Mkoa mpya Simiyu: Wananchi kuweka kando tofauti za kisiasa kwa kudai haki yao

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,216
Kikwete mtegoni tena
na Waandishi wetu-TANZANIA DAIMA

Maswawatishia kuandamana

Katika hatuanyingine, hatua ya Rais Kikwete kuunda mikoa mipya, imezua balaa baada ya mamiaya wananchi wa wilaya ya Maswa, mkoa wa Shinyanga kuandaa maandamano iwaposerikali itaamua kuyaweka makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu katika wilaya yaBariadi.
Wakizungumzakatika mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Nguzo Nane nakuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa wilaya hiyo, wananchi hao wamedai kuwa hawakotayari kutendewa hivyo na wataandamana hata ikilazimu kupigwa risasi.

Katika mkutanohuo ulioitishwa kwa ajili ya kutoa maoni ya mapendekezo juu ya nia ya serikaliya kupeleka makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu mjini Bariadi, wananchi haowamesema uamuzi huo ni dharau kwao na unataka kufanywa kwa ajili ya manufaa yaviongozi wachache.

“Sisi wanaMaswa tutaandamana bila kujali itikadi za vyama kamahatutasikilizwa na tuko tayari kupigwa risasi. Hatuwezi kunyang’anywa haki yetukwa ajili ya ubinafsi wa viongozi wachache,” alisema mkazi mmoja wa Maswa,Thomas Nkola, na kushangiliwa na umati wa wananchi.

Walisema kuwaviongozi wa mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa wilayaya Bariadi wamekuwa na desturi ya ubinafsi katika masuala yenye maslahi ya ummakitendo kilichodhihirika katika ujenzi wa barabara ya lami ya Mwigumbi–Maswa-Lamadi.

“Viongozi wetuwa mkoa wa Shinyanga na wa Bariadi wametuona sisi wa Maswa watulivu sana hivyo wanatumiamwanya huo kutuchezea.

“Mfano ujenziwa barabara ya lami ya Mwigumbi-Maswa-Lamadi ilitakiwa ianzie Mwigumbi kujaMaswa lakini kutokana na ubinafsi wao imeanzia Bariadi kwenda Lamadi,” alisemamwananchi mwingine, Samwel Kidima.

Walisema lichaya mapenzi mema aliyonayo Rais Jakaya Kikwete ya kuanzisha mkoa huo, ni vizurimchakato wa kupata makao makuu yake ukaanza upya kwani wa awali haukupitiakatika vikao halali kama vile baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya (DCC) hali ambayo imezua mgogoro mkubwana kufanya kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya wananchi wa wilaya hizo.

“Rais Kikwetealipoamua kuanzisha mikoa na wilaya mpya alikuwa na nia nzuri sana lakini jambola kushangaza mchakato wa kutoa mapendekezo ya makao makuu ya mkoa wa Simiyuhayakufuata utaratibu kwani ilitakiwa uanzie katika vikao vya baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya ndiyo maana jambo hili limezua mgogoromkubwa na sasa mahusiano kati ya wananchi wa wilaya ya Maswa na Bariadi simazuri hivyo mchakato uanze upya,” alisema Edward Bunyongoli.

Walisema iwaposerikali itabaki na msimamo wake huo basi wao wataendelea kubaki katika mkoa waShinyanga lakini hawako tayari kukubaliana na uamuzi huo uliofanywa kwa ajiliya maslahi ya watu wachache wabinafsi.

“Kama serikali itabaki na msimamo kuwa Bariadi ndiyo makaomakuu ya mkoa wa Simiyu sisi tutabaki katika mkoa wa Shinyanga kwani hatukotayari kukubali uamuzi huo uliotawaliwa na vitendo vya kifisadi,” alisema KulwaNangale.

Hii si mara yakwanza kudanganywa kwa Rais kwani ameshadanganywa zaidi ya mara 12 miongoni mwamambo aliyodanganywa ni pamoja na ile ya kuzindua mradi wa Bwawa la Manchiralililoko wilayani Serengeti wakati tayari wananchi wamekwishafungua kesiMahakama Kuu ya Mwanza wakidai fidia.

Kesi hiyoiliyofunguliwa ni matokeo ya viongozi wa serikali wilayani humo kuhusikakuwalipa fidia watu wasiohusika na kuwaacha walengwa waliofanyiwa tathmini.

Pia aliwahikudanganywa kwamba daraja la Mkenda lililoko Ruvumaambalo ni njia muhimu kuelekea Msumbiji, lilikuwa limekamilika.

Katika tukiojingine, Rais aliwahi kupewa taarifa zisizo sahihi kuhusu tuhuma za rushwazilizokuwa zikimkababili Anatory Choya kisha akamteua kuwa mkuu wa wilaya,lakini siku siku chache baadaye akafunguliwa mashtaka na TAKUKURU.

Mwaka juzi,akiwa ziarani Mbeya msafara wa Rais ulishambuliwa kwa mawe na watu, lakiniwasaidizi wake wakaja kutoa taarifa kwamba watu hao walikuwa ni wahuni nawalikuwa wakimsubiri Rais kwa muda mrefu bila mafinikio.

Hata hivyo,baadaye uchunguzi huru ulibainisha kwamba tukio hilo lilikuwa na mafungamano ya kisiasa namakovu ya mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM kwa mwaka 2005.

