MREMA arusha kombora kwa JK...

MREMA arusha kombora kwa JK...

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
547
Reaction score
183
Jana nimemskia mwenyekiti wa TLP bwana Mrema akisema kuwa serikali ya JK imepeleka ng"ombe Monduli wa kuwafidia wafugaji kutokana na ukame huku wakulima wa Kahawa yeye akiwatetea kila siku kutokana na hasara ya kushuka bei,,,na akasema wengine wanasikilizwa au wanaogopwa..

Unafikiri je, anamlenga mzee wa Monduli kuwa anaogopwa na Rais....,huku yeye akipuuzwaa.....?
 
Ndo maana yake, shauri lao waliomchagua Mrema ambaye alikutana na raisi barabarani, sisi wa kwetu monduli hakukutana na raisi barabarani
 
Ndo maana yake, shauri lao waliomchagua Mrema ambaye alikutana na raisi barabarani, sisi wa kwetu monduli hakukutana na raisi barabarani

Ha ha haa! Mlikutana wapi? Nyumba ya wageni?
 
Ndo maana yake, shauri lao waliomchagua Mrema ambaye alikutana na raisi barabarani, sisi wa kwetu monduli hakukutana na raisi barabarani
kwa hiyo mkuu inabidi tuchague mbunge aliyekutana na rais wapi? Chumbani? Ofisini at shuleni? Naomba nijibu mkuu.
 
mrema kwisha habari yake amalizie tu kipindi chake apumzike! hana msaada kwa jimbo letu au kwa taifa pia!
 
Tatizo la Bw. Mrema ni kulalamika bila hoja ya msingi, bei ya kahawa imeanguka hadi huku Bukoba yeye anadhani ni Kiraracha pekee. Reason mzee, usitema pumba, tunakuheshimu hadi hapo. Tunajua umasaini ng'ombe walipukutika muda mrefu uliopita, huko kwako na kwingine kahawa imeaanguka juzi tu unalialia uonewe huruma, na wengine kama wewe je? A cha ubinafsi mzee
 
Jamani msaada. Hivi UDP imeishia wapi? Sijawahi kuwasikia. :cheer2:
 
Back
Top Bottom