Ee Tanzania,iko wapi thamani ya Nyerere? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ee Tanzania,iko wapi thamani ya Nyerere?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tetra, Oct 6, 2012.

 1. T

  Tetra JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siku chache zijazo(14.10) tutakumbuka kifo cha Baba wa Taifa..Taifa ambalo kwa sasa limebaki kama halina msemaji wa mwisho.
  Taifa ambalo mtu kujadili udini si tishio,uchu wa madaraka ndio siasa mfano kila anaepata umaarufu anadhani urais,ubunge anauweza !!,hoja za kuokoa Taifa zinazimwa na kusahauliwa upesi,ipi thamani ya kazi ya Nyerere? Au ni kulipia hela kuona kaburi lake ili familia yake isiangamie?
  TUJADILIANE mnitoe ukungu wa fikra,iko wapi thamani ya Nyerere,mbona aliyokemea ndio yanafanyika?
   
 2. T

  Tewe JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Hujawahi sikia watoto wanaomba baba afe ili wauze nyumba? Thamani yanyerere itabaki hata kama kuna madudu, swali lako lingekaa vizuri kama ungesema tunamuenzi vipi nyerere? Anyway mimi na wewe tunatakiwa kusimamia mageuzi halisi ili kuondoa uongozi dhalimu na kuweka madarakani uongozi makini utakaopambana na dhulima ndipo tutamuenzi nakudumisha heshima/thamani ya mwalimu
   
Loading...