Mlolongo huomrefu wa upotoshaji taarifa kwa Rais uliibuka tena katika utoaji wa magari yamisaada ambapo badala ya kupewa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Longidoalipewa wa Ngorongoro.

Tukio hilo lilimfanya mkuu huyowa nchi kukasirika na kumzodoa mkurugenzi huyo, lakini baadaye ikabainikamkurugenzi huyo alikwenda kutokana na makosa ya maafisa wa Ikulu.

Katikamlolongo huo, tukio kubwa kabisa ni Rais kutia saini kwa mbwembwe Sheria yaGharama za Fedha za Uchaguzi ambayo ilichomekwa vipengele nje ya Bunge kituambacho ni kinyume cha sheria.

Tukio hilo ambalo ni lauvunjifu wa Katiba, liliibuliwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa,ambaye awali, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fedrerick Werema, alikanusha.

Hata hivyo,baadaye sheria hiyo ilirudishwa bungeni na kukarabatiwa kwa mgongo wamabadiliko ya sheria mbalimbali.

Mei mwakajana, Rais alipewa taarifa za upotoshaji kuhusu mazungumzo ya Shirikisho laVyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na serikali, kwa kuelezwa shirikisho hilo halikuhudhuria mkutano wa saa 4:00 asubuhi kama ilivyopangwa.

Hata hivyo,TUCTA wakatoa ushahidi wa barua za mwaliko wa mkutano huo wa Aprili 22 mwakajana, ambazo zilikuwa mbili, moja ikionyesha walitakiwa kufika katikamazungumzo Hazina saa 4:00 asubuhi na nyingine saa 8:00 mchana.

Katikakuonyesha upotoshaji kwa Rais, wasaidizi hao walimpa barua iliyokuwa ikionyeshawalipaswa kukutana saa 4:00 asubuhi huku ile ya saa 8:00 wakawa wameificha.

Raisakizungumza na wazee wa mkoa wa Dares Salaam aliwashambulia viongozi wa TUCTAhasa Naibu Katibu Mkuu, Nicolas Mgaya, akimwita mnafiki, mzandiki, na mchochezi.

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
This is yet another duplication. Ni ile ile stori ya kilichoitwa Kashfa ya Rais kupotoshwa tena lakini imeruhusiwa kuibuka kama thread mpya. Mods tafadhali, oneni hili.

zebeya

Member
Feb 23, 2011
42
3
Maswa ni wilaya mama ya bariadi na Meatu.na inahisitoria ndefu sana ya mkoa wa shinyanga hasa katika kilimo cha pamba.kila aliyesoma atakumbukuka kiliom cha pamba maswa.sioni sababu kwa nini isiwe makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu ukizingatia ipo katikati ya wilaya za Meatu, Bariadi na ile mpya.
Kikwete mtegoni tena
na Waandishi wetu-TANZANIA DAIMA

Maswawatishia kuandamana

Katika hatuanyingine, hatua ya Rais Kikwete kuunda mikoa mipya, imezua balaa baada ya mamiaya wananchi wa wilaya ya Maswa, mkoa wa Shinyanga kuandaa maandamano iwaposerikali itaamua kuyaweka makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu katika wilaya yaBariadi.
Wakizungumzakatika mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Nguzo Nane nakuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa wilaya hiyo, wananchi hao wamedai kuwa hawakotayari kutendewa hivyo na wataandamana hata ikilazimu kupigwa risasi.

Katika mkutanohuo ulioitishwa kwa ajili ya kutoa maoni ya mapendekezo juu ya nia ya serikaliya kupeleka makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu mjini Bariadi, wananchi haowamesema uamuzi huo ni dharau kwao na unataka kufanywa kwa ajili ya manufaa yaviongozi wachache.

"Sisi wanaMaswa tutaandamana bila kujali itikadi za vyama kamahatutasikilizwa na tuko tayari kupigwa risasi. Hatuwezi kunyang'anywa haki yetukwa ajili ya ubinafsi wa viongozi wachache," alisema mkazi mmoja wa Maswa,Thomas Nkola, na kushangiliwa na umati wa wananchi.

Walisema kuwaviongozi wa mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa wilayaya Bariadi wamekuwa na desturi ya ubinafsi katika masuala yenye maslahi ya ummakitendo kilichodhihirika katika ujenzi wa barabara ya lami ya Mwigumbi–Maswa-Lamadi.

"Viongozi wetuwa mkoa wa Shinyanga na wa Bariadi wametuona sisi wa Maswa watulivu sana hivyo wanatumiamwanya huo kutuchezea.

"Mfano ujenziwa barabara ya lami ya Mwigumbi-Maswa-Lamadi ilitakiwa ianzie Mwigumbi kujaMaswa lakini kutokana na ubinafsi wao imeanzia Bariadi kwenda Lamadi," alisemamwananchi mwingine, Samwel Kidima.

Walisema lichaya mapenzi mema aliyonayo Rais Jakaya Kikwete ya kuanzisha mkoa huo, ni vizurimchakato wa kupata makao makuu yake ukaanza upya kwani wa awali haukupitiakatika vikao halali kama vile baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya (DCC) hali ambayo imezua mgogoro mkubwana kufanya kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya wananchi wa wilaya hizo.

