Kikao ya madaktari leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao ya madaktari leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tocolyitics, Jul 3, 2012.

 1. t

  tocolyitics Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wana jamvi, naomba kama kuna lolote kuhusu kikao cha leo cha madaktari atujuze tamko lao. je wamerudi kazini au wanaendelea na mgomo?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ndo najuzwa kuwa leo kulikuwa na kikao cha madaktari! Walikaa na serikali au?
   
 3. mwenyenchi

  mwenyenchi JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kikao hakikufanyika nimesikia wamenyimwa kibali
   
 4. pgasper

  pgasper JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 311
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unamaanisha wale walioshindwa kwenye jaribio la kumuua Dr. Ulimboka au?
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndio demokrasia?
   
 6. t

  tocolyitics Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wao wenyewe kujadili kauli ya mkubwa.
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Mkubwa ndio nani?
   
 8. t

  tocolyitics Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm inatumia dola vizuri aisee, basi wafanye online.
   
 9. t

  tocolyitics Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani hotuba ya dhaifu
   
 10. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  ahaa kumbe unamzungumzia Diwani.
   
 11. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Siku hizi vikao vinafanyika kwa mtandao. wajiunge na SKYPE wanachat wapendavyo. Na wanafikia mwafaka hakuna sababu ya kukutana.

  msn.jpg


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 12. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,495
  Likes Received: 2,739
  Trophy Points: 280
  Hivi kufanya vikao lazima upate kibali?? Mbona kila siku huwa nasikia vikao vya harusi, watu wa mkoa A au B, Wilaya C, Wanfunzi waliomaliza shule X mwaka Z................ Hivi vyote huwa vina vibali?? Nafikiri madaktri waubatize mkutano wao jina tofauti......!!

  Bongo kwa kubaka demokrasia...!!! kuna siku ita back fire!!
   
 13. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kuna baadhi ya sehemu madaktari wengine wamerudi kazini
   
 14. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kilikuwa ni kikao cha ndani na maazimio yao yalishatoka..
   
 15. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  sasa nimeamini kuwa tanzania bila ccm inawezekana!!!!, tuandae kaburi la kuizika mwaka 2015
  asante naanda wachimbaji wenye nguvu maake hata gamba lioze
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  thaifu mkuu!
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  utakuwa wa kwanza kukamatwa
   
 18. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,873
  Likes Received: 4,712
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha hah nina mashaka kama wew ni Zero i think unastahili kuitwa 100
   
 19. Nsabhi

  Nsabhi JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 1,096
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ipo siku wewe waache waendelee kubaka demokrasia
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Humjui mkubwa wa nchi hii ? soma katiba ndio utamjua mkubwa wa nchi
   
Loading...