madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KALEBE, Jun 30, 2012.

 1. K

  KALEBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  tambueni hapo mlipo mlifikishwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa tzn kwa nin sasa mnakiuka kiapo ambacho mliapa kabla ya kuanza kazi je ingekuwaje kama serikali isingewafadhili hamkujua kama mshahara wa madaktari ni kidogo hivi mnajua kuwa kuna watanzania ambao wakisikia kuwa mnadai kiasi hicho cha fedha wataiomba serikali iwafukuze kazi foleva:A S-baby:
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hakusomea kufanya kazi bila ya vifaa
   
 3. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  Lakini wewe ukisikia Lusinde analipwa milioni kumi unaona ni sawa?
   
 4. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ****** huyu nenda kajiuze hujuwi unachoongea
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dizaini ya watu kama mleta uzi ni dizaini ya uduni wa kufikiri. Yeye mpaka hapo anaona ni kawaida tu huku akienda hospital akiambiwa dawa hakuna anaanza kulalamika.
   
 6. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli mbona kila mtu amesomeshwa kama unavyodai, lakini wewe ukaamua kusomea umbea na sasa upo bungeni unakula mabilioni , lkn yule aliyejikunja na kutumia miaka kibao kusaka elimu ngumu unamwona fara
   
 7. Miya

  Miya JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 180
  Wafikilie mara mbil gan?wamefikria mara nne kabisa...si mmeagiza madaktar iran unaweweseka nn sasa
   
 8. k

  keyjey Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana roho ngumu hivi unalalaje huku unajua kuna mtu anakufa huko labda ungeokoa roho yake...
   
 9. Dr Klinton

  Dr Klinton Senior Member

  #9
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama wewe una roho nzuro nenda tu hospitalini kajitolee kufanya usafi hata kufagia tu au unasemaje?
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  acha kupandikiza mbegu haram ya uwoga mkuu.
   
 11. H

  Henry Philip Senior Member

  #11
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuwa muungwana, usimsemee mwenzio vibaya, jifikirie wewe kwanza, wewe lini ulitoka hapo kwako na kwenda hosptitali kuwaona wagonjwa na kuwapa japo maji ya kunywa? ni mara ngapi unafanya hivyo? au umekalia kuhukumu tu?
   
 12. k

  keyjey Member

  #12
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wafanya usafi hawajagoma,hata hivyo madaktari wana roho ngumu huo ndio ukweli
  wanaokufa si mawaziri au wabunge ni wavuja jasho.
   
 13. H

  Henry Philip Senior Member

  #13
  Jun 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Je, unafahamu kweli maana kamili ya serikali? Nenda soma kwanza alafu ukirudi utaifuta kauli yako hii.
   
 14. k

  keyjey Member

  #14
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madaktari walisoma ili wakawape maji...?wao warudi waendelee na njia mbadala wao wamesoma miaka 5-7 kwa sababu na sio kumuadhibu mlalahoi.
   
 15. T

  Talklicious Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhali roho ngumu hiyo ya kulala ukiwa mbali angali unajua kuna mgonjwa anakufa lakini hata hujamwona KULIKO roho ngumu ya kumwangalia mgonjwa tena mtoto anakufa mbele yako na hypovolemic shock kisa hamna cannula ili aweze kuwekewa maji mwilini. (Cannula ni Tshs 250 na umemtuma ndugu kwa hela yako kwenye maduka ya dawa karibu amekosa)
  Hivi ndio unatambua leo madaktari wanaroho ngumu? Anajua kukaza roho wakati mgonjwa yuko mbele yake sembuse akiwa hayupo kwenye upeo wa macho yake! Nahisi na kejeli zako nimekusaidia kukupa uzito zaidi na kukuonyesha jinsi walivyo na roho ngumu.
   
 16. u

  umsolopagaz Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapiganapo tembo nyasi ndizo zinazoumia na halikadhalika wanpofanya mapenzi.....mie na wenzangu wengi mitaani hatuna cha kushabikia, na tunawalaumu wote...! still, nawaombea wale ambao wapo jumla jumla upande wa matabibu, isije ikawatokea wakawa wanahitaji huduma ya matibabu ktk kipindi ambacho matabibu wako kwenye mgomo....down with klaat gov't.....down with klaat doctors...down with all politicians regardless they r in 'rulling con aparatus', or opposition....DEM R DEH ONE MAKING PEOPLE DIE FOR DE WRONG DEM DID'NT DO.....
   
 17. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,187
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  unafichaje fedha uswis wakati hospitali inakosa hela ya kununulia panado?
   
 18. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,187
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  dr hatibu watu kwa kuwawekea mikono wakapona!
   
 19. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  keyjey nawe umekuwa pimbi kiasi hicho? Kwani daktari anaponya kwa maombi? mbona huiambii serikali ipeleke madawa na vifaa? Nyie watu sijui huwa mnafikiria kwa makalio?!!! Ili mgonjwa apone lazima kuwe na daktari (atakayetafuta diagnosis), kuwe na serikali (ilete dawa na vifaa tiba) na mgonjwa pamoja na ndugu (walete ushirikiano wa kitabibu sawasawa na maagizo ya watumishi wa afya). Daktari sio Mungu au mwanamaombi. Daktari ni Mwanasayansi. Lakini kwa Tanzania ni mwanasayansi asiyekuwa na vitendea kazi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hao madaktari wanatumiwa na vikundi vichache kuwa eti watalipwa zaidi ya madaktari wa dunia nzima wao waendelee tu kuwatesa wagonjwa.
   
Loading...