"Rais Kikwetealipoamua kuanzisha mikoa na wilaya mpya alikuwa na nia nzuri sana lakini jambola kushangaza mchakato wa kutoa mapendekezo ya makao makuu ya mkoa wa Simiyuhayakufuata utaratibu kwani ilitakiwa uanzie katika vikao vya baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya ndiyo maana jambo hili limezua mgogoromkubwa na sasa mahusiano kati ya wananchi wa wilaya ya Maswa na Bariadi simazuri hivyo mchakato uanze upya," alisema Edward Bunyongoli.

Walisema iwaposerikali itabaki na msimamo wake huo basi wao wataendelea kubaki katika mkoa waShinyanga lakini hawako tayari kukubaliana na uamuzi huo uliofanywa kwa ajiliya maslahi ya watu wachache wabinafsi.

"Kama serikali itabaki na msimamo kuwa Bariadi ndiyo makaomakuu ya mkoa wa Simiyu sisi tutabaki katika mkoa wa Shinyanga kwani hatukotayari kukubali uamuzi huo uliotawaliwa na vitendo vya kifisadi," alisema KulwaNangale.

Hii si mara yakwanza kudanganywa kwa Rais kwani ameshadanganywa zaidi ya mara 12 miongoni mwamambo aliyodanganywa ni pamoja na ile ya kuzindua mradi wa Bwawa la Manchiralililoko wilayani Serengeti wakati tayari wananchi wamekwishafungua kesiMahakama Kuu ya Mwanza wakidai fidia.

Kesi hiyoiliyofunguliwa ni matokeo ya viongozi wa serikali wilayani humo kuhusikakuwalipa fidia watu wasiohusika na kuwaacha walengwa waliofanyiwa tathmini.

Pia aliwahikudanganywa kwamba daraja la Mkenda lililoko Ruvumaambalo ni njia muhimu kuelekea Msumbiji, lilikuwa limekamilika.

Katika tukiojingine, Rais aliwahi kupewa taarifa zisizo sahihi kuhusu tuhuma za rushwazilizokuwa zikimkababili Anatory Choya kisha akamteua kuwa mkuu wa wilaya,lakini siku siku chache baadaye akafunguliwa mashtaka na TAKUKURU.

Mwaka juzi,akiwa ziarani Mbeya msafara wa Rais ulishambuliwa kwa mawe na watu, lakiniwasaidizi wake wakaja kutoa taarifa kwamba watu hao walikuwa ni wahuni nawalikuwa wakimsubiri Rais kwa muda mrefu bila mafinikio.

Hata hivyo,baadaye uchunguzi huru ulibainisha kwamba tukio hilo lilikuwa na mafungamano ya kisiasa namakovu ya mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM kwa mwaka 2005.

Mlolongo huomrefu wa upotoshaji taarifa kwa Rais uliibuka tena katika utoaji wa magari yamisaada ambapo badala ya kupewa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Longidoalipewa wa Ngorongoro.

Tukio hilo lilimfanya mkuu huyowa nchi kukasirika na kumzodoa mkurugenzi huyo, lakini baadaye ikabainikamkurugenzi huyo alikwenda kutokana na makosa ya maafisa wa Ikulu.

Katikamlolongo huo, tukio kubwa kabisa ni Rais kutia saini kwa mbwembwe Sheria yaGharama za Fedha za Uchaguzi ambayo ilichomekwa vipengele nje ya Bunge kituambacho ni kinyume cha sheria.

Tukio hilo ambalo ni lauvunjifu wa Katiba, liliibuliwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa,ambaye awali, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fedrerick Werema, alikanusha.

Hata hivyo,baadaye sheria hiyo ilirudishwa bungeni na kukarabatiwa kwa mgongo wamabadiliko ya sheria mbalimbali.

Mei mwakajana, Rais alipewa taarifa za upotoshaji kuhusu mazungumzo ya Shirikisho laVyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na serikali, kwa kuelezwa shirikisho hilo halikuhudhuria mkutano wa saa 4:00 asubuhi kama ilivyopangwa.

Hata hivyo,TUCTA wakatoa ushahidi wa barua za mwaliko wa mkutano huo wa Aprili 22 mwakajana, ambazo zilikuwa mbili, moja ikionyesha walitakiwa kufika katikamazungumzo Hazina saa 4:00 asubuhi na nyingine saa 8:00 mchana.

Katikakuonyesha upotoshaji kwa Rais, wasaidizi hao walimpa barua iliyokuwa ikionyeshawalipaswa kukutana saa 4:00 asubuhi huku ile ya saa 8:00 wakawa wameificha.

Raisakizungumza na wazee wa mkoa wa Dares Salaam aliwashambulia viongozi wa TUCTAhasa Naibu Katibu Mkuu, Nicolas Mgaya, akimwita mnafiki, mzandiki, na mchochezi.

smz

JF-Expert Member
Dec 18, 2010
249
32
Kati ya vitu ambavyo mtu unashindwa kuelewa ni pamoja na hili la makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu. Iko wazi kabisa ki- jiografia kwamba Maswa iko katikati, na hii wilaya ndo imezaa Bariadi na Meatu zinazounda huo mkoa mpya.

Hebu imagine mtu atoke Malampaka ana shida mkoani, analazimika kusafiri umbali mrefu sana kufika Bariadi huku akiupita mji wa Maswa ambao uko katikati.

