Kauli hii ya Wilson Mukama... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli hii ya Wilson Mukama...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kitulo, Oct 10, 2012.

 1. Kitulo

  Kitulo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 2,223
  Likes Received: 2,350
  Trophy Points: 280
  Kwenye ripoti ya kamati ya waziri Nchimbi , Mukama alitoa pendekezo lifuatalo,ninanukuu "Katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama,alishauri kufanyiwa marekebisho kwenye sheria ya vyama vya siasa namba 5 ya mwaka 1992 itakayoweka wazi shughuli ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Akisisitiza kuwa shughuli ya za siasa baada ya uchaguzi mkuu zihamie bungeni kwa wanasiasa kuhoji mipango ya maendeleo ya Serikali na matumizi ya rasilimali za nachi na wananchi waachwe wachape kazi zao za maendeleo" mwisho wa kunukuu.

  Nina maoni yafuatayo kwa Mukama:

  Kazi mojawapo ya vyama vya siasa ni kufanya siasa muda wote bila kujali kama kuna uchaguzi mkuu au hakuna ili visiitwe vyama vya msimu na lengo la kufanya hivyo ni kujitangaza kwa kueneza sera zao na mikakati yao ili kujiandaa kwa uchaguzi mkuu unaofuata na uchaguzi wa serikali za mitaa kama uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2014.

  Hakuna mwananchi anayelazimishwa kushiriki kwenye shughuli za siasa hivyo si kweli kwamba shughuli za siasa zinasababisha wananchi wasichape kazi zao za maendeleo.

  Je,kwa vyama ambavyo vilishiriki kwenye uchaguzi mkuu na havikupata mbunge/wabunge wao watahamishiaje shughuli za siasa bungeni? tusitunge sheria kwa sababu ya kukizuia chama fulani kufanya kazi zake za kujenga chama tuache wananchi wenyewe waamue kama waende kwenye mikutano ya vyama vya siasa au la.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Na yeye kwa vile si mbunge atakuwa hana kazi mpaka uchaguzi ufike
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Kazi ya kichwa siyo kuotesha nywele.
   
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Fikra mgando!!
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mukama uwezo wake ni mdogo sana kwenye masuala ya utawala.
   
 6. m

  malaka JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  HUo unaitwa uoga. Mtu anakimbia kivuli chake.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Kha.....is this really from you? Rest my soul!
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Akili za kuambiwa shirikisha na zako ...Mbayuwayu
   
 9. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Is not only like what he said but also Mukama is like a frozen statue.I know the guy for sure
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Ufahamu unaanza kurudi tartiiiiiiiiiib, ipo siku utavua gamba tu.
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  chezea ritz wewe?
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Ritz1 huwa ni realistic, huwa anapenda kuponda kitu kama kina ubaya wahusika wajigundue warekebishe, warudi kwenye mstali husika.
   
 13. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Moja ya gonjwa kubwa (Cancer) ndani ya CCM ni kuchaguana kwa kujuana na kimtandao! Mukama hafai hata kuwa mpiga debe wa CCM ni janga!
   
 14. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wengine wanatakiwa wanyongwe tu kwasababu hawana maana yeyote duniani......afadhali hata nguruwe anatoa mbolea na nyama yake ni tamu sana kwa wale watumiaji....!!!
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  oh dear!

  Gabbage in gabbage out! Mauaji yametokea Iringa, kamati inamfuata Mukama Dar na kumuuliza uendeshwaji wa shughuli za vyama vya siasa! Na wakifanya kama anavyotaka Mukama ina maana Lumumba including yeye Mukama watakuwa hawana kazi!

  Pili, aliyeuliwa ni mwandishi wa habari tena akiwa kazini na sio mwanasiasa!

  Nadhani kuna haja ya kuangalia tena hukumu alizowahi toa huyo Jaji (mstaafu) Ihema. Amefanya kazi tofauti na hadidu rejea zilivyoeleza, lakini kubwa, ilikuwaje Jaji akaongoza kamati-batili?
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Naona cha kwake kinabeba masikio tu!!!
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uongozi wenyewe aliomba kwa kubembeleza na mkuu wake hupenda kuchagua vilaza ili awaburuze sasa ulitarajia nini.kama methali zingekuwa na maana ya moja kwa moja ningejua hana akili maana akili ni nywele.hii chadema hii itawaua miaka hii.
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa sababu jaji mwenyewe ni batili.
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,266
  Trophy Points: 280
  Chadema chama cha vurugu na fujo.

  [h=5]
  [/h][​IMG]
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bora ya Yusufu Makamba kuliko Mukama
   
Loading...