Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

GT CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga...
3 Reactions
6 Replies
397 Views
Kama kuna Wizara ambayo imeshindwa kazi hapa mkoani na Jiji la Dar es salaam ni wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano. Nadiriki kusema Wizara hii imejaza vilaza walioko katika utendaji, kuanzia...
20 Reactions
76 Replies
3K Views
Wakuu, Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa vijana wahakikishe kwamba...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya...
2 Reactions
6 Replies
332 Views
Wakuu, Akizungumza Akizungumza jana Julai 12, 2025 kwenye kongamano kubwa la vijana lililofanyika Viwanja vya Kanisa Kuu la KKKT Usa River Arusha, Mchungaji Kimaro amesema kuwa Jeshi La Polisi...
1 Reactions
12 Replies
643 Views
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha...
5 Reactions
24 Replies
955 Views
Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja. 1. Bashiru Ally 2. Polepole 3. Ndugai 4. Makonda 5. Afande Sirro Historia ya Tanzania...
25 Reactions
87 Replies
4K Views
Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha...
2 Reactions
16 Replies
662 Views
Kikosi kiwe namna hii. 1. Dr Philip Mpango 2. Simbachawene 3. Mpina 4. Sugu 5. Job Ndugai 6. Dr Bashiru Alli 7. Halima Mdee 8. Josephat Gwajima 9. Kassim Majaliwa 10 Freeman Mbowe 11. Humphrey...
1 Reactions
16 Replies
976 Views
Wasalaam. Mwaka 1995 Baba wa taifa hayati mwl J.K. Nyerere akiwahutubia wajumbe wa CCM alisema, nanukuu "CCM inapomtangaza mgombea urais katika uchaguzi wa rais, ni kwamba wanamtamka rais ajae wa...
1 Reactions
2 Replies
601 Views
"He killed my ma, he killed my pa, but I will vote for him.".... kwa tafsiri isiyo rasmi inamaanisha "Alimuua mama yangu, alimuua baba yangu, lakini nitampigia kura" Hiyo ni kauli maarufu ya...
1 Reactions
11 Replies
647 Views
Top 10 ya nchi zenye akiba kubwa ya gesi ya helium duniani Tanzania ipo nafasi ya 6 1. Marekani – 20 bilioni m³ 2. Qatar – 10.1 bilioni m³ 3. Algeria – 8.2 bilioni m³ 4. Urusi – 6.8 bilioni m³...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Ukiona jina la mbunge limerudi moja ujue huyo ni chaguo la Rais au tumwite mwenyekiti wa Chama. Vikao vya chini sijui kamati ya siasa ya wilaya au mkoa michakato yao haitambuliki popote. Rais...
6 Reactions
8 Replies
955 Views
"Sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za Chama Cha Mapinduzi CCM upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonesha hatari ya...
0 Reactions
2 Replies
346 Views
Petro Daniel Ntagira, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), ametangaza rasmi nia ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Iyunga, Jijini Mbeya...
0 Reactions
3 Replies
410 Views
Tumepigwa sana Watanganyika Itoshe kusema, tunahitaji kuungana watangayika kuitetea Tanganyika yetu na kukemea dhuluma kwa watangayika wenzetu popote pale walipo
4 Reactions
22 Replies
899 Views
Na Mwandishi WETU HUMPHREY POLEPOLE anafahamika kwa harakati zake kupambana na watu anaowaita wahuni; akimaanisha watu wasiofuata taratibu katika uongozi. Amewahi kuwa Katibu wa Chama Cha...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
Sijui niseme ni tukio la aina gani kufurahisha au kuchukiza au ni kukosa elimu kwa ofisi uliopewa. Naam tukio hili linamhusisha wazir wa ulinzi wa JAMHURI YA MUUGANO TANZANIA ndug Stergomena Tax...
4 Reactions
8 Replies
604 Views
Huyu mtu ndio alikua akitamba kwa "vieite", alikua yupo madarakani ulipofanyika uchaguzi wa serikali wa mitaa uliokua wa hovyo sana na wapinzani kukatwa, alikua yupo kwenye uongozi uchaguzi wa...
14 Reactions
91 Replies
3K Views
Wapo wanaosema kwamba ukimwona nyoka amevaa magamba mapya, usidhanie kuwa ameacha sumu. Wapo pia wanaoamini kuwa hata simba, akiwa amejeruhiwa, huanza kufikiria kula nyasi, si kwa sababu anapenda...
8 Reactions
13 Replies
654 Views
Back
Top Bottom