Julius Mtatiro wa CUF katoa wapi mamlaka ya kuwaagiza CHADEMA na CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius Mtatiro wa CUF katoa wapi mamlaka ya kuwaagiza CHADEMA na CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Jul 29, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  nimemuona mtaatiro julius wa cuf kwenye habari akiviagiza vyama vya ccm na chadema kuwachunguza wabunge wao wanaodaiwa kula rushwa katika sakata la tanesco.cha kujiuliza hapa ni kuwa huyu bwana katoa wapi mamlaka ya kuwaagiza ccm na cdm kufanya uchanguzi huo wakati yeye mwenyewe aliwahi kutuhumiwa kujiuzia prado ya chama kwa shilingi milioni nne na hakuna cha uchnguzi wala nini sasa leo inakuwaje anawashupalia wenzie?kimsingi sipingi watuhumiwa kuchunguzwa ila ninachojiuliza hapa ni nguvu ya kimaadili ya mtatiro kuyahoji masuala haya wakati katika kesi ya rushwa kama hiyo ndani ya cuf alikaa kimya hata hakujitokeza kujibu.kama huna la kusema kaa kimya watu hawatajua kwa kiasi gani uu mjinga au mnafiki.
   
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwanza hakuna ushahidi kwamba kuna watu wamekula rushwa zilizopo ni rumours tu
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mtatiro karudi ulingoni? Vipi yeye alichunguzwa kuhusu zile millioni 300 alizochukuwa kwa ajili ya uchaguzi huko Igunga na kushindwa kuzitolea maelezo?
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mtatiro kama mwananchi anayo haki ya kukemea rushwa hakuna haja ya kuwa na mamlaka nyie mnavyoishambulia serikali nani kawapa mamlaka...hongera sana Julius Mtatiro.
   
 5. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  ayaaaaaaaa
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nasikia waliokula rushwa ni wabunge wa CCM na wale wa CUF.Mtatiro anaweweseka.Kumbuka CUF na CCM wapo ktk ndoa.
   
 7. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  milioni 300 za igunga ziko wpi?ajibu kwanza hilo.
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu ana hamu ya ubwabwa..vp zile milioni 9 alizotumia kwa ziara ya siku 4 huko TANDAHIMBA.
   
 9. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  RITZ. Hapo umesema sahihi kabisa mwizi mwizi tu na rushwa rushwa tu lazima tukemee
   
 10. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mwenye kutoa amri ni mahakama. yeye amependekeza tu lete hoja nyingine kaka seif
   
 11. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Toka Prof amerudi mtatiro ndo amejitokeza na katoka na *****.....unapotea kijana
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,727
  Likes Received: 12,793
  Trophy Points: 280
  Your right
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  hivi anakemea au anatoa agizo??
   
 14. h

  hans79 JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Angeeleweka kama angaliuliza tuhuma za mwaka jana juu ya wizara hiyo na pia kamgao mlikompa Igunga? Kwa suala la rushwa wizara hiyo mhusika nambar moja ni ndg dhaifu, ndg dhaifu hajafanya lolote juu ya watuhumiwa richmond, rada nk kwa hiyo rushwa nae yumo.
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mtatiro+povu=pumba.
   
 16. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Maoni hayakatazwi,hata angeongea anatoa moto mdomoni ni haki yake..wala hajakosea Mtatiro
   
 17. m

  mayoya Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mtatiro huna credibility, acha kutujazia kero, kanawe kwanza ndio uje kwa wanaume.
   
 18. h

  hans79 JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  kwa lipi mwolewa kulialia?
   
 19. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa amefufuka kisiasa si alikuwa kafa huyu, tangu asimamie uchaguzi wa Igunga kwa kutumia Ml 300 na kupata kura 2000 hajasikika kabisa.
   
 20. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa Bongo sijawahi kuona wanaume wawili (Chama cha Mabwepande na kile cha Jino kwa Jino) wamefunga ndoa! Hii imethibitishwa na Ritz + Matatizo oooh, sorry Mtatiro! Hongereni sana Wakuu! Tunawatakia maisha mema ya ndoa yenu takatifu ambayo expiry date yake ni 2015!
   
Loading...