Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya uchumi na siasa za Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, sijawahi kusikia kuwa bajeti ya nchi imetekelezwa anagalau kwa kiwango cha asilimia 90%.
Kubwa zaidi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, ameeleza kuwa wapinzani wa kisiasa wa chama hicho wameghushi waraka wenye sahihi yake ambao unakihusisha chama...
Angalieni, tangu Mh Mwigulu apeewe wadhifa mkubwa ndani ya chama chake na kusimamia chaguzi ndogo, mambo yamekuwa kama yafuatavyo;
1. Igunga, alikuwa ndie mratibu wa kampeni hiyo kwa chama...
Tanzania: land rights v biofuel development – in pictures
Biofuels were once seen as a sustainable alternative to some fossil fuels, but evidence shows demand in EU countries for biofuels...
Police cannot pick and choose which death threats to investigate, not post-Ulimboka
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Saturday, July 14 2012 at 15:51
THE EAST AFRICAN
When two top opposition...
Kamanda wa Polisi wa kanda ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kwamba haliwezi kuendelea kuongelea suala la mtuhumiwa Joshua Mhindi (31)...
Serikali inafukuza wataalamu ili iweje?
Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 11 July 2012
Gumzo la Wiki
Mwanahalisi
HISTORIA ya madai ya haki katika ujira na mazingira bora ya kazi kwa...
MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI
LA TAIFA KILICHOFANYIKA SHABAN HAMISS MLOO
MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 14-15 Julai, 2012.
Yametangazwa leo tarehe 17/07/2012,Ofisi za CUF Buguruni...
leo kulikuwa na press Conference CUF na haya ndiyo yaliyojiri
MAAZIMIO YA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UONGOZI
LA TAIFA KILICHOFANYIKA SHABAN HAMIS MLOO
MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 14-15 Julai, 2012...
Kwakuo hoja nyingi bungeni na wabunge kuzibwa midomo kutokana na katiba yetu na sheria zake mbovu kutojali maslai ya wananchi je Tumejifunza nini?
Pia tukumbuke serikali imetumia huu mwanya...
HOTUBA YA MSEMAJIMKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHESHIMIWA VINCENT JOSEPHAT NYERERE (MB), KUHUSUMAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013 WIZARA YA MAMBO YANDANI YA NCHI
(Kanuni...
Wakati wa Uchaguzi wa mwaka 1995, NCCR Mageuzi kwa upande wa bara, na CUF kwa upande wa Zanzibar vilionekana kuwa ni vyama shindani vyenye nguvu. Mambo hayo yamebadilika hivi sasa, ambapo CHADEMA...
Ni aibu kwa Mbunge wako kuunga mkono hoja 100% kisha anaanza kuiomba na kuikosoa serikali kwa
kutoa mapovu mengi maana yake nini? Mbunge kama huyo uwezo wake ni mdogo, amehongwa, anaijali...
Mama Karume anaheshimika sana si tu kwa umri wako, bali hata kwa kuwa mke wa Mzee wetu, Mzee Abeid Amani Karume,mmoja wa waasisi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Nimesoma leo magazeti kadhaa...
Ndugu wanaJF, ofisini ninapofanya kazi akitokea mbunge kutoka kambi ya ushindani kuchangia hoja bungeni wafanyakazi wanasogea karibu na screen ya TV na anapotokea wa CCM wanarudi kwenye viti vyao...
Mashabikiwa CHADEMA, kama mnakusudia kuchukua nchi hii 2015, basi muanze kuonyesha busara na hekina ya jinsi mnavyoweza kuwazidi wapinzani wenu wakuu kwa hoja na uafahamu wa mambo na mbinu za...
From Mwanahalisi:
Katika sakatala Richmond, Kikwete alishauriwa na hatimaye akakubali kuundwa kwa Kamati Teule ya Bunge. Kikwete hakujua mkenge aliokuwa anauingia. Alipotoshwa na washauri wake...