Kibanda aanza kazi rasmi New Habari

Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,402
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,402 0
Kama mlivyoliona gazeti la Mtanzania la leo Jumamosi mtagundua ghafla limebadilika sera -- yaani kuanzia sasa ni 'twanga chadema kotekote' bila ya huruma au kupumzika.

Change hii inatokana na kutua kwa Absolmi Kibanda kama Mhariri Mkuu pale New Habari na kapewa hadidu za rejea moja tu -- kwamba kama anataka kumrithi Salva pale Ikulu, basi ahakikishe mtu wake EL anatinga pale Mjengoni mwaka 2015.

Kwa maneno mengina sasa hivi tutaanza kuliona Mtanzania likitetea mafisadi na wale wote wanaodhulumu haki za wananchi wanyonge -- litakuwa linaangalia zaidi wale wenye nazo.

Kwa maana nyingine tena ni kwamba gazeti hilo, (pengine pamoja na lile la Rai) linaingia rasmi katika kundi la magazeti uchwara (gutter press) kama vile Sauti Huru, Hoja, Tazama na kadhalika, na asahau kulifanya liwe serious challenger kwa magazeti makini kama vile Mwananchi na Nipashe.

Angalau gazeti la Tanzania Daima (alikotoka Kibanda) lilikuwa limejijengea heshima yake ya kipekee na kuliwezesha kulipandisha mauzo hadi kuwa mojawapo tishio kwa hayo magazeti mengine makini niliyotaja.

Ni kamari kubwa anacheza Kibanda kwani anavyopanga Mungu katika mustakabali wa kisiasa wa nchi hii -- hata kwa mwezi mmoja ujao -- hakuna anayeweza kujua. Lakini nampa hongera kwa kuwa na ujasiri kuchukua uamuzi mzito kama huo.

Ila ajiangalie pale New Habari -- kuna vigogo na vigogo wa wahariri wakuu wamepita na karibu wote waliondoka kwa manung'uniko makubwa. Hakuna haja ya kutaja orodha. Pale pana pepo mbaya sana.

KILA LA KHERI MR KIBANDA!

WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Points
1,195
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 1,195
Mbona unaeleza mambo ya kufikiri wewe na kichwa chako mkuu?,huu ni upuuzi mkubwa sana na sijui kama uko sawa?,hibi unaweza kweli kuamka na kuweka kitu kama hii kwa wanaume watu waliokamalika kiakili?,hivi kazi yako wewe ni kufuatilia maisha ya wanaume?!,acha hiyo tabia ni mbaya sana mwisho wa siku itakufikisha pabaya,narudia wacha hiyo tabia ni mbaya sana,kuna jamaa huku kwetu kazi yake ilikuwa ni hiyo ya umbea na kufuatilia mambo ya watu na hasa wanaume wenzake,alichofanyiwa ni isiri yake lakini nadhani umenielewa namaanisha nini?kaa mbali sana na hii kitu na usirudie achana na maisha ya mwanamume!!!
 
N

Noboka

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
1,184
Points
1,250
N

Noboka

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
1,184 1,250
Mbona unaeleza mambo ya kufikiri wewe na kichwa chako mkuu?,huu ni upuuzi mkubwa sana na sijui kama uko sawa?,hibi unaweza kweli kuamka na kuweka kitu kama hii kwa wanaume watu waliokamalika kiakili?,hivi kazi yako wewe ni kufuatilia maisha ya wanaume?!,acha hiyo tabia ni mbaya sana mwisho wa siku itakufikisha pabaya,narudia wacha hiyo tabia ni mbaya sana,kuna jamaa huku kwetu kazi yake ilikuwa ni hiyo ya umbea na kufuatilia mambo ya watu na hasa wanaume wenzake,alichofanyiwa ni isiri yake lakini nadhani umenielewa namaanisha nini?kaa mbali sana na hii kitu na usirudie achana na maisha ya mwanamume!!!
Vipi wewe we ndiyo Kibanda? Maake naona unatoka povu jiiiiingi! Kibanda si mtu mdogo kwenye tasnia ya habari hivyo lazima nyendo zake kama zinafahamika zikijulikana hapa si suala la kufuatilia wanaume? Kumbuka Kiband ni M./kti wa baraza la wahariri Tanzania, au hujui nguvu ya vyombo vya habari kwa mstakabali wa nchi?
Atahukumiwa kwa atakayoyafanya huko
 
K

katalina

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
264
Points
0
K

katalina

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
264 0

Mkuu, huyo kaweka mawazo yake na wewe weka yako. M-Challenge kwa hoja na siyo hivyo vitisho vyako!
JF tuko huru kila mmoja kutoa maoni yake bila ya kutukana au kuvunja sheria.
 
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 0
Wanarudisha utumbo uleule wa akina Balile.
 
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
1,959
Points
2,000
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2012
1,959 2,000

Acha biti, jenga hoja
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Points
1,195
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 1,195
Vipi wewe we ndiyo Kibanda? Maake naona unatoka povu jiiiiingi! Kibanda si mtu mdogo kwenye tasnia ya habari hivyo lazima nyendo zake kama zinafahamika zikijulikana hapa si suala la kufuatilia wanaume? Kumbuka Kiband ni M./kti wa baraza la wahariri Tanzania, au hujui nguvu ya vyombo vya habari kwa mstakabali wa nchi?
Atahukumiwa kwa atakayoyafanya huko
Inakusaidia nini na hasa ukishabandika hivi?!
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Kwa ninavyoona gazeti la Mtanzania halitakuwa na mchango wowote chanya kwa CCM, Zaidi ya kumwinua Lowassa na kambi yake ndani ya CCM dhidi ya Kambi ya Sitta na Membe.
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Points
1,195
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 1,195
Acha biti, jenga hoja
Biti la nini wewe kwa akili yako kama kweli hiyo user Name yako inavyoonesha unaona ni sahihi kumfuatilia mwanamume mwenzako?hivi unajua matokeo yake?!!,hebu mwache ajibu kuna mambo ya msingi akishanijibu nitaanza kujadiliana naye kwa hoja!!!
 
haya ni mawazo yako na yanakubalika,lakini kumbuka hata Lowasa ni Binadamu kama wale ambao wanajengwa na magazeti kama Tanzania Daima!!!!!
 
