Anne makinda atawezaje kupambana na ufisadi ili hali amekula matunda ya ufisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anne makinda atawezaje kupambana na ufisadi ili hali amekula matunda ya ufisadi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwinukai, Jul 30, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Katika kuwania kiti cha uspika ushindi wa Makinda ulisemekana kufadhiliwa zaidi na nguvu za mafisadi, ambao waltumia kila njia kumzima Samweli Sita. Na kwamkakati wao mafisadi waliweza kuhonga CC na kubadilisha kanuni ambayo haikuwepo kuwa sasa iwe zamu ya Wanawake, Kwa kupitia mgongo wa mafisadi Makinda alivhaguliwa kuwa Spika. Kuhusu Mafisadi kumsimamisha Spika wao ililamikiwa mara nyingi na SAMWELI SITTA.

  kama ni hivyo Makinda ana uwezo gani wa kupambana na mafisadi? ikiwa mafisadi hawa waliweza kuhonga CC je harakati za sasa zitawezaje kuwa msada? ilihali tatizo hili ni kubwa?
   
 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtu mwovu,shauri lenye uovu hawezi kuliamua, full stop!
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,370
  Likes Received: 2,990
  Trophy Points: 280
  Makinda n fisadi n km kelele za chura hazimzuii .....kunywa maji km vp nawe ananywewa.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,603
  Likes Received: 18,639
  Trophy Points: 280
  Aliyemuondoa Msekwa kwenye uspika ndiye aliyemuweka Sitta!. Aliyemuondoa Sitta kwenye uspika ndiye aliyemuondoa na ndiye aliyemuweka Mama Makinda!. Kama wote waliwekwa na mtu yule yule kama Sitta aliweza, kwa nini Makinda ashindwe!.
   
Loading...