Wananchi wa jimbo la Mwigulu waisubiri kwa hamu M4C mamia kurudisha kadi za CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wa jimbo la Mwigulu waisubiri kwa hamu M4C mamia kurudisha kadi za CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndulungu, Oct 6, 2012.

 1. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wananchi katika jimbo la mwigulu nchemba wamesema wanaisubiri kwa hamu vuguvugu la mabaliko(M4C)katika utafiti uliofanywa katika vijiji mbalimbali vya jimbo hilo vikiwemo ulemo,kinampanda,ndago,kiomboi,shelui na kiteka wanasema wamechoshwa na tabia ya mbunge wao kutumika kama kipaza sauti cha mafisadi ndani ya ccm,aidha wanasema sababu nyingine ni kushindwa kutoa ufafanuzi kutokana na tuhuma zinazomkabili za kuchochea vurugu katika mkutano wa chadema kijiji cha ndago yasemekana mbunge huyo alikodi gari lililowapeleka vijana kufanya fujo kwenye mkutano wa chadema.hivyo basi kitendo hicho kimewaudhi wananchi na mamia kati yao waahidi kurudisha kadi za ccm pindi M4C itapowadia jimboni humo.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ooh!...oooh!!
   
 3. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ha ha haaa sio kivile ndugu yangu nchemba hiyo machine nyingine iramba ni nomaaaaaaa ene kukaa kulyambaaaa leka mbwane umosego wasowee.
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Hivi si alinunua madawati 50 na hili jimbo si ndio linaongoza kwa nyumba za tembe
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ohoo huyu jamaa ataua watu nyie chezeni kwenye jimbo lake
   
 6. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tunasubiri kwa hamu siku hiyo maana ndio funga funga kwa ccm na vibaraka wa mafisadi
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  usitishe watu yeye ninani au watu? hana chochote ni kichaa wala wananchi wasiongope maana ujinga wake ndio unawafanya wamkimbie yeye
   
 8. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa sasa dua zake zote ni M4C isifike katika jimbo lake.
   
 9. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
   
 10. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mwigulu wewe ni Member humu Upo tayari kuwakaribisha Makamnda wa M4C Nyumbani kwako na mkapata chakula cha mchana na :A S-coffee: kama alivyo fanya Membe?Au wewe Siasa unaichukulia kama ni Uadui?

  Nowdays votes are not interested with Process/stories/Propaganda, they need result......
   
 11. Ayoub Idd

  Ayoub Idd Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  WATU WANAULIZIA SANA TAREHE YA M4C WATASHUSHA MZIGO WA SERA. Hata iramba mashariki kama Iguguno, Milade, Nduguti, Kinyangiri, Ibaga.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Mzinzi Mwigulu
   
 13. Ayoub Idd

  Ayoub Idd Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  USIPOKUFA LEO UTAKUFA KESHO. Haina haja kuogopa kifo hasa kufaa kishujaa.
   
 14. Ayoub Idd

  Ayoub Idd Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  MABADILIKO HAYAZUILIKI HATA SIKU MOJA. Unaweza kuzuia kivuli kisitembee lakini huwezi kuzuia MABADILIKO.
   
 15. i

  ibange JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nchemba ana siasa za kitoto sana hili jimbo ni afadhali achukue dr mkumbo
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dr Mkumbo abaki udsm tuu na abaki kuwa mshauri wa chama.ila Guu la chemba lazima ang'oke 2015
   
 17. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hao wanyiramba hawaeleki eleweki kuna wakati walishirikiana na huyo mwehu kumvalisha Mbwa bendela ya chama chetu cha Ukombozi! (CHADEMA)
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nahisi harufu ya damu Mwigulu ataua mtu huko
   
 19. t

  tininti Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lake kikonga mayu, mimi ni rafiki yake mkubwa tangu enzi zile namwandikia notes za History Ilboru 1997. Kwa sasa tumetofautiana kiitikadi kwa kuwa mimi ni CDM ila urafiki bado upo, jamaa anawasiwasi sana na M4C. Si kama nazungumza kishabiki huu ni ukweli kwani namfahamu kwa karibu mno. lindila ukimbwela.

   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Peopleeeeeeeeeeeee!!!
   
Loading...