Pinda na ukinyonga wake . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda na ukinyonga wake .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mapanga3, Oct 6, 2012.

 1. mapanga3

  mapanga3 JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 666
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Watz weng tulimwamini sana na kutegemea kuonacheche zake waziri mkuu pinda baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu baada ya kujiudhuru kwa lowasa. Lkn mambo hayakuwa kama watu tulivyotegemea, badala yake tumeshuhudia ukinyonga wake ktk utendaj wake kama waziri mkuu, amekuwa ni mtu wakusema jambo na baadae kujipinga mwenyewe, amempa wakati mgumu wazir magufuli ktk upanuzi wa barabara ,alishindwa hata kujaribu kumsimamisha katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini kwa madai yeye hana madaraka kwakuwa ni mteule wa rais. Juzi tumesikia alivyomchachafya mkurugenzi wa wilaya ya ukerewe, je hakujua huyu naye ni mteule wa rais kwa nin hakumgoja rais kwanza, ukiacha na hilo utakutana na kauli yake iliyomfanya alie bungeni huku akijua kuwa watz wengi walio mwamini kama mtendaji mahiri badala ya kutetea hoja yake aliposema wanaoua albino nao wauwawe. Tofauti ya wauaji wa albina na jambazi nin ? Binafsi tunaona bora lowasa angeendelea nchi isingefika hapa ilipo.
   
 2. T

  Tetra JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Labda na jina lake linachangia
   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Tatizo Pinda mwenyewe KAPINDA MNO, huyu jamaa hana lolote. Kilichopo hapo ni kuziba nafasi tuu sio kiongozi wa kutumikia wananchi. Ni bora hata nywele nyeupe ingawa inasemwa alikuwa na mkono mrefu, ha ha haaa!!!! huwa namkumbuka white hair kwa jinsi alivyokomalia majosho ya mifugo, malambo na sekondari za kata. Pinda sanasana huwa namkumbuka kwa kuangua kilio kama toto dogo mbele ya wanaume kwa kisingizio eti cha uchungu!!! ebo!!! mwanaume unaangulia kilio namna ile!!!
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Pinda ni shock absorber majibu yake mengi ni kupoteza hoja mara utamsikia ''serikali imeliona hilo na tutalifanyia kazi kwa mujibu wa sheria''.
   
Loading...