Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inaonekana TANESCO na Vyombo Vya Habari wanamhujimu waziri wa Madini na Nishati kwa sababu TANESCO wanakata umeme Kilasiku Zaidi ya masaa 10 Ukiwauliza hakuna mgao..... Vyombo vya habari...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
To a poor country ( like "this") everything is a PRIORITY. Je hili laweza ku-apply kwa Tanzania?
0 Reactions
1 Replies
894 Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema mwaka 2013 utakuwa mwaka wa chama hicho kutumia nguvu ya umma, itakayolenga kuishinikiza Serikali kuyafanyia kazi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna uhuru wowote wa kisiasa,kiuchumi,na kijamii utakaowafurahisha watanzania wengi wanyonge,wenye njaa,maradhi,elimu duni,huduma za afya mbovu,ukosefu wa ajira kwa vijana,kilimo cha...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Jana nimemskia mwenyekiti wa TLP bwana Mrema akisema kuwa serikali ya JK imepeleka ng"ombe Monduli wa kuwafidia wafugaji kutokana na ukame huku wakulima wa Kahawa yeye akiwatetea kila siku...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Moja kati ya sifa kuu ya chama makini ni kuweza kujibu hoja ON TIME, wakati ccm wanajiandaa kuja na ripoti yao ya mafanikio walioleta, chadema kama chama makini lazima kufuatilia hoja zao na kuja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salamu wandugu Kwanza naomba nianze kwa kuweka kumbukumbu sahihi, Mimi ni Mtanganyika mwenye HESHIMA na Utanzania. Lakini pia nimechoka na huu uzekezaji unaofanywa zidi wa wazanzibar Siku ya...
8 Reactions
214 Replies
14K Views
Kama mlivyoliona gazeti la Mtanzania la leo Jumamosi mtagundua ghafla limebadilika sera -- yaani kuanzia sasa ni 'twanga chadema kotekote' bila ya huruma au kupumzika. Change hii inatokana na...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
akizungumz hapo awali mbunge wa mbozi magharibi mheshimiwa Devid Silinde amesema wanatunduma waachane na propaganda za ccm kuwa Dr.Slaa anakadi ya ccm,badala yake wawaeleze wananchi ni lini pesa...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa vyama karibu vyote mapambano yao ni kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Tukumbuke kuwa nguvu kubwa inayoisaidia CCM kushinda uchaguzi mkuu ni ushindi mkubwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
​ "Upinzani hauwezi kuiua CCM ila CCM itajimaliza yenyewe kwa tabia yake" - Anne Makinda CCM mazingira ya Kujiondoa yenyewe SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amesema kuwa Chama cha...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimecopy Kutoka kwa WANAHARAKATI CHADEMA SINGIDA. 'MKUTANO MKUTANO' pipoo'z power Chama cha Demokrasia na maendeleo {CHADEMA} Wilaya ya Iramba.. Kinapenda kuwatangazia wanachama wake...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kikao cha Halmashuri kuu ya CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis, mjadala unaoendelea ndani na nje ya ukumbi ni mpango wa kupitisha azimio la kumvua Umeya DK Anatory Aman kufuatia...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
TA MKO LA BAVICHA-SHINYANGA KUHUSU PROPAGANDA DHIDI YA DR. WILLBROD PETER SLAA, KATIBU MKUU WA CHADEMA UTANGULIZI Kwa majuma kadhaa sasa magazeti kadhaa yenye mlengo wa CCM yameshikia bango...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Musoma MJINI Mh. Vicent Nyerere na mbunge wa Iringa Mjini Mh. Peter Msigwa kunguruma kesho tar 19/12/2012 Mjini Iringa kwa kuwahutubia wananchi wa Iringa Mjini na kuwatakia heri ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu hii issue ni serious sana, Ombi langu ni kwa CCM kuwamacho sana pia wanausalama wawe macho na wasichekee kauli zozote zenye huu muelekeo Taarifa za baadhi ya watu kuandaa silaha , mabomu na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WANA JF Kwa muda mrefu tangu niifahamu CCM kuanzia wakati huo tunafundishwa chipukizi na siasa kuanzia darasa la tano, nilishuhudia mchango wa mwanachama kwa mwezi ni sh. tano(5/=) tu. Kwa wakati...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Watu wanaamini kuwa migogoro mingi iliopo sasa chadema itaua chama ila nimwanzo wakutengeneza chama imara kisichotikisika, Kwani..NAAMINI MUNGU ANATAKA IPA NCHI CHADEMA 2015, LAKINI LAZIMA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Kwa mujibu wa taarifa toka kwa Mwenyekiti BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ndg Liberatus Mulebele ni kuwa muda huu kikao cha Baraza Vijana CHADEMA mkoa wa Mwanza kinaendelea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wa na jamii Forum naomba kuleta hapa jamvini, naomba kufahamu je? daftari la kudumu la wapiga kura linaboreshwa kila baada ya miaka mingapi? Na je?uboreshaji kabla ya uchaguzi mkuu ujao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom