Mwongozo kusitisha shughuli zote za Bunge kujadili Mgomo wa waalim 30/07/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwongozo kusitisha shughuli zote za Bunge kujadili Mgomo wa waalim 30/07/2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtendaji wa kijiji, Jul 29, 2012.

 1. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama kweli wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wanajali maslah na wapo kwaajili ya kutetea haki za wananchi wao. Tunaomba jumatatu 30/07/2012. SPIKA Asimamishe shughuli zote Na kujadili swala la mgomo wa waalimu. Aidha hatutarajii kusikia majibu ya kipumbavu kutoka kwa Spika wala Lukuvi wala Werema kudai kuwa Swala hili lipo mahakamani. Kimsingi swala ambalo limesha anza kusikilizwa mahakamani ndo halitakiwi kuzungumziwa. Hili la waalimu bado halijaanza kusikilizwa kwani juzi ijumaa mahakama ilitaka pande zote mbili zikapange hoja zake vizuri ili jumanne zipokelewe mahakamani. Leo ni jumatatu, kesho juma4 hoja za pande mbili ndo zitapelekwa mahakamani. Tunaomba bunge litimize wajibu wa kuisimamia serikali. Hoja hii ikikataliwa tunategemea kuwaona wabunge wa vyama vyote wakitoka Bungeni ili kutoa msimamo wao nje ya Bunge. Mama ana Makinda jiandae kususiwa Bunge kama huna utu na kama huna watoto wanaoathirika na mgomo huu
   
 2. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wabunge wa cicm Hatutaki mtuaminishe kuwa watoto wenu hawasomi shule za serikali
   
 3. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngoja tusubiri hiyo kesho....ila mimi siendi shuleni, nitabaki nyumbani kama Mukoba alivyoniasa jana....!!!
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  walimu hakuna kwenda kazini lala nyumbani woga wa nini?
   
 5. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,126
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  mimi mgomo nilianza siku nyingi sema kesho nauendeleza tu mana toka nianze january hata topic mbili hazijafika.
   
 6. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawana ubavu. Wewe serikali imenyanyasa Dr sembuse hawa washika chaki?
   
 7. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Viva waalim
   
 8. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  harufu ya uchochezi
   
 9. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Huchelei kusema CHADEMA wanachochea akili yako ilivyo ka ya kuku
   
 10. O

  Original JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Walimu wakigoma tunawachapa bakora tu. Tumewaweza madaktari itakuwa walimu?. Na pia tunaweza kuwafukuza kazi na watakuwa hawana pa kwenda. Vyeti vyao hata Malawi havitambuliki acha kenya. Nyie walimu acheni kufuata mkumbo, fanyeni kazi huku madai yenu yanashughulikiwa na Serikali.
   
 11. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Acha ma2c kwa waalim bilashaka una akil ndogo ka sicm. Ok wafukuzen wote mlete wengne toka kenya
   
 12. TETILE

  TETILE Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mgomo uko pale pale waende mahakamani CCM waifanye mahakama kutii wayasemayo walimu watagoma tuu!
  Mahakama c inajua wajibu wake?
  Kwanini ifuate maelekezo ya watawala(CCM)? Au kwa cvile mteuzi wao ni jk? Mgomo daima mpaka kieleweke!
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mihimili iheshimiane. Hili swala lipo mahakamani. naomba ukae chini hakuna muongozo juu ya muongozo. sasa tunaendelea katibu.., Mia
   
 14. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Bunge hawataruhusiwa kujadili kama kawaida yao wameshapeleka hii issue kwenye chaka lao(mahakamani):eek2:
   
 15. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haya ndo maneno dhaifu ya Mama makinda. Ngoja tumskilize
   
 16. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haija anza kusikilizwa mahakamani kwaiyo wanao uhuru wa kujadili. Leo tutashuhudia udhaifu wa Bunge na serikali ya ccm
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  'Hivi jamani waheshimiwa wabunge hamjui tunaangaliwa na nchi nzima,mihimili mingine inalalamika kuwa inaingiliwa,MNYIKA nimesema kaa chini, katibu endelea'
   
 18. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  .
  Suala hili liko mahakamani sio la kulizungumza kwa sasa..!
   
 19. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha Baba V,umenichekesha!
   
 20. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mh spika kwa taarifa tulizozipata ni kwamba asilimia 90% mashuleni leo asubuh wanafunz wametelekezwa baada ya waalimu kurejea majumbani mwao. Hivyo tunaomba tena kwa uchungu uruhusu bunge lako takatifu lijadili swala la mgomo wa waalimu. By Mh Tundulisu
   
Loading...