TBC Habari saa mbili usiku Leo: Waalimu kote nchini wametii amri halali ya serikali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC Habari saa mbili usiku Leo: Waalimu kote nchini wametii amri halali ya serikali!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanaharakatihuru, Jul 30, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walimu wamekataa kushiriki mgomo ulioitishwa na CWT kutokana na kesi iko mahakamani. Shule nyingi zimeonekana kuendelea na shughuli kama kawaida.

  Wakati huo huo rais wa chama cha walimu ametangaza kusitisha mgomo huo kwa kuwa serikali imekubali kutekeleza maridhiano kwa awamu.

  Walimu watakiwa kurejea kazini kama kawaid.

  TBC1 Uwazi na Uhakika
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hiyo tbc inabidi ibadilishiwe jina maana haifanyi kazi kama televishen ya taifa.

  Maslai ya chama kwanza yako mbele sana.magamba kweli ni gumzo.
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tbc imepoteza mvuto wa kutoa habari hapa nchini
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hili ndilo tunalotegemea litangazwe. Hivi Mshana mbona yuko Coward namna hii . Nasema miaka 5 ijayo TBC inaweza iwe imefutika kabisa kwani hawana creativity yoyote na wamebanwa na akina Nape kueleza ujinga
   
 5. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bila aibu watapaa angani na uongo wao wakati mpaka sasa mikoani sijaona mwandishi yeyote wa habari mashuleni,but watatengeneza picha zao na kuzitoa hewani
   
 6. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Acha kupotosha umma, Tbc Haijatangaza kitu kama icho, leo nimeshinda na tv. WEWE NADHANI NI GAMBA KUU!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Saa mbili usiku wa lini leo au jana? Hebu toa uhakika wa jambo hili.
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Mkoba kasema mgomo unaendelea itv leo asbh.
   
 9. M

  Mwl.wanaharakati Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo ni mpotoshaji. Ndo faida na hasara ya Jf, angekuwa anajulikana huyu ninge mchoma hafai kunguru huyu
   
 10. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nimekusoma........................ Bila aibu utamwona Gabriel zakaria na mwenzake!
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa ndicho tutegemee kusikia!
   
 12. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mleta huu uzi naona wewe ndiye haswa uliyewekwa hapo TBC 1 baada ya Tido Mhando na unafaa sana kuendelea kuliuwa hilo shirika.
   
 13. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Elewa post hii mwandishi, anaponda unafiki TBC kwa kutabiri taarifa ya saa mbili usiku leo.
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mwanaharakatihuru bila shaka utakuwa uko news room hapo TBC1, kwani kwa jinsi ulivyoripoti ndivyo itakavyokuwa usiku wa leo!!
  Watu wengine mna vipaji vingi sana, kwa staili hii hamuwezi kufa njaa hapa mjini!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu waswahili wanasema "UKIWA MUONGO UWE na KUMBUKUMBU"

  Sasa wewe unatudanganya kisha unakosa hata kumbukumbu, Heading yako inasema "Taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu" Kisha post yako imekuja leo saa nne asubuhi.

  Nenda kamdanganye Waziri Mulugo ndiye atakuelewa. Na pia vua hilo GAMBA ulilonalo ndilo linakuchanganya akili.  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Safi sana,wengine wameshindwa kumuelewa na kuanza kutukana
   
 17. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Hujamuelewa mtoa mada yeye alichoandika ni utabili wa kitu kitakacho tangwazwa na TBC 1 usiku wa leo, kuwa na upeo ndugu wa kufikiria kabla ya kujibu.
   
 18. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Mwanaharakatihuru
  Kama ndugu ulikuwa na maana hii pole sana kwa maneno makali kwani hata mimi huenda nilikuwa sijakuelewa na BIG UP kwa tathmini yako


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ndio dhumuni la mtoa mada nshangaa watu hawajamuelewa nadhani ni hasira tu lkn TBC lazima iwe hv hv usku saa mbili habari,hawatoenda tofauti na hii habari.
   
 20. msweken

  msweken Senior Member

  #20
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  kwenye maoni ya katiba mpya " napendekeza TBC ibinafsishwe.. wapewe mwanahalisi"
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...