Maajabu>Paundi 50000 VS Begi la Misumari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maajabu>Paundi 50000 VS Begi la Misumari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jul 30, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Maajabu

  na Prof Muhongo > shirika la Tanesco lilipa paundi 50000 kwa ajiri ya vipuri lakini wakapata Begi la Misumari...

  Pia kuna biashara inyo fanyika kwamba
  Nguzo Umeme za Iringa zinakwenda mombasa na kurudi wao wanasema zinatoka south africa....
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbona sijaelewa brother unachozungumza hapo
   
Loading...