Moja kati ya sifa kuu ya chama makini ni kuweza kujibu hoja ON TIME, wakati ccm wanajiandaa kuja na ripoti yao
ya mafanikio walioleta, chadema kama chama makini lazima kufuatilia hoja zao na kuja na hoja mbadala za nguvu.
kwa mfano, kama watakuja na hoja ya mafanikio yao ktk kukabiliana na rushwa, cha msingi ni chadema kama chama
makini kuja na namba zinazoonyesha ukweli ni upi.
i hope watu wa vyombo bado wanaamini ktk equal time kutoa nafasi sawa kwa kiongozi wa upinzani kutoa hoja mbadala
na pale wanapostahili pongezi basi wapewe pongezi kwani huo si udhaifu bali ni dalili ya kukua kisiasa na ni ustaharabu.