Chadema Tuutendeni Haki Utawala wa Kikwete. Mkipewa nchi mtaendesha kama Gari bovu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Tuutendeni Haki Utawala wa Kikwete. Mkipewa nchi mtaendesha kama Gari bovu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by thatha, Mar 10, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kikwete ameukuta Nchi inanauka kwa rushwa, Mwalimu kaicha nchi maskini sana. Kikwete ataicha nchi inanuka. ikija Chadema inaweza ikazidi kunuka, wakiingia Cuf inaweza ikanuka zaidi.
  Hivi kama JK angalikuwa anaskiliza mawazo ya baadhi ya watz hasa Chadema na wanaharakati wengine, Nchii ingalikuwa vipi?
  Jee Chadema mkipewa Nchi mtaendesha kama gari bovu? kila mtu atajaribu kukamata usukani tu?

  Mawaziri na manaibu mawaziri ,na baadhi ya wakuu waliotakiwa kuajibibishwa na Kikwete
  1)Malima na William Ngeleja Kuhusu Mgao wa umeme na umeme kwa Ujumla. alishindikiwa awajibishwe
  2) Waziri wa Mambo ya Ndani. ni shindikizo la Chadema kwa Jk baada mauji ya Arusha
  3) Samweli Sitta. Baada ya Kushtumiwa na CCM kwenzake kuwa mwanzilishi wa CJJ, alitakiwa awajabishwe na JK
  4) Omar Nundu. wafanyakazi wa Shirika la Reli kuhusu kampuni ya India
  5) Mdhibiti Mkuu wa Serekal na sakata la Jairo ndani ya Bunge
  6)Eduward Oseah. Sakata la Richmond bungeni. Awajibishwe
  7) Katibu kiongozi mstaafu. sakata la jairo bungeni.
  8) Waziri wa Afya , naibu na Katibu mkuu. hawa kwa pamoja Jk awaondoe.
  9) Hussein Mwinyi. Sakata la Gongo la Mboto. alitakiwa JK amwajibishe
  10)Waziri wa Maliasil na Utalii. Sakata la TANAPA la sh 25 billion liloibuliwa Bungeni
  . alitakiwa awajibishwe na JK.
  11) Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo na sakata la Uvunjaji wa bodi ya CHC bungeni. lilosimamiwa na Mh zitto Kabwe.

  12)Waziri wa Sheria na Katiba na Mwanasheria Mkuu walitakiwa na Chadema na wanaharakati awajibishwe na JK kutokana na kutonga Mkono katiba mpya
  13)WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Cyril Chami alitakiwa awajibishwe kutokana na wabunge (POAC), walipofanya ziara katika nchi za Hong Kong na Singapore mwaka jana.
  14) kauli ya Zitto na wapinzani kuhusu Kuwajibishwa waziri Mkuu na JK.
  Tuutendeni haki Utawala wa JK kama Ulivyokuwa wa Mkapa tu
   
 2. t

  thatha JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  kama kwli angalikubali haya
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Wapeni nao chadema muone kama wataendesha Nchi kama Gari bovu kwa fikira zako wewe Mkuu kunguru Mweusi. Nionavyo mimi CCM ni chama kimeshapitwa na wakati kuongoza nchi. Tangu kiundwe hiki chama cha CCM mnamo Mwaka 1977 na

  Baba wa Taifa hivi sasa hiki chama cha CCM kina miaka 35, hakuna maendeleo yoyote Viongozi wake Wote Ukimuondowa Rais na Waziri mkuu waliobakia wote ni Mafisadi waharibifu wa nchi yetu wamesha kuwa Wazee Viongozi wa CCM hiki chama itabidi kiachie ngazi kwenye Uchaguzi wa mwaka 2015.

  kipate chama kingine kutawala tuone mafanikio ya chama kingine chochote kile kiwe Chadema au chama chochote kinachopenda Maendeleo ya Walala hoi Mkuu acha mapendeleo yako juu ya CCM imeoza kifikra na kiutawala Mkuu Nawasilisha mimi.
   
 4. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Since he started his political career, move through his political life and you will notice he is not a king that you are trying to portray. JK is a self centered politician with a gift of being "tactical". - I prefer to call it cunning.
   
