Spika na kamati ya madini

Spika na kamati ya madini

zethumb

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
610
Reaction score
137
Katika Bunge la bajet mwaka 2012 kulitokea zogo kubwa wizara ya Nishati na Madini kitu kilichopelekea Kamati ya Bwana Bunge kuvunjwa na Spika bibi wa Kanuni kuwa ilidaiwa kula mlonhula kukwamisha bajeti ya Professor Muhongo..! Spika Makinda alivunja kamati kwa kuamini kuwa tuhuma ni za kweli na kwamba kuna ukweli kwamba Waheshimiwa (jina linakosa hadhi kwa sasa) walikuwa nyuma ya pazia kumkwamisha Muhongo... Spika kwa kutumia kanuni akalivunjilia mbali kamati akaunda tume (pia ya waheshimiwa) kuwachunguza waheshimiwa wenzao.. juzi tume imetoa taarifa (sijafanikiwa kuipata) nimesoma content yake kwenye viombo mbali mbali za habari, ambayo ilisema hakuna kitu chochote chenye dalili ya rushwa kilichotokea katika kadhia hiii...na spika akampa ONYO KALI katibu MASWI!

MASWALI
1..makinda alivunja kamati kwa msingi ipi, je tuhuma tuu zilimtosha kuvunja kamati ile?!
2..Tume ya wabunge kuchunguza wabonge hakuna biasness foreseen hapa?
3..Je zile kelele za wabonge kipindi cha kushabikia uvunjwaji wa kamati zilikuwa hazina ukweli ndani yak?
4..Ndo tuseme hakukuwa na wabubge nyuma ya kadhia ile wakat wa bajet?!
 
Na kama Kamati ile ya Nishati haikukutwa na makosa kwa mujibu wa Spika, ndo kusema amewarudisha mzigoni? Kwanini asitangaze tena kuwa ile kamati yangu ya madini niliyoivunja nairudishia tena mamlaka kwakuwa hakuna hatia?
 
hapo ndo nashindwa kuelewa weledi wa huyu biim mkubwa mr KOMEO! alivunja kamti kwa sababu ya tuhuma tuuu, hii siyo kinyume na katiba na kama kanuni zake zina mruhusu basi kanuni zinaenda kinyume na katiba, innocent until proved guilty!?
 
Ina maana nae alikurupuka na kudanganya bunge pale alipovunja kamati kwa tuhuma ambazo hakuzifanyia kazi?
 
Ina maana nae alikurupuka na kudanganya bunge pale alipovunja kamati kwa tuhuma ambazo hakuzifanyia kazi?

Uweledi wa spika wetu safari hii is questionable Rusanju! huwezi kwa bwembwe vile uvunje kamati halafu leo unatangazia umma kuwa ni njama za Maswi wizaran!! Wanasiasa naona wanalindana tuu hakuna cha representative wa wananch wala nini sasa hivi! ingelikuwa ni taasisi nyingine nadhani tungekuwa tunaongea mengine sasa bungen
 
Kesi ya mbuzi kuipeleka kwa mbuzi ili ampe favour kondoo, its impossible blood is thicker than water
 
Nadhani Spika Makinda alikuwa right kuvunja ile kamati kwa ajili ya tuhuma iliyokua ikiwakabili ili wapishe uchunguzi juu yao ufanyike,Na kuhusu matokeo ya uchunguzi huo sijawasi nao saaaana kwa ajili ya Brigedia General...........,namwamini kiasi fulani yule mkuu si mtu wakuyumbishwa kairahisi sana.

Na Madam Spika sasa hivi sheria za bunge amezimeza sana kwani kila usiku halali bila kumeza 2,3.

So dont worry.
 
Huyu mama naona uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana. inaonesha wazi kuna kitu kimejificha ndani ya pazia na ndiyo maana hakutaka mkti wa kamati awasilishe taarifa kama ilivyo kawaida. Hivi yeye ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Makatibu wakuu???
 
Mwanasiasa ni mwanasiasa tuu awe generali au nurse! kwani wasingeweza kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuivunja?!
 
Nadhani Spika Makinda alikuwa right kuvunja ile kamati kwa ajili ya tuhuma iliyokua ikiwakabili ili wapishe uchunguzi juu yao ufanyike,Na kuhusu matokeo ya uchunguzi huo sijawasi nao saaaana kwa ajili ya Brigedia General...........,namwamini kiasi fulani yule mkuu si mtu wakuyumbishwa kairahisi sana.

Na Madam Spika sasa hivi sheria za bunge amezimeza sana kwani kila usiku halali bila kumeza 2,3.

So dont worry.

Usibabaishwe sana na cheo kinachoitwa Brigedia Jenerali. Ukishakuwa mbunge wa ccm unacompromise hata huo ubrigedia jenerali, chama kwanza usoja baadae. Na kama ingekuwa wanajeshi ni strong hata wakiingia ccm basi mambo yangekuwa supa, manake mkulu mwenyewe ni Luteni nini sijui, at least kijicheo flani jeshini. Lakini je unaridhika na mambo ayafanyayo, unaweza kufikiri au kuhisi kuwa angalau alipita kwenye majengo ya jeshi huyu?
 
Huyu mama naona uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana. inaonesha wazi kuna kitu kimejificha ndani ya pazia na ndiyo maana hakutaka mkti wa kamati awasilishe taarifa kama ilivyo kawaida. Hivi yeye ndiyo mamlaka ya nidhamu ya Makatibu wakuu???

nami napata taabu hapa ndugu huyu mama na kanuni zake anatupeleka kusiko....ripot kwa nini asisoma mwkt?!
 
Back
Top Bottom