Malawi President Joyce Banda on Monday met leaders of various political parties at Sanjika Palace in Blantyre in second round of consultative meeting on the border wrangle with Tanzania, Nyasa...
Ndiyo wakuu! Msafara wa Mbunge kivuli jimbo geita na katibu wa cdm wilaya geita ndo unakaribia eneo la kuzindulia kampeni. Zaidi nitakuwa nina wajuza yanayo jili. Kwa pamoja tutashinda kwa...
Wazee nimepata taarifa kutoka mbeya ambako waheshimiwa walikuwa wanatoa sadaka ya shukrani kwa mungu kutokana na maswahibu yaliyowakuta. Walikwenda na riport za ugonjwa wao uliokuwa unawasumbua...
...Kwangu mimi hii ni taarifa nzuri kusikia kuwa Mama Kilango ameanza kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa UWT...hii ni habari nzuri kwasababu,Anna Kilango Malecela ni mpinzani mkubwa wa Sophia...
Rais Kikwete akipanda mti katika bustani ya Jumba la Rideau Hall jijini Ottawa katika siku ya pili ya ziara yake rasmi nchini Canada huku akishuhudiwa na Gavana Jenerali wa nchi hiyo Mhe David...
Majibu ya Rais Kikwete huko Canada kama yalivyokopiwa toka IPP Media
"Alipoulizwa kwa nini Serikali yake haionyeshi uchangamfu mkubwa kuhusu ujenzi wa barabara ya lami kupitia Kusini mwa...
Katika kutumia kete ya Demokrasia, Dr. Mary Nagu aliyempiku Waziri Mkuu (mstaafu), Jumamosi iliyopita kule Katesh, leo yupo Babati katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Baraza Kuu na Halmashauri...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu...
Watz weng tulimwamini sana na kutegemea kuonacheche zake waziri mkuu pinda baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu baada ya kujiudhuru kwa lowasa. Lkn mambo hayakuwa kama watu...
Jeshi la polisi Mkoani Arusha inawasaka watuhumiwa wawili wa mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya usa river.
Watuhumiwa hao wawili walitoroka mahakama kuu kanda ya Arusha wakiwa...
sijuhi kama watanzania wanafahamu asilimia kubwa ya wananchi katika majimbo ambayo wapinzani walishinda katika uchaguzi uliopita walimpa kura mhe jakaya mrisho kikwete ? na kwa bahati mbaya kwa...
Ikiwa ni mwendelezo wa kile ulichokifanya Canada na maeneo mengine ambayo labda hayakuripotiwa au ilifichwa katika mikataba ambayo imekuwa ikisaini katika nyakati tofauti. Kuna Matukio mengi...
Siku chache zijazo(14.10) tutakumbuka kifo cha Baba wa Taifa..Taifa ambalo kwa sasa limebaki kama halina msemaji wa mwisho.
Taifa ambalo mtu kujadili udini si tishio,uchu wa madaraka ndio siasa...
wananchi katika jimbo la mwigulu nchemba wamesema wanaisubiri kwa hamu vuguvugu la mabaliko(M4C)katika utafiti uliofanywa katika vijiji mbalimbali vya jimbo hilo vikiwemo...
Hapo jana Nikiwa natokea maeneo ya Rongai huko Rombo Kilimanjaro nilikutana na gari la matangazo likitangaza juu ya mkutano wa chadema utakaofanyikia maeneo ya Tarakea na kwa taarifa nilizosikia...
Wiki kadhaa sasa wananchi wa jimbo la Kigamboni wamekuwa wakilalamikia utendaji wa mbunge wao kwenye forum hii na mimi nilisema kuna kata moja ya mianzini ambayo inakuwa kama haina Mbunge, M/Kiti...
Linganisha zawadi ya jezi na sanduku ambalo laweza kutunza madini yetu huko Canada. Zawadi ni zawadi ingawa hili la kutoa sanduku la Zanzibar badala ya zawadi inayohusiana na muungano linatia...
Nikikumbua JF ilivyompigia debe na kumuunga mkono Dr Ulimboka baada ya kufanyiwa kitu mbaya na serikali, najisikia vibaya kuona alivyotoweka. Je kunani au amelishwa kitu, kugwaya, au kaishia wapi...