 5. P

  Pelege Senior Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapeni chadema nchi muone mafanikio yatakayopatikana,nyie mmekalia kuiba tu,tangia nchi imepata uhuru mpaka leo hakuna maendeleo yoyote yaliyopatikana ktk nchi hii zaidi ya nyie na watoto wenu kujiridhisha vyeo.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Pamoja na wewe kumumlamu Rais wa Nchi, na jinsi unavyoona kuwa hafai kutuoongoza wa kulaumiwa sio Rais mie kwa mawazo yangu wanaefaa kulaumiwa ni wale washauri wake Rais wanaompa ushauri mbovu katika kuongoza nchi na wale wanaopewa uongozi na Rais kuongoza

  Wizara hao ndio wanaofaa kulaumiwa hawawezi kutenda kazi walizopewa na Mheshimiwa Rais wet J.K. angelifaa kubadilisha baraza lake la mawaziri akajaribu kuwatoa wale wenye upungufu wa uongozi huo ndio ushauri wangu.


  [​IMG]
   
 7. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Gunguru mimi naamini kabisa kuwa wewe ni mtu mzima na si mtoto wa shule ya msingi. Laiti Jk angekuwa na desturi ya kuwawajibidhi mawaziri na manaibu wake wote wanaozembea amini usiamini kusingekuwa leo kuna migomo ya madakitari wala maandamano haya yanayoendelea katika kila kona ya nchi ukiondoa Singida ambamo bado wananchi wamelala usingizi fofo, kusingekuwa na ile jamba jamba ya waalimu kutishia kuandamana. Kwa sababu kila waziri na naibu wake katika kila wizari wangewajibika ili kukwepa kuwajibishwa. Hichi kitendo cha kutowajibishana ndicho kilichotufikisha hapa tulipo. Hoja yako itakuwa na mandiki kama ungeichuja kwanza kabla ya kuileta hapa jamvini.
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Hii post ina lengo gani? kuonyesha ubovu wa CCM na serikali ya Kikwete au Kuonyesha Chadema haachi ona Kosa?Naona km umeordhesha makosa ya yasiyopaswa achwa yapite huku, ukipuliza ki design
   
 9. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa aliyepost hii kitu ni Mtanzania ama mgeni?
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  MALARIA SUGU, hivi kweli unajua kusoma na kuandika? Kale tende
   
 11. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Katika hayo yote uliyotaja kuna la uongo? Kuna ambalo ni kosa dogo lisilohitaji mtu kuwajibishwa?

  cdm wanamuonyesha JK ubovu katika serikali yake, ni jukumu lake kuchukua hatua, kadri anavyowalea ndivyo wanavyozidi kuharibu.
  Wingi wa wanaotakiwa kujiuzuru unaonyesha ubovu mkubwa katika serikali yake na wingi wa ubovu unaashiria ukosefu wa umakini katika uteuzi! Nani alaumiwe?
  Mwisho unawahukumu cdm kwa makosa ambayo hawajatenda; hujawapa nchi ukaona watakavyoiendesha. Mimi naona cdm wakipewa nchi hii waiendeshe kama gari bovu kwani tayari ni sawa na gari bovu tu. Tena walikimbize ili nuts zote mbovu zidondoke ili tuweke mpya, kama injini ni mbovu tuweke nyingine.
  Tanzania ilipofikia ni sawa na mgonjwa anayehitaji kubadilishwa moyo lakini sisi tunamuongezea damu tu.( we need a heart transplant not a blood transfusion!)
   
 12. u

  uhemeli Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naona unanichefua tu, sijui uko dunia ya nne au!!! Raisi mpaka aambiwe fanya hivi hana maamuzi!!!! Watumishi wangapi wanaboronga na yeye anawachekea tu. Hivi unaweza kumkemea mwanao huku ukimchekea? atakuelewa? Nyie CCM acheni mzaha kazini, nadhani 2015 mtaona kazi yetu CHADEMA ilivyomakini kwa sababu lazima tutaongoza nchi hapo subirini ndo mtasema kama tumeshindwa au laa. Sasa hivi kaeni kimyaaa!!!!!!!!!!!11
   
Loading...