Jinsia katika vyama vya siasa!

Jinsia katika vyama vya siasa!

Ngandema Bwila

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2010
Posts
1,017
Reaction score
258
Kama uliangalia mkutano mkuu wa CCM,Utagundua kuwa meza kuu yote ilikuwa na madume tu!
Mimi Siku zote naamini CDM huonyesha njia vinginevinafuta! Je katika hili vipi CDM mko tayari kuwapa nafasi kina Mdee, JoyceWasira, na wanake wengine kushika nafasi za uongozi ngazi ya juu katika vyama?
 
Labda wataanzisha wajumbe wa NEC kupitia viti maalumu.
 
Kama uliangalia mkutano mkuu wa CCM,Utagundua kuwa meza kuu yote ilikuwa na madume tu!
Mimi Siku zote naamini CDM huonyesha njia vinginevinafuta! Je katika hili vipi CDM mko tayari kuwapa nafasi kina Mdee, JoyceWasira, na wanake wengine kushika nafasi za uongozi ngazi ya juu katika vyama?

Ngoja niwasemee CDM ingawa mimi sio msemaji wao. Mdee tayari ni Mbunge nafikiri anafanya vizuri ubunge + uwaziri kivuli wa ardhi (kwa uchache rejea hoja yake binafsi last week). Huyu Joyce Wasira simjui kwakweli, labda wenyewe watakujibu.
 
kwetu ccm wanawake wana kazi maalum haswa kwenye chaguzi kama hizi haswa usiku tukiwa tumechoka.
na unajua tena hatuendaji na wake zetu.
 
Kama uliangalia mkutano mkuu wa CCM,Utagundua kuwa meza kuu yote ilikuwa na madume tu!
Mimi Siku zote naamini CDM huonyesha njia vinginevinafuta! Je katika hili vipi CDM mko tayari kuwapa nafasi kina Mdee, JoyceWasira, na wanake wengine kushika nafasi za uongozi ngazi ya juu katika vyama?
unajua unavyouliza ni kama vile umetuma ujumbe huu kwenye email account ya ukusanyaji maoni/maswali ya chadema?
 
Back
Top Bottom