VIJANA wakitanzania fedha na kodi za wazee WETU masikini zita kuwa hukumu kwetu


L

lerai

Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
63
Points
70
Age
25
L

lerai

Member
Joined Oct 6, 2012
63 70
napenda kusema pesa za kodi za wazee wetu masikini vijijini tunazo zila kwa sasa tukipe wa na mafisadi au walalia uchumi na maendeleo yetu na taifa letu leo yatakua sababu ya hukumu yetu badae kwani tuna poteza utu kwa ajili ya pesa na tuna shindwa kuwa kumbuka wazee wetu masikini na ndugu zetu masikini vijijini wana kula mlo mmoja kwa siku wana lala wana nyeshewa na mvua wana tembea umbali mrefu kutafuta matibabu na maji na maji wakiya pata sio safi na salama leo tuna kuja na kupata muda wakuandika na kusema vitu visivyo na msahada kwa wazee wazazi wetu vijijini na tuna ongelea vitu tulivyo ambiwa na watu wasio jua shida ya maji njaa wala wasio jua mlo mmoja vijana mamluki wa chama kisicho watetea wazee wetu na ndugu zetu vijijini na tuka pokea ela zao hau fedha zao na tuka pinga wanao watetea masikini na watanzania wote hoi hae hukumu ya jasho letu wanyonge itakua juu yao

NAWASII VIJANA WEZANGU TUFIKILIE WEZETU NA NDUGU,JAMAA NA RAFIKI ZETU VIJIJINI!!
 

Forum statistics

Threads 1,283,662
Members 493,764
Posts 30,796,057
Top