Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila...
2 Reactions
9 Replies
460 Views
Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
GT Ni wazi polepole ni moja ya wale walioshiriki kuminya demokrasia nchini. Lakini hilo halimuondolei.uhalali na haki ya kutubu na kuyaacha ya zamani na kuanza ukurasa mpya. Kwa hiyo mwacheni...
2 Reactions
8 Replies
512 Views
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii tarehe 7 - 13 Julai, 2025.
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Huo Wimbo uliimbwa na Sedekia ambaye alifariki akiwa nchi Takatifu ya Israel katika kazi ya kumtumikia Mungu wa mbinguni Wimbo uko ukurasani kwake Insta Mlale unono 🙏🇹🇿🇮🇱
1 Reactions
2 Replies
349 Views
Friends and our Enemies, Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni. POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
"Siku hizi wanaruka na helkopta, inaonekana ile Helkopta wamepewa na serikali. Sisi tunaoruka na helkopta CHAUMMA leo ndiyo tulikuwa tunaruka na Helkopta Chadema mwaka jana, mwaka juzi mpaka mwaka...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
OMBI KWA RAIS MAGUFULI: NITEUE UBALOZI WA CUBA BILA MSHAHARA NA SABATHO NYAMSENDA Mpendwa Rais Magufuli, Pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa. Tafadhali pokea pongezi zangu za dhati kwa uamuzi...
18 Reactions
123 Replies
19K Views
Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mh Mbowe aliongoza ziara ya Watumishi wa KKKT Machame waliokuja jijini DSM kimafunzo Ujumbe huo ulizuru Sharika Mashuhuri za Boko, Mbezi beach, Kijitonyama na Kimara...
0 Reactions
3 Replies
370 Views
Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu. Historia itatoa tafsiri sahihi ya uamuzi...
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Nimeshangaa sana ndugu Polepole kuhusisha kazi ya Balozi na uanachama wake wa CCM Polepole anajiuzulu Utumishi wa Umma lakini anasema ataendelea kuwa mwanachama mtiifu wa CCM Polepole...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
0 Reactions
6 Replies
388 Views
_WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO _ Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Charles Mwanziva amehitimisha kwa kishindo ziara ya kikazi Kata kwa Kata katika kata zote za Jimbo la...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
CHADEMA mnasiasa butu sana, hawafanyi transformative politics, huwa mnajidanganya wakati mnajua kabisa nchi yetu ni kubwa kuliko chama cha siasa. Mbaya zaidi chadema wameshasahau kuwa sifa moja...
4 Reactions
79 Replies
2K Views
Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu. Huko mbele...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
2 Reactions
7 Replies
445 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Nalaani hatua yoyote ya Serikali, Taasisi au mtu binafsi anayezuia waumini kuabudu kwa hiari yao ndani ya Makanisa au mahali pengine pa Ibada. Waumini kuzuiwa kusali katika Makanisa yao ni za...
1 Reactions
4 Replies
347 Views
Back
Top Bottom