John Shibuda: Kutangaza urais sasa ni sawa na kuposa MIMBA

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Anawafananisha wanaotangaza nia ya urais sasa na mtu anayeposa mwanamke wakati bado ni mimba.

Source: Mwananchi
 
Kuna ubaya gani kuposa mimba mbona wamasai wanaposa mimba?
Huyu Mzee wa ujira najua muda si mrefu naye atatangaza nia yake ya kuomba chama chake ridhaa ili agombee Urais.
 
wana jf kwa kila mtu kuwaza urais badala ya maendeleo tutafika popote kweli?kwa sasa yapaswa kuhakikisha katiba mpya
 
Si hoja nzito sana ila hata JK alianza miaka 20 kabla ya kuwania urais hoja ya Shibuda haina mashiko ni zaidi ya mipasho na maneno tele ambayo hata kwenye kanga yapo.
 
Kuna ubaya gani kuposa mimba mbona wamasai wanaposa mimba?
Huyu Mzee wa ujira najua muda si mrefu naye atatangaza nia yake ya kuomba chama chake ridhaa ili agombee Urais.

tatizo ni pale mtoto anayezaliwa anakuwa dume!
 
Ni vizuri sana kuwa na watu wa aina zote; wataalam wa mambo mbalimbali, wasomi uchwara, wasanii, watoto, vijana, wazee, wake kwa waume nk. Hii inatoa uwanja mpana wa fikra na hivyo kuimarisha chama.

Hongera CHADEMA!
 
Kwanza sioni haja ya kubishana na mtu kama Shibuda, kwa sababu naona nitalose vitu fulani. Yeye amalizie muda wake tu atuachie jimbo letu, sisi hatutaki mchezo kazini, wala mambo ya propaganda hatutaki, hautufai kabisa ondoka!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom