Wakuu,
Natumaini wote jana mlifanikiwa kusikiliza hotuba ya Mheshimiwa Rais aliyoitoa jana usiku. Kati ya mambo ambayo Rais Kikwete aliyoongelea jana ni pamoja na namna ambavyo serikali hutoa...
Huko kusini hususani Mtwara ndio ufisadi ulikojaa, kwa hiyo magamba mmewakamata kweli kweli k.m Newala ndiko kuna magodowm ya korosho alishauziwa Kalamagi siku nyingi, viwanda vidogovidogo vya...
Mwananchi
Monday, 04 June 2012 08:39
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amewapiga vijembe aliowaita maadui zake kisiasa wanaomchafua katika majukwaa mbalimbali akisema kuwa, hawamuwezi na...
Mwenyekiti wa kamati ya miundo mbinu amesema wabunge wanatakiwa kushirikiana kwa ajili ya kukwamisha bajeti ya serikali kuu inayotarajiwa kuwasilishwa bungeni mwezi huu.
Alisema kama wabunge...
Aidha, Dk Slaa alisema serikali kwa kujua iliamua kwa makusudi kumuuziauza kiwanda pekee cha korosho kilichopo mkoani Mtwara kwa sh. milioni 50 na kuwaacha wakazi wa mtwara wakihangaika na...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa (kulia), akizungumza baada ya kufungua moja ya matawi mjini Newala ikiwa ni sehemu ya ziara ya viongozi wa chama...
Wakuu;
Leo tunatinga Mjini Mtwara. Tumelala Mjini Lindi. Advance team katika operesheni hii ya Kusini inasema mipango yote inakwenda vyema kabisa. Hamasa ni kubwa. Wenyeji wanatusubiri wageni...
mimi sina kipaji cha uchambuzi au upembuzi yakinifu hivyo ningependa kusikia maoni ya great thinkers juu ya suala hili.
Je tunaonaje responce ya serikali dhidi ya chokochoko ya vikundi hivi?
Je...
Tanesco suffers fresh setback in Dowans case
Saturday, 02 June 2012 11:33
THE CITIZEN
Sh 111 billion,The amount of money Tanesco has been ordered to pay Dowans
By Bernard James
Dar...
Kikwete ameukuta Nchi inanauka kwa rushwa, Mwalimu kaicha nchi maskini sana. Kikwete ataicha nchi inanuka. ikija Chadema inaweza ikazidi kunuka, wakiingia Cuf inaweza ikanuka zaidi.
Hivi kama JK...
NEC imekosa mwelekeo kwa mambo yafuatayo;
01 kuwepo kwa matatizo ya chaguzi mbalimbali kama jimbo la Arusha mjini na majimbo mengineyo
02 kukosa maamuzi sahihi juu ya kazi wanayopaswa...
Na Mwandishi wa Jeshi la Polisi Zanzibar
Wananchi wa Zanzibar wakiwemo wafuasi wa Kikundi cha Uamsho kilichotangaza kufanyika kwa mhadhara kwenye viwanja vya Lumumba mjini hapa, kimetii amri...
TBC Wameomba radhi waislam baada ya kudai wakiristo ni wengi kuliko waislam.
lkn waislam wamesema TBC watangaze hadharani kupitia tarifa ya habari na sio kwa kutumia barua kama livyofanya
Dk Slaa: Maalim Seif msaliti
• MNYIKA ATAKA KAULI YA JK KUHUSU USHOGA
na Abdallah Khamis, Lulindi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa...
Raymond Kaminyoge
WAKATI Mbunge wa Bahi, Omar Badwel anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kwa tuhuma za kupokea rushwa, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ameilipua Kamati ya Bunge ya...
Mwishoni mwa juma nilikuwa nyumbani nilikozaliwa-Visiga,Kibaha.Nikiwa sina hili wala lile,nikapata ugeni nyumbani kwetu.Wakaja jamaa watatu wakidai kuwa na ujumbe wangu.Nikawakaribisha.Salamu...