Kikwete aendelee muhula mwingine

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.
 
Tangu awali nilishapata hofu na wewe sana Mkuu!
Usitumike hivyo kwani humu unakutana na watu wa mawazo tofauti!
Wasubirie wakina Rejao,Ritz na wale wote wanaofanana na hao.

Utumwa mpaka lini jamani?

Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.
 
Inaonekana wewe ni mpenzi sana wa maigizo, au ndo swaumu!!???
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.
Hivi wewe unaishi tanzania hii nnayoishi mimi au unaishi ughaibuni!!!?? mbona unaongea ujinga kiasi hiki??? mbona unakua kama *****!!!! afu sio siri umenichefua sana..nakushauri uiondoe hii thread yako mana utasababisha watu wagome humu JF!!
 
uko sawa, tumuongezee muhula mpya ili maisha ya mtanzania yazidi kuwa magumu.
 
naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya tz ni wazi kuwa tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

Watanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.huku tukisubiri katiba mpya au tanganyika mpya.
yani huyu jamaa sijui katoke wap?????? Au baba ako ni akina nanii..acha kuwa na mawazo mgando kiasi hicho!!
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.

hahaaa mweee ...asante Mwiba kwa kunichekesha leo ...mungu akupe maisha marefu uelendelee kutuchekesha hivi hivi
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.
Ndio maana ukikosekana hapa ninakumiss sana Mwiba, post zako zina akili sana
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.

Nliposoma Kichwa cha Uzi wako nikahisi unafanya comedy, nkajiuliza kwanini usingeiweka kwenye Jukwaa la Utani? Nlifungua nikahisi kama unamaanisha Japo sina Uhakika, Lakini kama unamaanisha naomba nikuulize maswali machache

1: Hivi wewe unaelewa wapi Tanzania inapotaka kwenda? Pengine tunaelewa tofauti. Yawezekana wewe unaelewa unakotaka iende ni kuuzwa kwa nchi.

2: Utendaji unaouzungumzia ni upi?

3: Hiyo kasi unayoisema umepima kwa utafiti upi na imeongezeka kwa asilimia ngapi?
4: Tafsiri ya upendo kwako ni ipi? Je ili kiongozi aonekane anaupendo ni kwa kuwadhulumu na kuwatesa wananchi wake kwa mikataba feki na kujilimbikizia Mali yeye na familia yake?

ALL IN ALL KATIBA YA NCHI YETU HAIMRUHUSU KUGOMBEA TENA LABDA KAMA NDO KAKUTUMA ILI MUANGALIE UPEPO WA JINSI GANI MTAONGEZA MDA WA KUWA RAIS KWENYE KATIBA ITAKAYOKUJA.
 
hapana jaman jk tena !mwiba ukome kabisa,tuna watu wengi mno kama slaa au lowasa,jk akapumzike
 
Uliyeweka thread hii itabidi ufanyiwa sensa ya idadi ya chembechembe zako za ubongo.Sidhan mtu mwenye akili timamu anaweza kuandika ujinga kama huu.Una tatizo la akili.
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.
bila shaka umetumwa ww... think twice mtanzania
 
Sawa kabisa mkuu Mwiba, JK aendelee tu kwa kuwa ni MUISLAM !?

Mkuu Mpungati Mimi ni Mkristo lakini huwa siamini katika Udini, sababu nina marafiki wengi sana waislamu na tunashirikiana katika maisha ya hapa Duniani na Kila mtu anaheshimu imani ya mwenzake

Kuwa Mwislamu, Muhindu, orthodox au mkristo Hakupunguzi au kuongeza Uwezo wa mtu kuwa kiongozi na mimi sipati shida hata Kama rais angekuwa muislam mkristo au mhindu miaka yote tatizo langu ni kiongozi anayeweza kutimiza matakwa ya wananchi wake

JK simkubali si kwa sababu ya dini yake lakini ni kwa sababu anauwezo mdogo sana wa kuwa kiongozi, kashindwa kutatua matatizo ya raia wake karibu yote.

Haya ni mawazo yangu na niko tayari kukosolewa.
 
Naamini kabisa huyu jamaa anamuelekeo wa kuifikisha Tanzania pale inapotaka kwenda,utendaji wake na serikali uliopo hivi sasa inaonekana ulichelewa ,lakini kasi ya maendeleo ambayo inaonekana kila pembe ya Tz ni wazi kuwa Tanzania imepata kiongozi mwenye upendo na wananchi wake.

WaTanzania hawana budi kumpa tena muhula wa uongozi kwa miaka kumi mingine.Huku tukisubiri Katiba mpya au Tanganyika mpya.

Hizi ndoto za mchana mchana...katiba inasema term mbili. Aongezewe kwasababu gani? Ili migomo nayo iongezeke?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom