Reconditioned / recycled leaders.

Reconditioned / recycled leaders.

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Posts
1,017
Reaction score
258
Nimeshangazwa na kitendo cha CCM kumwibua upya Mzee Philip Mangula kuwa makamu mwenyekiti wa CCM bara! Najiuliza mzee Philip Mangula alishatumikia chama kwa muda mrefu na inawezekana alifaa sana kwa wakati wake! Je CCM haina viongozi wengine wenye uwezo wa kuendana na kasi ya sasa! Msekwa alikuwa amechoka chama kikampa kazi ngumu sana ya kuongoza chama badala ya kuwa mshauri.

Kwanini chama hakiamini vijana na makada wake wengine?
 
Hivi mzee dr slaa, mzee mtei et al are supposed kuwa brand new kids on the block?
 
Mzee Dr. Wakweli W. Slaa hajwahi kuongoza chama na kustaafu,Sasa ndo tunaona vitu vyake. Siongelei Umri mkuu MasoPakyindi nu Mposi KwaNdima! Mtei amestaafu na sitarijii atakuja ibuliwa tena eti makamu au mwenyekiti wa chama! CCM Kwanini wasimpe hata Mzee PaulKimiti, Kinana au Dr. Diaro?
 
Haaa!
Malafyale, kwa vile tumeamua kuongelea watu na siyo siasa mambo makafu!
Naona umenipa lupaalo, Maso pakyindi nu Mposi Gwa Ndima, kwa heshima na taadhima nkubali jina hilo!!!
 
Nimeshangazwa na kitendo cha CCM kumwibua upya Mzee Philip Mangula kuwa makamu mwenyekiti wa CCM bara! Najiuliza mzee Philip Mangula alishatumikia chama kwa muda mrefu na inawezekana alifaa sana kwa wakati wake! Je CCM haina viongozi wengine wenye uwezo wa kuendana na kasi ya sasa! Msekwa alikuwa amechoka chama kikampa kazi ngumu sana ya kuongoza chama badala ya kuwa mshauri.

Kwanini chama hakiamini vijana na makada wake wengine?
unashangaa nini sasa, kwani wangelifanyaje mbaloi na hapo?
 
Back
Top Bottom