Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki iliyopita nikiwa ndani ya basi la kutoka Tabora kuja Dar basi lilisimama kama dakika 40 hivi kwenye mpaka wa Tabora na Singida ili kupisha makabidhiano ya mwenge wa uhuru hivyo kusababisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wanaokumbuka gea kubwa aliyoingia nayo waziri wa Ardhi maendeleo na makazi profesa Anna Tibaijuka wanajiuliza: je ilikuwa ni nguvu ya soda au amezimwa na mafisadi kama siyo bosi wake? Maana...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti Wakazi wa Arumeru Mashariki wameskitishwa kwa Watuhumiwa wa Mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA kutoroka polisi,mzee mmoja kada maarufu wa CCM aliyejitambulisha kwa jina moja la...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo! Napenda kumjulisha Mh.Waziri wetu wa Maliasili kuwa Open Areas ambazo ziko chini ya Halmashauri zetu hutumika kama njia ya utorosheaji wa wanyamapori,kuua pasipo taratibu za...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Malawi President Joyce Banda on Monday met leaders of various political parties at Sanjika Palace in Blantyre in second round of consultative meeting on the border wrangle with Tanzania, Nyasa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndiyo wakuu! Msafara wa Mbunge kivuli jimbo geita na katibu wa cdm wilaya geita ndo unakaribia eneo la kuzindulia kampeni. Zaidi nitakuwa nina wajuza yanayo jili. Kwa pamoja tutashinda kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
JUMAMOSI, OCTOBA 06, 2012 08:24 NA MWANDISHI WETU, NACHINGWEA *Ni Chikawe aliyepoteza U-NEC Nachingwea *Ageuka bubu, agoma kuzungumza na mwandishi *Kijana aliyeshinda aanguka, apoteza fahamu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazee nimepata taarifa kutoka mbeya ambako waheshimiwa walikuwa wanatoa sadaka ya shukrani kwa mungu kutokana na maswahibu yaliyowakuta. Walikwenda na riport za ugonjwa wao uliokuwa unawasumbua...
7 Reactions
76 Replies
9K Views
...Kwangu mimi hii ni taarifa nzuri kusikia kuwa Mama Kilango ameanza kuonyesha nia ya kugombea uenyekiti wa UWT...hii ni habari nzuri kwasababu,Anna Kilango Malecela ni mpinzani mkubwa wa Sophia...
0 Reactions
202 Replies
21K Views
Rais Kikwete akipanda mti katika bustani ya Jumba la Rideau Hall jijini Ottawa katika siku ya pili ya ziara yake rasmi nchini Canada huku akishuhudiwa na Gavana Jenerali wa nchi hiyo Mhe David...
5 Reactions
69 Replies
9K Views
Majibu ya Rais Kikwete huko Canada kama yalivyokopiwa toka IPP Media "Alipoulizwa kwa nini Serikali yake haionyeshi uchangamfu mkubwa kuhusu ujenzi wa barabara ya lami kupitia Kusini mwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika kutumia kete ya Demokrasia, Dr. Mary Nagu aliyempiku Waziri Mkuu (mstaafu), Jumamosi iliyopita kule Katesh, leo yupo Babati katika kinyang'anyiro cha nafasi ya Baraza Kuu na Halmashauri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu...
20 Reactions
220 Replies
18K Views
Watz weng tulimwamini sana na kutegemea kuonacheche zake waziri mkuu pinda baada ya kuteuliwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu baada ya kujiudhuru kwa lowasa. Lkn mambo hayakuwa kama watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jeshi la polisi Mkoani Arusha inawasaka watuhumiwa wawili wa mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya usa river. Watuhumiwa hao wawili walitoroka mahakama kuu kanda ya Arusha wakiwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
sijuhi kama watanzania wanafahamu asilimia kubwa ya wananchi katika majimbo ambayo wapinzani walishinda katika uchaguzi uliopita walimpa kura mhe jakaya mrisho kikwete ? na kwa bahati mbaya kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Ikiwa ni mwendelezo wa kile ulichokifanya Canada na maeneo mengine ambayo labda hayakuripotiwa au ilifichwa katika mikataba ambayo imekuwa ikisaini katika nyakati tofauti. Kuna Matukio mengi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku chache zijazo(14.10) tutakumbuka kifo cha Baba wa Taifa..Taifa ambalo kwa sasa limebaki kama halina msemaji wa mwisho. Taifa ambalo mtu kujadili udini si tishio,uchu wa madaraka ndio siasa...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
wananchi katika jimbo la mwigulu nchemba wamesema wanaisubiri kwa hamu vuguvugu la mabaliko(M4C)katika utafiti uliofanywa katika vijiji mbalimbali vya jimbo hilo vikiwemo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Lake belongs to Malawi, UK letters reveal As Malawi and Tanzania grapple with finding solutions to the Lake Malawi boundary wrangle, Downing...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…