Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lawkeys, Jul 28, 2012.

 1. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wadau nimepata taarifa kutoka Zanzibar, hali mbaya. Wazanzibari hawataki muungano kabisa, wametawanya mabango kila sehemu wakitangaza kwamba hawataki muungano.

  Waarabu wa Omani ndio wanaosponsor harakati hizi ili muungano ukivunjika wajiunge na OIC harafu waarabu warudi tena.

  Wanadai pia kwamba mipaka harisi ya Zanzibar inahusisha mile 40 za ukanda wa pwani ya Tanzania bara, kwahiyo muungano ukivunjika wanachukua babdari ya Mtwara, Dar na Tanga.

  Nadhani itabidi muanze kuatafuta sehemu ya kujenga BOT, wazo la kuhamishia ofisi za serikali Dodoma linaweza likawa na mashiko balaa.

  Zanzibar hali si shwari
   
 2. S

  Silent Burner Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini wasijiunge na Oman tu? Uwezekano wa kupata maili 40 huku bara ..... mhhh... PATACHIMBIKA!
   
 3. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi kwa nini mashoga na mabasha wengi wapo Zanzibar na pwani za Mombasa, Tanga, Dar etc?
   
 4. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,497
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  hizo ni ndoto za mchana kweupeee
   
 5. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  wavivu hao kazi yao kulalamika tu
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kumbe oman
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hawawezi Mkuu Maana Posho za Bunge la Jamhuri ni NONO Kuliko za Baraza la Wawakilishi
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  basi hata mimi ninayekaa hapa dsm ni mzanzibari, sasa wanataka kujitenga na nani sasa, si waache tu manake wazanzibari tupo wengi, wengine ni sisi wachaga ambao tumeweka viosk hapa dsm,na Tanga, wengine ni wapare waliohamia na kujenga kule mtwara etc.
   
 9. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,160
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Wazanzibari wanaweza kuruhusiwa kujitenga lakini kuondoka na maili 40 ya ukanda wa pwani ni ndoto za mchana. Vita itapigwa na wala hata jumuiya ya kimataifa haitawaunga mkono katika hilo. Wao wanataka kumega nchi yetu ili kujiongezea ukubwa wa hako kawilaya kao.
   
 10. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Wanapaswa pia kukumbushwa ukweli kuwa mara baada ya kujitenga waarabu watanunua kila kona ya zanzibar mpaka makaburi na wao watageuzwa vibaraka wa waarabu kama enzi zile.hali itakuwa mbaya zaidi na hata wataanza kuja kuomba kazi za uhausigeli hukuu bara yani wale wenye tamaa mabinti wa kipemba watajipigia mwanzo mwisho.
   
 11. N

  Nal Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 28, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora ya mwarabu kuliko mbara
   
 12. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Plz mwenye list ya wazenj waliopora haki za watanganyika kule gezaulole, Temeke naomba aimwage hapa,
   
 13. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mawaziri wanaowageuza na kugeuzwa kinyume na ... Mfano Mansour Yussuf Himid ndugu na rafiki mkubwa wa Karume
   
 14. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  duhh! haya mkuu
   
 15. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,318
  Likes Received: 2,680
  Trophy Points: 280
  Ni kerere za mfamaji wazenji hawana ubavu wa kuvunja muungano.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mabango bila kuweka picha? weka humu tuone.

  Muungano kama hawautaki kwani haramu? kwanza muungano ukivunjika ni faraja kwa chadema maana visiwani hawana kiti hata cha kuombea chumvi.

  Kauli mbiu ya Uamsho ni "mpaka kieleweke", inakukumbusha nini hiyo? mie nilisikia uamsho wanapata misaadaa kutoka chadema.
   
 17. m

  mwika Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 5
  swala la bandari za bongo kwenda zanzibari ni sawa na mtoto kumshika baba yake ndevu na kutaka kuzikata kabisa hivi wazenji mbona wanchezea saRIkaLI yetu mmmh, naisi kuna kitu nyeti kilichopo nyuma ya ili jambo
   
 18. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Kwani 26/04/1964 Zanzibar ilikuwa na hizo maili 40 za pwani? Kwani wanataka kuvunja Muungano ule au muungano gani?

  Kujitenga wajitenge mimi sioni huku Tanzania Bara tunafaidikaje na huu muungano wa kuwalazimisha.

  Ila nashangaa ajenda ya maili 40 inaingiaje hapa. Na hapo ndipo pagumu.
   
 19. STALLEY

  STALLEY JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Nilijua 2 hii movement ya kupinga muungano ina elements za udini ndani yake si bure wanataka wajitenge ili zanzibar iwew nchi ya dini yao.ka vp uvunjwe 2 kwani nini ila ilo eneo la bahari wasahau.na nina uhakika viongozi wa serikali wanajua sa si waseme tu waache unafiki.mbona mtoto wa mkulima kasharidhia muungano uvunjwe.
   
 20. g

  gongolamboto JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Hahahahaha tutakazamisha kakisiwa kwa makombora
   
Loading...