Kauli ya mahakama kuwataka madaktari warudi kazini ilipuuzwa au iliishia wapi?

Lastname

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
921
296
Mahakama ilitoa amri kwa madaktari wote kurudi kazini ile amri ilipuuzwa na madaktari sasa mahakama mpaka leo imechukua hatua gani? Au ilikuwa inafanya kazi za siasa? au ni muhimili unaopaswa kupuuzwa kama madaktari walivyowapuuza? naomba kuelelimishwa kuhusu hili.
 
Hatua waliyochukua: Dr Namala Mkopi, Rais wa MAT ana kesi mahakamani mpaka sasa.
 
Ilikuwa ni siasa tupu na hakuna anayekumbuka hata kama kulikuwa na hati yakuzuia mgomo.
 
Back
Top Bottom