Rais Jakaya anaungwa mkono na majimbo yote ya upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Jakaya anaungwa mkono na majimbo yote ya upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BigMan, Oct 6, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  sijuhi kama watanzania wanafahamu asilimia kubwa ya wananchi katika majimbo ambayo wapinzani walishinda katika uchaguzi uliopita walimpa kura mhe jakaya mrisho kikwete ? na kwa bahati mbaya kwa kuwa majimbo hayo watu wnafahamu issue still wnamkubali kwa yale anayoyafanya pamoja na mikakati yake ambayo hakuna rais aliyepita ambaye aliweza kuyafikia
   
 2. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Amepewa au mliiba? 2015 mkithubutu mtaona balaa yake
   
 3. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwahiyo? kwani mr Dhaifu atagombea tena 2015?
   
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Bigman you are but the smallest man. Hujui unachosema. Nimekusamehe. Maana tumeambiwa ukivuliwa nguo na kichaa nawe ukamkimbiza utaonekana kichaa zaidi yake. Endelea kujidanganya ukiamini utawadanganya na wengine. Umeachwa wadhani umengojewa.
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Oh Yeah SIO MBAYA... 2015 hagombei so it does not matter hata kama ana 99.99% nchi nzima
  Unakumbuka pia Mkapa alipoondoka Madarakani alikuwa popular as well ???
   
 6. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Bigman thanx for expessing your freedom of speech, lakini haujui au unapotosha kwa makusudi ukweli uliotokea 2010
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kuna facts kwamba JK: Atakuwa ameacha big change by the time anaondoka, subiri muone!!!
   
 8. i

  iseesa JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natumai Majimbo hayo ya upinzani ni kweli wanamuunga mkono kuwa mambo yamemuelemea, na wanaunga mkono awe anajificha nje ya nchi kila uchao.
   
 9. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ni kweli mkuu maana hata ndege alizozikuta sasa hivi hakuna, big change
   
 10. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ilemela, ukerewe,karatu, arusha,moshi mjini,mbeya mjini nayo yamo kwenye research yako..au hata hukufanya?.
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Unaweza ukaungwa mkono na usipigiwe kura...mbona alichakachua??
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,640
  Likes Received: 4,747
  Trophy Points: 280
  BigMan, small mind.
   
 13. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  anaungwa mkono na vitanda maalum
   
 14. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Umekunywa mbinyuu au pingu? Maana naona unawenge
   
 15. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  kadanganye wafu wenzenuu! Kikwete alilisha na kuungwa mkono sana tanga,pwani,songea,morogoro,dodoma,na baadh ya mikoa mingne yapo sio sana kama mtwara,lindi,kagera,singida..lakn MWANZA,KILMANJARO,ARUSHA,MBEYA,shinyanga,tabora, KIGOMA,majmbo meng ktk mikoa hii walistukia usanii wake hakuambua ki2
   
 16. epson

  epson JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 508
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  sidhani kama kweli anaungwa mkono, hizo findings zako ni kazi ya intelijensia lakini ki ukweli haungwi mkono. think about Arusha, Mbeya, Mwanza etc
   
 17. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hiyo iingizwe kwenye guinness book of events.
   
 18. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  freedom fighter but a dictator
   
 19. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kikwete ni mtu wa watu na mdemokrasia
   
 20. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  hayo maeneo ambayo hakuungwa mkono ni kwa sababu yanakaliwa na wachaga wengi
   
Loading...