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 0
Watalia siku CC itakapochinja jina la Lowassa. Let's wait and see
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,969
Points
1,225
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,969 1,225
Mbona unaeleza mambo ya kufikiri wewe na kichwa chako mkuu?,huu ni upuuzi mkubwa sana na sijui kama uko sawa?,hibi unaweza kweli kuamka na kuweka kitu kama hii kwa wanaume watu waliokamalika kiakili?,hivi kazi yako wewe ni kufuatilia maisha ya wanaume?!,acha hiyo tabia ni mbaya sana mwisho wa siku itakufikisha pabaya,narudia wacha hiyo tabia ni mbaya sana,kuna jamaa huku kwetu kazi yake ilikuwa ni hiyo ya umbea na kufuatilia mambo ya watu na hasa wanaume wenzake,alichofanyiwa ni isiri yake lakini nadhani umenielewa namaanisha nini?kaa mbali sana na hii kitu na usirudie achana na maisha ya mwanamume!!!
Pole sana mkuu
 
only83

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,341
Points
2,000
only83

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,341 2,000
Mkuu ni huyu Absolum Kibanda aliyekuwa Tanzania Daima na analiye na kesi ya uchochozi?
 
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Points
1,195
Age
40
WABHEJASANA

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 1,195
Mkuu, huyo kaweka mawazo yake na wewe weka yako. M-Challenge kwa hoja na siyo hivyo vitisho vyako!
JF tuko huru kila mmoja kutoa maoni yake bila ya kutukana au kuvunja sheria.
Mkuu hapa hakuna vitisho isipokuwa ni ushauri kwake!! hii Thread yake kwangu mie naona wala haona maana humu ndani,na ndiyo maana nimemuuliza hayo maswali,lakini kubwa zaidi,huyu jamaa amewhi kushmbuliwa sana humu kisa makala ya kumfagilia Kinana,sasa ninapoiona inaonekana jamaa hakupenda Kibanda aondoke Tz D!!!! lakini anapswa kufahamu kwamba hiyo ni kazi kesho na kshokutwa atahamia gazeti lingine,kwa hiyo anakosea kwa maneno yake hayo sijui kama umayasoma?!
 
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Messages
1,959
Points
2,000
DR. MWAKABANJE

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2012
1,959 2,000
Biti la nini wewe kwa akili yako kama kweli hiyo user Name yako inavyoonesha unaona ni sahihi kumfuatilia mwanamume mwenzako?hivi unajua matokeo yake?!!,hebu mwache ajibu kuna mambo ya msingi akishanijibu nitaanza kujadiliana naye kwa hoja!!!
Muulize hayo mambo ya msingi wote tuyaone kama yeye alivyoweka hadharani, hata kama watu wanafanya vitu vya kubomoa nchi yetu tusiseme eti tutakuwa tunawafuatilia wanaume na kumbuka hilo neno hata limetumika conotetively
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
Watalia siku CC itakapochinja jina la Lowassa. Let's wait and see
Nani wakulichinja jina la Lowassa ndani ya CCM?
Kamati kuu? Halmashauri kuu?
Mkutano mkuu? Kikwete? Mangula? Kinana?
 
saronga

saronga

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
909
Points
195
saronga

saronga

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
909 195
Mkuu, huyo kaweka mawazo yake na wewe weka yako. M-Challenge kwa hoja na siyo hivyo vitisho vyako!
JF tuko huru kila mmoja kutoa maoni yake bila ya kutukana au kuvunja sheria.
Huyu atakuwa Mke wa Kibanda, manake hili povu alilotoa linatisha
 
S

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
3,598
Points
2,000
S

SG8

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
3,598 2,000
Gazeti la Mtanzania litaanza leo kuwa uchwara? Hivi bado kuna watu wanalisoma? Mimi niliacha mara moja tangu aingie pale Deodatus Balile
 
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
2,098
Points
2,000
50thebe

50thebe

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
2,098 2,000
ndio kusema Kibanda anabadilisha "tipping point" ya ccm na mafisadi kuifanya iwe "turning point" kuelekea chaguzi zijazo? halafu mwenyekiti wa MCT ndio anaruhusiwa kutumia political ideology na values za kifisadi ili kutengeneza evidence zitakazoiacha CCM ya mafisadi madarakani? hivyo kama mwenyekiti anakengeuka hivi nani ataongoza na kusimamia maadili ya uandishi wa haki,usawa na staha?
halafu kesho na keshokutwa tuseme watoto wa kitanzania hawana maadili kwa kuwa vyombo vya habari vya kimagharibi vinaonesha picha na video chafu kwenye youtube ama sio? kweli mwl nyerere aliona aliposema mvunja nchi ni mwananchi
 
Forum statistics

Threads 1,283,762
Members 493,810
Posts 30,799,990
Top