Siasa na Watu

kajumula.

Member
Jun 29, 2012
34
0
kuna watu wanapenda kudumisha mawazo mgando na katu hawako tayari kushauliwa. Mfano watu wanaojiaminisha kuwa chama ni mtu/ watu na siyo itikadi wala sera.

Je ni kweli chama ni watu au?:shut-mouth:
 
kuna watu wanapenda kudumisha mawazo mgando na katu hawako tayari kushauliwa. Mfano watu wanaojiaminisha kuwa chama ni mtu/ watu na siyo itikadi wala sera.
Je ni kweli chama ni watu au?:shut-mouth:
Chama ni combination of the two!
Kama sera ni nzuri watu wabovu, chama kitalaumiwa!
Equally, kama sera ni kizungumkuti, na watu ni bora, chama kitalaumiwa sana!
So, there is a very thin line in between them!
 
i have read ur peply. i have come to realize for sure that no party without people and at the same time u may have people but not members to follow/support ur party, if that is a case how can u signifies the goodness of the political party?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom