Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Chuo kikuu Muhimbili kitatoa madaktari 5000, Dodoma 5000, Mloganzila kitakuwa kikitoa 12,000 ifikapo 2015" source...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Baada ya mkakati mzito uliopangwa na CCM wilaya ya Simanjiro, hali imewaendea vibaya makamanda wa CHADEMA Wilayani hapa huku kukiwa na taarifa za uhakika ya makamanda hawa kufanya ufisadi wa...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
The successful results of the three-well appraisal programme on the Jodari field offshore Tanzania significantly 'de-risks' the project and underlines is potential, according to 40 per cent...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Huu ni uwanja wa Nape Nnauye. Asiingiliwe. Karibu jukwaani kaka Nape uelezee kwa ufasaha mambo haya: 1. Pesa za Uswisi 2. Kujivua gamba 3. Ahadi za Rais Kikwete na utekelezaji wake 4. Hatua za...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika utawala wa Mwl Nyerere kulikuwa na kipindi asubuhi kwenye Radio Tanzania kwamba ''Ulinzi na usalama wa Tanzania ni wa Watanzania wenyewe, kila Mtanzania, kila mzalendo na kila njamaa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Selemani Amiri Nduboganyi , aliyekuwa m.kiti wa ccm wilaya ya Rufiji na aliwahi kuwa katibu mwenezi wa CCM Wilaya ya Rufiji, ameamua kujivua gamba leo na kujiunga na CDM katika mkutano wa Kibaha...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na mkuu wa wilaya ya Nyamagana, ambaye pia ni kada maarufu wa CCM amemuamuru kamanda wa polisi wilaya(OCD) kuwakamata mara moja wabunge wa Chadema...
0 Reactions
99 Replies
6K Views
Mbali na kuwa mwanasiasa wa muda mrefu hapa Tanzania,natamani sana kushuhudia muziki wa kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015.Hadi sasa vyama viwili vinaonekana wazi kuwa viko katika mipango...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wana JF! Upo msemo mmoja wa kiingereza usemao "no research no right to speak", hivi ndivyo ilivyo kwangu binafsi,naomba wadau wenye taarifa za kina kuhusu chama cha ADC...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
GAZETI moja la kila siku nchini, hivi karibuni, katika ukurasa wa mbele, lilibeba taarifa yenye kichwa cha habari: "Zitto afichua siri na JK"... "Ni iliyomfanya JK asifike jimboni Kigoma Kaskazini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo kuanzia saa nane mchana Dr Slaa baadhi ya wabunge wa CHADEMA watafanya mkutano mkubwa ndanI ya Kibaha.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Alhamisi, Desemba 13, 2012 12:50 Masyaga Matinyi *Mawaziri wa JK wagongana kuhusu Tanapa *Nyarandu alikurupuka kuandikia barua watendaji WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tarehe 12/12/2012 ndio siku ya mwisho kwa mkurugenzi wa idara ya misitu na nyuki Dr Felician Kilahama kuendelea kukalia kiti baada ya muda wake wa kustaafu kukamilika rasmi,lakini cha ajabu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ukweli Tanzania iko hatarini na maisha ya baadae yatakuwa hatari kuliko hata Somalia..... Pima na fikiri kwa undani. Sasa tujadili jambo la kufanya kwa sasa ili tuokoe nchi. - Kwanza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TUME ya Warioba ambayo imepewa mamlaka makubwa kukusanya maoni ya wananchi na kuandika au kurekebisha Katiba, ni kama haikujiandaa vizuri. Ni tume ya watawala, inayoundwa na wajumbe wengi...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Thursday, December 13, 2012 Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeshutumiana vikali kuhusiana na kuvunjika kwa mikutano miwili ya kutoa maoni ya katiba Visiwani Zanzibar...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa natakufahamu ukweli wa nini kilichosababisha mkutano wa CHADEMA maeneo ya Sinza RPC Kanyela
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili ni wazo langu_KAMA inawezekana CHADEMA kiunde tume itakayokuwa inaandaa;kuratibu na kusimamia chaguzi mbalimbali za ndani ya CHADEMA.Democrasia ikianzia ndani ya chama itahamia pia katika...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
napenda kusema pesa za kodi za wazee wetu masikini vijijini tunazo zila kwa sasa tukipe wa na mafisadi au walalia uchumi na maendeleo yetu na taifa letu leo yatakua sababu ya hukumu yetu badae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I was recently interviewed by one of the leading social media platforms in East Africa (www.JamiiForums.com). It was a record interview, 8 hours consecutively where I responded to 85 very...
30 Reactions
107 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…