Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nagu Nafasi ya Ujumbe wa Baraza Kuu UWT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wambugani, Oct 6, 2012.

 1. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,733
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Katika kutumia kete ya Demokrasia, Dr. Mary Nagu aliyempiku Waziri Mkuu (mstaafu), Jumamosi iliyopita kule Katesh, leo yupo Babati katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Baraza Kuu na Halmashauri ya Kuu ya UWT - Mkoa wa Manyara.
   
 2. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,071
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  So what?
   
 3. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 9,681
  Likes Received: 2,414
  Trophy Points: 280
  Hili limama lina tamaa.... Sumaye while was her Boss PM alikuwa mtu wake wakaribu wa chumbani.... unavua underwear mara moja kutetea cheo...
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,091
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Vyeo vyote hivyo ni lini mtu atapata nafasi ya kufanya kazi za ki-waziri? No wonder mambo yanakwenda shagalabagala, watu wana mihangaiko mingi!
   
 5. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,733
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Inaonekana kuwa hiyo Wizara haina umuhimu wo wote ndiyo maana anajilimbikizia nafasi za KiCCM zaidi.
   
 6. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,542
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Huyu mama tamaa imemzidi
   
 7. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yupo kimkakati zaidi!
   
Loading...