Ni rahisi mno mtu wa Bariadi, Meatu, Malampaka na wale wa mpakani mwa wilaya ya Kishapu kuja Maswa ambapo panatakiwa pawe makao makuu ya mkoa wa Simiyu kwa sababu ni kati kati.

Jamani tuache ubinafsi wa aina hii. Historia ya mji wa Maswa ni kubwa kuliko wilaya zote hizi zinazounda mkoa mpya. Bariadi na Meatu ni watoto wa Maswa, yaani wilaya zote hizo zilikuwa chini ya wilaya moja ikiitwa MASWA. Leo kuna kigugumizi gani kuifanya Maswa iwe makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu?

Haiihitaji degree wala tume kuutambua ukweli huu, labda kama viongozi wetu wanajifanya vipofu na viziwi. Mwisho utasikia inaundwa Tume kuangalia ukweli ulio wazi kama huu. Yetu macho maana.........................

Nkomoji

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
234
31

Umezungumzia umbali kutoka Malampaka-Maswa au Bariadi, vipi kuhusu mtu anayetoka Nasa,Lamadi,Mkula wao umbali kwenda mkoani itakuwa wapi karibu?mi nadhani tungejua vigezo vya kuteua makao makuu ya mkoa tungekuwa na nafasi nzuri ya kujimwaga hapa jamvini!

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,636
1,904
Mkuu.. Back space key ya keyboard yako ilikuwa inagoma nini?? mbona maneno yameunganaungana

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,216
Bila kujali vigezo vinavyotumika.Wilaya ya maswa inazo sifa kuu tano zinazokubalika kuwa makao makuu ya mkoa;
1. Mji wa maswa una chanzo cha uhakika cha maji safi na salama ambao upo mradi wa maji unaosambaza mji wote wa maswa na vijiji 28 vinavyozunguka mji wa maswa
2. Mji wa maswa ni moja ya wilaya chache Tanzania zenye TOWN MASTER PLAN.ambapo gharama za upimaji zitaepukika
3. Mji wa maswa ni HUB kuu inayounganisha bariadi na Meatu ni sehemu ndogo sana ya mkoa itakayokuwa mbali yaani busega, tofauti na mpango wa sasa ambapo meatu na maswa zitakuwa mbali sana
4. Mji wa Maswa unabebwa na historia kuwa ni mji ulioanzishwa tangu serikali ya mkoloni na hivyo miundo mbinu ya hadhi ya ki-mkoa inapatikana
5. Mji wa Maswa umezungukwa na viwanda vingi vya kuchambua pamba na hivyo kuwa na njia kuu ya reli inayopita MALAMPAKA na hivyo kuwa kiungo na rock city tofauti na ambapo Bariadi hakuna njia reli
6. Mji wa Maswa una miundo mbinu ya reli, bara bara kuu ya Afrika mashariki ikipitia hapo kutokea Meatu na pia barabara nyingine ya afrika mashariki kutokea mwigumbi kuelekea maswa hadi lamadi
Kupeleka makao makuu bariadi ni uamuzi wa kisiasa.Hata hivyo wananchi bado wano muda wa kutosha kupinga uamuzi huu kwani siku 21 za tangazo ndiyo kwanza bado mbichi.

Tahadhali ni kwamba hadi sasa mahusiano ya wanyantunzu na bana-ng'wagala ba gu-ng'wa majebele kwa sasa yako hovyo kama alivyodokeza mzee NANGALE.Kazi kwako PINDA

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931

You are right mkuu..tatizo liko kwa ofisi ya Pinda..PM huwa ananitatiza sana huyu jamaa kwenye maamuzi yake..very unfair kwa watu maswa

kimpumu

Member
Aug 20, 2011
11
0
Kikwete mtegoni tena

na Waandishi wetu-TANZANIA DAIMA

Maswawatishia kuandamana

Katika hatuanyingine, hatua ya Rais Kikwete kuunda mikoa mipya, imezua balaa baada ya mamiaya wananchi wa wilaya ya Maswa, mkoa wa Shinyanga kuandaa maandamano iwaposerikali itaamua kuyaweka makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu katika wilaya yaBariadi.

Wakizungumzakatika mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Nguzo Nane nakuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa wilaya hiyo, wananchi hao wamedai kuwa hawakotayari kutendewa hivyo na wataandamana hata ikilazimu kupigwa risasi.

Katika mkutanohuo ulioitishwa kwa ajili ya kutoa maoni ya mapendekezo juu ya nia ya serikaliya kupeleka makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu mjini Bariadi, wananchi haowamesema uamuzi huo ni dharau kwao na unataka kufanywa kwa ajili ya manufaa yaviongozi wachache.

“Sisi wanaMaswa tutaandamana bila kujali itikadi za vyama kamahatutasikilizwa na tuko tayari kupigwa risasi. Hatuwezi kunyang’anywa haki yetukwa ajili ya ubinafsi wa viongozi wachache,” alisema mkazi mmoja wa Maswa,Thomas Nkola, na kushangiliwa na umati wa wananchi.

Walisema kuwaviongozi wa mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa wilayaya Bariadi wamekuwa na desturi ya ubinafsi katika masuala yenye maslahi ya ummakitendo kilichodhihirika katika ujenzi wa barabara ya lami ya Mwigumbi–Maswa-Lamadi.

“Viongozi wetuwa mkoa wa Shinyanga na wa Bariadi wametuona sisi wa Maswa watulivu sana hivyo wanatumiamwanya huo kutuchezea.

“Mfano ujenziwa barabara ya lami ya Mwigumbi-Maswa-Lamadi ilitakiwa ianzie Mwigumbi kujaMaswa lakini kutokana na ubinafsi wao imeanzia Bariadi kwenda Lamadi,” alisemamwananchi mwingine, Samwel Kidima.

Walisema lichaya mapenzi mema aliyonayo Rais Jakaya Kikwete ya kuanzisha mkoa huo, ni vizurimchakato wa kupata makao makuu yake ukaanza upya kwani wa awali haukupitiakatika vikao halali kama vile baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya (DCC) hali ambayo imezua mgogoro mkubwana kufanya kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati ya wananchi wa wilaya hizo.

“Rais Kikwetealipoamua kuanzisha mikoa na wilaya mpya alikuwa na nia nzuri sana lakini jambola kushangaza mchakato wa kutoa mapendekezo ya makao makuu ya mkoa wa Simiyuhayakufuata utaratibu kwani ilitakiwa uanzie katika vikao vya baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya ndiyo maana jambo hili limezua mgogoromkubwa na sasa mahusiano kati ya wananchi wa wilaya ya Maswa na Bariadi simazuri hivyo mchakato uanze upya,” alisema Edward Bunyongoli.

Walisema iwaposerikali itabaki na msimamo wake huo basi wao wataendelea kubaki katika mkoa waShinyanga lakini hawako tayari kukubaliana na uamuzi huo uliofanywa kwa ajiliya maslahi ya watu wachache wabinafsi.

“Kama serikali itabaki na msimamo kuwa Bariadi ndiyo makaomakuu ya mkoa wa Simiyu sisi tutabaki katika mkoa wa Shinyanga kwani hatukotayari kukubali uamuzi huo uliotawaliwa na vitendo vya kifisadi,” alisema KulwaNangale.

Hii si mara yakwanza kudanganywa kwa Rais kwani ameshadanganywa zaidi ya mara 12 miongoni mwamambo aliyodanganywa ni pamoja na ile ya kuzindua mradi wa Bwawa la Manchiralililoko wilayani Serengeti wakati tayari wananchi wamekwishafungua kesiMahakama Kuu ya Mwanza wakidai fidia.

Kesi hiyoiliyofunguliwa ni matokeo ya viongozi wa serikali wilayani humo kuhusikakuwalipa fidia watu wasiohusika na kuwaacha walengwa waliofanyiwa tathmini.

Pia aliwahikudanganywa kwamba daraja la Mkenda lililoko Ruvumaambalo ni njia muhimu kuelekea Msumbiji, lilikuwa limekamilika.

Katika tukiojingine, Rais aliwahi kupewa taarifa zisizo sahihi kuhusu tuhuma za rushwazilizokuwa zikimkababili Anatory Choya kisha akamteua kuwa mkuu wa wilaya,lakini siku siku chache baadaye akafunguliwa mashtaka na TAKUKURU.

Mwaka juzi,akiwa ziarani Mbeya msafara wa Rais ulishambuliwa kwa mawe na watu, lakiniwasaidizi wake wakaja kutoa taarifa kwamba watu hao walikuwa ni wahuni nawalikuwa wakimsubiri Rais kwa muda mrefu bila mafinikio.

Hata hivyo,baadaye uchunguzi huru ulibainisha kwamba tukio hilo lilikuwa na mafungamano ya kisiasa namakovu ya mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM kwa mwaka 2005.

Mlolongo huomrefu wa upotoshaji taarifa kwa Rais uliibuka tena katika utoaji wa magari yamisaada ambapo badala ya kupewa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Longidoalipewa wa Ngorongoro.

Tukio hilo lilimfanya mkuu huyowa nchi kukasirika na kumzodoa mkurugenzi huyo, lakini baadaye ikabainikamkurugenzi huyo alikwenda kutokana na makosa ya maafisa wa Ikulu.

Katikamlolongo huo, tukio kubwa kabisa ni Rais kutia saini kwa mbwembwe Sheria yaGharama za Fedha za Uchaguzi ambayo ilichomekwa vipengele nje ya Bunge kituambacho ni kinyume cha sheria.

Tukio hilo ambalo ni lauvunjifu wa Katiba, liliibuliwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa,ambaye awali, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fedrerick Werema, alikanusha.

Hata hivyo,baadaye sheria hiyo ilirudishwa bungeni na kukarabatiwa kwa mgongo wamabadiliko ya sheria mbalimbali.

Mei mwakajana, Rais alipewa taarifa za upotoshaji kuhusu mazungumzo ya Shirikisho laVyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na serikali, kwa kuelezwa shirikisho hilo halikuhudhuria mkutano wa saa 4:00 asubuhi kama ilivyopangwa.

Hata hivyo,TUCTA wakatoa ushahidi wa barua za mwaliko wa mkutano huo wa Aprili 22 mwakajana, ambazo zilikuwa mbili, moja ikionyesha walitakiwa kufika katikamazungumzo Hazina saa 4:00 asubuhi na nyingine saa 8:00 mchana.

