Matata bado meya halali wa manispaa ya Ilemela

TUNTEMEKE

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Messages
4,584
Points
1,225
TUNTEMEKE

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2009
4,584 1,225
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.

Taarifa zilizopatikana jana na kuwafikia wadau mbalimbali ambapo kama kawaida ya watanzania waliowengi kuchukulia mambo kishabiki bila kufanya utafiti wa kina .

Waliingia mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wakisherehesha kionjo hiki kuwa MATATA KAFUKUZWA UMEYA BAADA YA KUSHINDWA KESI ALIYOKUWA AMEFUNGUA MAHAKAMA YA MWANZO YA KUPINGA KUVULIWA UANACHAMA DHIDI YA BODI YA WADHAMINI.

Kilichofanyika jana na mlalamikaji ambae ni Matata ni kufuta kesi hiyo aliyoifungua mahakama ya hakim mkazi huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Asante kwa taarifa njema
 
mchuziwanyoka

mchuziwanyoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
374
Points
170
mchuziwanyoka

mchuziwanyoka

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
374 170
siunajua wote wanaakili za baba colin babu s ndiomaana wanakurupuka kipofi haoni kibao kilichoandikwa hatari mpaka umshike mkono dawayao kuwashika mikona na kuwapa kadi kama babu padiri hiyo kadi alikabiziwa na jk nyerere aicc simba grl yeye na kikwete sindo maana anaiifadhi
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
siunajua wote wanaakili za baba colin babu s ndiomaana wanakurupuka kipofi haoni kibao kilichoandikwa hatari mpaka umshike mkono dawayao kuwashika mikona na kuwapa kadi kama babu padiri hiyo kadi alikabiziwa na jk nyerere aicc simba grl yeye na kikwete sindo maana anaiifadhi
Jifunze kuandika wewe
 
bht

bht

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
10,339
Points
1,250
bht

bht

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
10,339 1,250
'Matata anaendelea kuwa diwani wa mahakama...'
Really?
Sijui ulikuwa unafukuzana na nani kupost hii habari.
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Mkuu mbona unapotosha.
Ni kesi ipi na lini Matata. amefungua Mahakama kuu kanda ya Mwanza? Ni lini hiyo kesi imetajwa?

Kesi ya msingi ni ipi?
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,402
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,402 0
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.

Taarifa zilizopatikana jana na kuwafikia wadau mbalimbali ambapo kama kawaida ya watanzania waliowengi kuchukulia mambo kishabiki bila kufanya utafiti wa kina .

Waliingia mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wakisherehesha kionjo hiki kuwa MATATA KAFUKUZWA UMEYA BAADA YA KUSHINDWA KESI ALIYOKUWA AMEFUNGUA MAHAKAMA YA MWANZO YA KUPINGA KUVULIWA UANACHAMA DHIDI YA BODI YA WADHAMINI.

Kilichofanyika jana na mlalamikaji ambae ni Matata ni kufuta kesi hiyo aliyoifungua mahakama ya hakim mkazi huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni

Sijakuelewa vyema hapo uliposema 'ataendelea kuwa diwani wa mahakama na msahiki meya wa Manispaa ya Ilemela kisheria"

Kwa nini isiwe pia ataendelea kuwa "mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemele wa mahakama?" uliogopa nini kutamka hilo ambalo ni la ukweli pia - kwani kwa kuwa aliwekwa (alirudishwa) udiwani na mahakama, udiwani ambao ulimuwezesha kupata umeya, basi hata huo umeya ni wa mahakama. Au?

Na kwa nini alifungua kesi mbili? Aliogopa kushindwa -- kwamba akishindwa moja , basi ataendelea kuinjoi umeya kutokana na kesi ya pili.
 
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
5,296
Points
0
L

Lwesye

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
5,296 0
Duh moyo wangu umevunjika mimi nilikuwa mmoja wa wale waliofurahi sina la kusema naomba basi mungu amtende kitu kama kupofuka macho,kupata kiarusi,kansa ya ubongo nakadharika manake kidunia amewekwa na wajanja

Hivi anajisikiaje mpaka wananchi wanafurahia anguko lake inaelekea roho yake yakijambazi haijali
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,402
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,402 0
Sijakuelewa vyema hapo uliposema 'ataendelea kuwa diwani wa mahakama na msahiki meya wa Manispaa ya Ilemela kisheria"

Kwa nini isiwe pia ataendelea kuwa "mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemele wa mahakama?" uliogopa nini kutamka hilo ambalo ni la ukweli pia - kwani kwa kuwa aliwekwa (alirudishwa) udiwani na mahakama, udiwani ambao ulimuwezesha kupata umeya, basi hata huo umeya ni wa mahakama. Au?

Na kwa nini alifungua kesi mbili? Aliogopa kushindwa -- kwamba akishindwa moja , basi ataendelea kuinjoi umeya kutokana na kesi ya pili.
waache tu hao wasaliti na mabwana zao waendelee kuchezea haki. Wataaibika tu -- iko siku!
 
