Nini mantiki ya Kikwete kutoa sanduku la Zanzibar kwa Harper badala ya alama ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini mantiki ya Kikwete kutoa sanduku la Zanzibar kwa Harper badala ya alama ya Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Father of All, Oct 6, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Linganisha zawadi ya jezi na sanduku ambalo laweza kutunza madini yetu huko Canada. Zawadi ni zawadi ingawa hili la kutoa sanduku la Zanzibar badala ya zawadi inayohusiana na muungano linatia shaka. Je hii yaweza kutafsiriwa kama kuitangaza Zanzibar au kuiuza? Je Tanzania inahitaji kujigonga kwa wazungu kuishi au kutumia akili za kawaida common sense? Je kutoa zawadi ya Zanzibar ni kuitendea haki Zanzibar na kuuhujumu muungano au kutaka kuwaziba mdomo wanzanzibari wanaotaka kujitenga kwa kuhujumu muungano au kutapatapa? Nini maoni yako?[​IMG]
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,791
  Likes Received: 36,805
  Trophy Points: 280
  Hizi mambo namwachia Jussa

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwa Kiswahili sanifu linaitwa "kasha"
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  anavutia watalii
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mambo ya utalii hayo.Jussa akiona hilo utasikia kwani Tanganyika hamna masanduku
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Yapo masanduku ya bati kwa ajili ya wanafunzi wa boarding!!sanduku la nakshi huku bara hatuna,labda tuige hayo ya zanzibar
   
 7. hasason

  hasason JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 1,558
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Me nashangaa watu wanavyoipapatikia zanziba utafikiri ndo maziwa bahar mbuga migod au utashi yan me sioni gape lolote hata hiyo zanziba isingekuwepo dunian ni utaahira watanganyika kuililia a thing so called zanziba afu wanaita eti nchi zanzb ni kama mtaa wa unga ltd hapa chuga!
   
 8. k

  kilaki Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anapima tension ya jamaa wa uamsho.
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hili ni sanduku la Zanzibar? How? Anyway,yote kwa yote kupewa zawadi ya jezi haf yeye JK anatoa Sanduku (linaloonekana kuwa na thamani zaidi ya jezi) kunapungua kitu kikubwa tu!
   
 10. U

  Userne JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  watalii? kwani hoja za uamsho wamesha kubaliana?
   
 11. U

  Userne JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ahahahahaaa!
  hujui zanzibar kuna urojourojo? kwa raha zao wapendaƶ urojo wameweka kambi! Mkuu hivi kale kamuongozo ka cameroni hakapo canada?
   
 12. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  nnaona hamjaangalia vizuri, kapewa zawadi ya jezi na kitabu fair trade canada. ila kwa kua hatupendi kusoma hatukuona hilo. na ss hata zawadi ya kitabu kinachozungumzia tanzania tukampa zawadi au tukawa tunawapa zawadi wajionee yetu hatukuona umuhimu
   
 13. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Siyo kuvutia watalii bali anaomba cho chote.
   
 14. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Alipofungua bunge mwaka 2005 alisema"ukitaka kula lazima uliwe" lakini mbona waTZ tunaliwa sana kwenye madini??
   
 15. Ngofilo

  Ngofilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ninavyoliona hilo sanduku kwakuwa mimi nafanya hiyo biashara ya vinyago thamani yake si chini ya tsh.laki nane mpaka milioni kwa wazungu kama hao wa north america kama canada....kwakweli ukilinganisha na hiyo jezi na kitabu ni mangunga style....ni maoni tu
   
 16. Ngofilo

  Ngofilo JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ninavyoliona hilo sanduku kwakuwa mimi nafanya hiyo biashara ya vinyago thamani yake si chini ya tsh.laki nane mpaka milioni kwa wazungu kama hao wa north america kama canada....kwakweli ukilinganisha na hiyo jezi na kitabu ni chief mangungo style....ni maoni tu
   
Loading...