Katikakuonyesha upotoshaji kwa Rais, wasaidizi hao walimpa barua iliyokuwa ikionyeshawalipaswa kukutana saa 4:00 asubuhi huku ile ya saa 8:00 wakawa wameificha.

Raisakizungumza na wazee wa mkoa wa Dares Salaam aliwashambulia viongozi wa TUCTAhasa Naibu Katibu Mkuu, Nicolas Mgaya, akimwita mnafiki, mzandiki, na mchochezi.

Kweli serikali ya JK imelogwa! Swala la mkoa wa simiyu umeenzania kwenye kuchakachua jina la mkoa, badala ya kuita mkoa wa MASWA ukaitwa simiyu, afu vikao vilifanyika na wajumbe toka Maswa ni pamoja na mkuu wa wilaya ya Maswa kepten wa jeshi mstaafu na mkuu wa mkoa wa shinyanga alikuwa brigedia mstaafu and he was in favour of Bariadi, kwa hiyo mkuu huyu wa wilaya hakuwa na lakusema zaidi ya NDIYO AFANDE! Ukizingatia Maswa si kwao na hana la kupoteza! Wana maswa pombaneni hadi mwisho! Tuko pamoja!

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,216
Tunakukumbuka Mh. Dr. Pius Yasebasi Ng'wandu mazuri yote uliyoyafanya maswa yanaonekana machukizo kwa MAFISADI.Maswa uliiweka katika dunia mpya kwa kuwa hukuwa fisadi rasilimali zilitumika vizuri kwa kutumia ubunge wako leo Manyang'au yanakuja na ajenda mpya yanasema SIMIYU wakati maswa ni baba wa bariadi na meatu.TUTAPAMBANA HADI KIELEWEKE.Tunamsubiri mbunge wetu MH.KASULUMBAI JEMBE ULAYA watanyoosha maelezo tuuuuuuuu.

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722

Huyu jaama kati ya wasuku ambao waliwahi kushika madaraka i huyu na mkubali sana sijui siku hizi yuko wapi hakika watu washinyanga kwa ujumla hasa maswa hawata msahau hakuwa na blah blah nyingi pamoja na kwamba alikuwa mwanasiasa........

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,216
fisadi wa bariadi ndiyo tatizo CCM fanyeni fasta kutuondoleo hilo gamba linaleta chuki kwa wanamaswa na bariadi

Nov 28, 2010
31
5
Kati ya vitu ambavyo mtu unashindwa kuelewa ni pamoja na hili la makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu. Iko wazi kabisa ki- jiografia kwamba Maswa iko katikati, na hii wilaya ndo imezaa Bariadi na Meatu zinazounda huo mkoa mpya.

Hebu imagine mtu atoke Malampaka ana shida mkoani, analazimika kusafiri umbali mrefu sana kufika Bariadi huku akiupita mji wa Maswa ambao uko katikati.

Ni rahisi mno mtu wa Bariadi, Meatu, Malampaka na wale wa mpakani mwa wilaya ya Kishapu kuja Maswa ambapo panatakiwa pawe makao makuu ya mkoa wa Simiyu kwa sababu ni kati kati.

Jamani tuache ubinafsi wa aina hii. Historia ya mji wa Maswa ni kubwa kuliko wilaya zote hizi zinazounda mkoa mpya. Bariadi na Meatu ni watoto wa Maswa, yaani wilaya zote hizo zilikuwa chini ya wilaya moja ikiitwa MASWA. Leo kuna kigugumizi gani kuifanya Maswa iwe makao makuu ya mkoa mpya wa Simiyu?

Haiihitaji degree wala tume kuutambua ukweli huu, labda kama viongozi wetu wanajifanya vipofu na viziwi. Mwisho utasikia inaundwa Tume kuangalia ukweli ulio wazi kama huu. Yetu macho maana.........................

Hebu tuache porojo wandugu!

Hivi unaijua vizuri jiografia inayounganisha huo mkoa mpya? Wewe unazungumzia wilaya mbili tu (Meatu na Bariadi) unasahau kuwa kuna wilaya nyingine ya Busega. Hebu fikiria mtu atoke Kisamba kwenda mkoani apite wilaya ya Bariadi aende Maswa , hiki kitu unakiona lakini? Umbali wa Kutoka Kisamba (Masanza I) kwenda Maswa na kutoka Malampaka kwenda Maswa havilingani kabisaa! Huyu mtu wa Kisamba atakuwa ameumia.

Kwa hiyo bila ubishi kama kigezo ni katikati ya wilaya zote basi Bariadi imeshinda hicho kigezo. Na kama kigezo ni umri wa wilaya mama basi Maswa wanaweza kufikiriwa lakini kwa mtindo mwingine, maana hata enzi za Mkoloni hapo tunapoita Maswa ya leo hilo jina walitoka nalo Bariadi, kule kuna mji unaitwa Old Maswa (ambapo ndipo yalikuwa makao makuu ya wilaya kongwe ya Maswa). Hapa vijana wa zamani watatusaidia kuweka kumbukumbu sahihi (kwa wale mlioko Maswa jaribuni kutafiti hiki kitu - Old Maswa). Lakini pia hatuwezi kupeleka makao makuu ya Mkoa eti kwa kigezo cha kuwa na historia ya kulima pamba hadi kuingizwa kwenye vitabu vya kiada shuleni (kuna mdau ametoa hii kitu).

Hebu watu wawe wapole makao makuu yabaki pale Bariadi ndipo katikati ya wilaya zote zinazounda mkoa wa Simiyu (Maswa, Meatu, Itilima, Busega na Bariadi yenyewe).

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,216
Hebu tuache porojo wandugu!

Hivi unaijua vizuri jiografia inayounganisha huo mkoa mpya? Wewe unazungumzia wilaya mbili tu (Meatu na Bariadi) unasahau kuwa kuna wilaya nyingine ya Busega. Hebu fikiria mtu atoke Kisamba kwenda mkoani apite wilaya ya Bariadi aende Maswa , hiki kitu unakiona lakini? Umbali wa Kutoka Kisamba (Masanza I) kwenda Maswa na kutoka Malampaka kwenda Maswa havilingani kabisaa! Huyu mtu wa Kisamba atakuwa ameumia.

Kwa hiyo bila ubishi kama kigezo ni katikati ya wilaya zote basi Bariadi imeshinda hicho kigezo. Na kama kigezo ni umri wa wilaya mama basi Maswa wanaweza kufikiriwa lakini kwa mtindo mwingine, maana hata enzi za Mkoloni hapo tunapoita Maswa ya leo hilo jina walitoka nalo Bariadi, kule kuna mji unaitwa Old Maswa (ambapo ndipo yalikuwa makao makuu ya wilaya kongwe ya Maswa). Hapa vijana wa zamani watatusaidia kuweka kumbukumbu sahihi (kwa wale mlioko Maswa jaribuni kutafiti hiki kitu - Old Maswa). Lakini pia hatuwezi kupeleka makao makuu ya Mkoa eti kwa kigezo cha kuwa na historia ya kulima pamba hadi kuingizwa kwenye vitabu vya kiada shuleni (kuna mdau ametoa hii kitu).

Hebu watu wawe wapole makao makuu yabaki pale Bariadi ndipo katikati ya wilaya zote zinazounda mkoa wa Simiyu (Maswa, Meatu, Itilima, Busega na Bariadi yenyewe).

"Rais Kikwetealipoamua kuanzisha mikoa na wilaya mpya alikuwa na nia nzuri sana lakini jambola kushangaza mchakato wa kutoa mapendekezo ya makao makuu ya mkoa wa Simiyuhayakufuata utaratibu kwani ilitakiwa uanzie katika vikao vya baraza lamadiwani na kamati za ushauri za wilaya ndiyo maana jambo hili limezua mgogoromkubwa na sasa mahusiano kati ya wananchi wa wilaya ya Maswa na Bariadi simazuri hivyo mchakato uanze upya," alisema Edward Bunyongoli.
Mkuu Jidula hii ndiyo sauti ya wana Maswa,tunachotaka taratibu zifuate ili kila upande uridhike.there is no good governance exercised during the preparation of the proposal.Lazima umma wa maswa uhusishwe si kuruka hatua.

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
maswa ni wilaya mama ya bariadi na meatu.na inahisitoria ndefu sana ya mkoa wa shinyanga hasa katika kilimo cha pamba.kila aliyesoma atakumbukuka kiliom cha pamba maswa.sioni sababu kwa nini isiwe makao makuu ya mkoa mpya wa simiyu ukizingatia ipo katikati ya wilaya za meatu, bariadi na ile mpya.
pia maswa ina nafasi katika historia ya uhuru wa kenya

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
368
Bila kujali vigezo vinavyotumika.Wilaya ya maswa inazo sifa kuu tano zinazokubalika kuwa makao makuu ya mkoa;
1. Mji wa maswa una chanzo cha uhakika cha maji safi na salama ambao upo mradi wa maji unaosambaza mji wote wa maswa na vijiji 28 vinavyozunguka mji wa maswa
2. Mji wa maswa ni moja ya wilaya chache Tanzania zenye TOWN MASTER PLAN.ambapo gharama za upimaji zitaepukika
3. Mji wa maswa ni HUB kuu inayounganisha bariadi na Meatu ni sehemu ndogo sana ya mkoa itakayokuwa mbali yaani busega, tofauti na mpango wa sasa ambapo meatu na maswa zitakuwa mbali sana
4. Mji wa Maswa unabebwa na historia kuwa ni mji ulioanzishwa tangu serikali ya mkoloni na hivyo miundo mbinu ya hadhi ya ki-mkoa inapatikana
5. Mji wa Maswa umezungukwa na viwanda vingi vya kuchambua pamba na hivyo kuwa na njia kuu ya reli inayopita MALAMPAKA na hivyo kuwa kiungo na rock city tofauti na ambapo Bariadi hakuna njia reli
6. Mji wa Maswa una miundo mbinu ya reli, bara bara kuu ya Afrika mashariki ikipitia hapo kutokea Meatu na pia barabara nyingine ya afrika mashariki kutokea mwigumbi kuelekea maswa hadi lamadi
Kupeleka makao makuu bariadi ni uamuzi wa kisiasa.Hata hivyo wananchi bado wano muda wa kutosha kupinga uamuzi huu kwani siku 21 za tangazo ndiyo kwanza bado mbichi.