Sabung'ori

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,102
Points
1,250
Sabung'ori

Sabung'ori

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,102 1,250
...ni suala la muda tu....
 
D

DANIEL MSWELO

New Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
4
Points
0
Age
29
D

DANIEL MSWELO

New Member
Joined Dec 15, 2012
4 0
Anapaswa kusimamishwa umeya kama ameshindwa kesi ya kufukuzwa udiwani xaxa huo umeya anautoa wapi?? Hebu huyo matata kama jina lake afukuzwe umeya kwan mazingira yanaonesha kuwa ametumwa na ccm na serikali yake ili kudhorotesha kasi ya chadema manispaa ya ilemela kupitia baraza la madiwan.hana jipya huyo matata
 
Eraldius

Eraldius

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
576
Points
225
Eraldius

Eraldius

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
576 225
Asubuhi kaamka na kuzungukia vijiwe vyote huku akijitamba kuwa yeye ni meya.Chakushangaza akiurizwa kuhusu kesi hiyo anasema yeye kaja kuwahakikishia kuwa yeye bado meya.Wana jamvi napenda kuwapa moyo kuwa huyu jamaa ni mda mfupi atashika adabu.Nasema haya baada ya kushuudia upinzani alionao Mwanza nzima na baada ya kuingia katika soko la dagaa na samaki MWALONI,kazomewa na kufukuzwa,ndipo alipotaka kuchomoa bastora dereva akamzuia na akamchapa vibao dereva wake.Baada ya hapo akafukuzwa na madereva pikipiki.Ni tukio la majira ya saa mbili .
 
Na iwe hivyo ili kila afikilipo ajue kila mtu anamjua hastahili
 
dedam

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
846
Points
195
dedam

dedam

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
846 195
mbona magamba wanamshadadia sana aendelee kuwa meya? kunanini nyuma ya pazia
 
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,191
Points
2,000
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,191 2,000
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.

Taarifa zilizopatikana jana na kuwafikia wadau mbalimbali ambapo kama kawaida ya watanzania waliowengi kuchukulia mambo kishabiki bila kufanya utafiti wa kina .

Waliingia mitaani na kwenye mitandao ya kijamii wakisherehesha kionjo hiki kuwa MATATA KAFUKUZWA UMEYA BAADA YA KUSHINDWA KESI ALIYOKUWA AMEFUNGUA MAHAKAMA YA MWANZO YA KUPINGA KUVULIWA UANACHAMA DHIDI YA BODI YA WADHAMINI.

Kilichofanyika jana na mlalamikaji ambae ni Matata ni kufuta kesi hiyo aliyoifungua mahakama ya hakim mkazi huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni
Anaendelea kuwa meya kwa tiketi ya chama gani?kama kesha futa kesi aliyoifungua mwenyewe ina maana kakubaliana kimsingi na maamuzi halali ya kumvua uanachama,labda kama kuna sheria nyingine inayomruhusu kuendelea kukalia kiti cha umeya huku akiwa si meya kikanuni.
 
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
4,559
Points
0
Mimibaba

Mimibaba

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
4,559 0
Huku AKIWA NA KESI YA AINA HIYOHIYO MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA,hivyo basi Matata ameendelea kuwa diwani wa mahakama na Mstahiki Meya wa manispaa ya ilemela Kisheria..karibuni
Ingekuwa kisheria asingekuwa na kesi mahakamani, ana kesi inayosubiri maamuzi ya kisheria. Usisahau alikwisha fukuzwa uanachama wa Chadema; kwa hiyo usimuhusishe umeya wake na uanachama wa CDM. Ni mporoji tu asubiri hukumu kama siyo ya mahakama ya umma au ya CCM
 
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,108
Points
2,000
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,108 2,000
Matata anakumbana na moja ya vitu vibaya zaidi duniani, kupambana na kukataliwa kwenu ni kitu cha hovyo kabisa. muulizeni anajisikiaje kwa kukosa huo umeya atawajibu.

Nawapongeza chadema kwa kuthubutu kuonesha kuwa katiba ya chama ndio inaongoza yote na wala sio nafasi ya mwanachamaa ndani ya chama. endapo ccm wangeongozwa kwa kuzingatia katiba yao, TZ ingekuwa ya mfano mzuri duniani
 
F

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Messages
1,122
Points
1,250
F

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2012
1,122 1,250
Matata na CCM wanapoteza muda tu. Ajifunze kwa waliokuwa madiwani kupitia CHADEMA Arusha pamoja na fedha walizopewa na CCM mwishowe walishindwa. Hiyo kesi nyingine aliyofungua matata inahusu nini? aliifungua lini?
 
Forum statistics

Threads 1,285,255
Members 494,502
Posts 30,855,557
Top