Skendo ya ile ndege iliyokamatwa na silaha mwanza kumnyima mtu urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Skendo ya ile ndege iliyokamatwa na silaha mwanza kumnyima mtu urais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jul 29, 2012.

 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF kama mnakumbukumbu nzuri basi kumbukeni ile ndege iliyokamatwa na silaha za kivita mwanza mgombea mmoja wa urais huenda akachafukamo. Nakuja na habari kamili.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Mwanaharakatihewa
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,817
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  kwa nini usiiweke hio habari yote sasa hiv?hapa hakunaga muktasari wa habari-kama una habari weka-si kufanya hiv unavyofanya
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tunakusubiria Kamanda!

   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,806
  Likes Received: 1,592
  Trophy Points: 280
  Ungesubiri ukaja na chakula kilichoiva kuliko kuleta wali mbichi hapa jamvini.
   
 6. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Haswaaaa
   
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,021
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Acha kuchafua kurasa kwa manene ya kuzusha Mods wakutafutie Jukwaa lako
   
 8. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,499
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  MTU naye alikuwa anautaka URAIS?Hivi ni wachama gani vile??
   
 9. c

  chidarito Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umbea wote
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Umejitakia mwenyewe! utakoma!
   
 11. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,431
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  labda aliyekuwa anamtumia habari ili aipost hapa kakata mawasiliano!
   
 12. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. K

  Kibagata JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 772
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hizi sasa bangi. kama huna habari kamili kaa pembeni fanya utafiti then njoo na issue kamili.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Anaanza na mashuzi kabla ya kuharisha. Haya, mashuzi tushayasikia na harufu tushanusa, tunangoja uharo sasa.
   
 15. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huu ni utani katika JF.Kama una uzi weka wazi bila kuzunguka.
   
 16. Fofader

  Fofader JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 832
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Mkuu Zomba angalau ungekuwa diplomatic kidogo!
   
 17. y

  yaya JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, yaonekana ulikuwa hujajiandaa, vinginevyo ungekuja na habari kamili.
  Kwa bahati mbaya hii tabia imejengeka sana humu ndani ya JF.

  Sijui nia yako ili kuwa nini lakini sioni cha kujadili hapa.
   
 18. y

  yaya JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Mkuu, weka kaheshima japo kidogo.
  Siamini kwamba ndivyo ulivyolelewa.

  Next time epuka lugha kama hizo ili JF pawe jukwaa la heshima.
  Maana kwa lugha hizi kama za kwako, siwezi kuperuzi na wanangu au watu ninaowaheshimu.
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,524
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hajajiandaa!
   
 20. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,574
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu anaonekana ni mzoefu hawezi kukoma hahaha umbea mngine bana, atakosa urais kwa chama cha tlp vile au ccj? Maana ccm hagombei tena, cdm Hana dola apa ntapita baadae beba msalaba wako kwanza
   
Loading...