watu waliowengi wanaongea mambo mabaya mabaya kuhusu CCM na viongozi huku wakionyesha kuwa watafurahi pale litakapowakuta la kuwakuta hasa hasa kwa baadhi ya viongozi

Ukiangalia namna watu walivyolipokea swala la Pole Pole "kujidhuru"(kule sio kujiuzuru) kwa yale maandishi yake utaelewa nachokisema.

Ukiangalia humu Jf watu wanavyohoji ukimya wa kiongozi taasisi kwa siku hizi kadhaa ikiwemo sikukuu ya 7*7 utaelewa nachokisema?

Kwanini haya yanatokea? CCM na viongozi wenyewe hawaoni kama ni hatari?
Alafu jambo la hatari hata walio ndani wa naomba hvohvo🙄🙄
 
Chama kinacho uza bandari kwa malipo ya pikipiki, baiskeli, tshirt na mabango hata ungekuwa wewe utakiombea nini..............!
 
Laana na iwe juu ya ccm na viongozi wake wote,
Shetani hakumbatiwi
 
Back
Top Bottom