Tahadhali ni kwamba hadi sasa mahusiano ya wanyantunzu na bana-ng'wagala ba gu-ng'wa majebele kwa sasa yako hovyo kama alivyodokeza mzee NANGALE.Kazi kwako PINDAMe napenda kurudi nyuma kidogo kwa wana JF,

Ni nini madhumini ya Mikoa Mipya ndani ya Nchi hiii kwanza?
Serikali wao Lengo lao ni nini kwa hii mikoa mipya?
Hii mikoa mipya imewekwa kisiasa au ??

My Take;

Mbali na majibu yenu yet hii mikoa mipya hata kama haingekuwepo na ikabaki vile vile shughuli zote za kijamii/kisiasa/kiuchumi zinge weza kufanyika ni serikali kujipanga kwa mtindo mwingiune tuu kungefanikisha malengo yao kwa kiasi kikubwa tuuu,

Me nadhani kuna mapungufu makubwa sana serikalini na ndio maana wanatafuta njia za panya kujari kufanya mambo yao yasiyo na dila.

NB;
Bunge tulilo nalo jeee lita watosha wabunge toka hayo majimbo husika au kuna kujenga tena bunge jingine?? na wakumbuke walisema bunge hili ni standard kuliko mabunge mengi duniani ila uwajibikaji wake ni zero kuliko mabunge mengi duniani pia.
eg; bunge la kenya ni la mkoloni yet wanafanya vizuri tuuu

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,641
1,214
Tunakukumbuka Mh. Dr. Pius Yasebasi Ng'wandu mazuri yote uliyoyafanya maswa yanaonekana machukizo kwa MAFISADI.Maswa uliiweka katika dunia mpya kwa kuwa hukuwa fisadi rasilimali zilitumika vizuri kwa kutumia ubunge wako leo Manyang'au yanakuja na ajenda mpya yanasema SIMIYU wakati maswa ni baba wa bariadi na meatu.TUTAPAMBANA HADI KIELEWEKE.Tunamsubiri mbunge wetu MH.KASULUMBAI JEMBE ULAYA watanyoosha maelezo tuuuuuuuu.

Lu-ma-ga,

Hebu tuacheni siasa na ushabiki usio na mashiko.Ukweli ni kwamba UCHUMI wa BARIADI unakuwa kwa kasi ya ajabu sana katika Mkoa wa Shinyanga.
Kwa mtu yeyote aliyewahi kutembelea hizi wilaya 2 kwa hivi karibuni atakubaliana na mimi kuwa kunatofauti kubwa sana kati ya MASWA NA BARIADI kwa mtazamo wa kasi ya maendelea ya kiuchumi. Kweli Bariadi ni changa ukilinganisha na Maswa lakini ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa BARIADI imeipiku MASWA kiuchumi na kimaendeleo kwa mbali sana.

Tunapozungumzia maendeleo tunaangalia miundombinu,viwanda na Biashara katika eneo husika. Bariadi kwa sasa imepanuka katika ujenzi wa MAKAZI,VIWANDA,MABENKI,BARABARA,MASHULE,ZAHANATI/HOSPITALI n.k. Kuna viwanda kadhaa vya kusindika Pamba na Mafuta yanayotokana na Pamba. CRDB Bank tayari wameshapeleka branch yao huko ili kuchochea mzunguko wa pesa inayotokana na mauzo ya PAMBA na MIFUGO(Ng'ombe,Mbuzi,Kondoo,Kuku n.k).

Ukija pale MASWA sijui kuna nini hasa cha kujivunia. Maswa ni mojawapo ya Wilaya Kongwe sana hapa nchini lakini kuna ni pale???Siku nyingi nilikuwa najiuliza kuna laana gani katika wilaya za Shinyanga hasa Maswa na Bariadi? Maana ni wilaya zimekuwa na Wabunge wakongwe na wamewahi kupata nyadhifa kubwa kubwa serikalini ikiwemo Uwaziri kwa Ndugu yetu PIUS YASEBASI NG'WANDU. Lakini Maswa haikuwahi kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo kuweza kupigiwa mfano. Fikiria leo hii ndiyo Wachina wanaweka LAMI kati ya Shy-Bariadi-Ramadi after decades. Sijui kwanini imekuwa hivi kwa miaka yote hii mpaka sasa naona Wasukuma wanaanza KUAMKA.

Mimi niseme tu kuwa mchakato wa kuifanya Bariadi kuwa Makao makuu ya Mkoa wa Simiyuuendelee tu kwa hivi vigezo ambavyo viko wazi kabisa. Naamini Bariadi itakuja kuwa Jiji moja matata sana in some years to come.
Idadi ya watu wa Maswa ni kadri ya zaidi ya 300,000 wakti population ya watu wa Bariadi ni zaidi ya 605,000.
Eneo kiwilaya (Area in sq.kms) Bariadi ni kubwa zaidi ya mara 4 ya Maswa.
District Area in sq. kms % of regional
Bariadi 9,777 19.3
Bukombe 10,842 21.4
Maswa 2,736 5.4
Shinyanga(Rural) 4,212 8.3
Kishapu 4,334 8.5
Meatu 8,871 17.5
Kahama 9,461 18.6
Shinyanga (Urban) 548 1.1
Total 50,781 100.0

Source: Shinyanga Regional Commissioner’s Office.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom