idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,306
- 38,511

akizungumz hapo awali mbunge wa mbozi magharibi mheshimiwa Devid Silinde amesema wanatunduma waachane na propaganda za ccm kuwa Dr.Slaa anakadi ya ccm,badala yake wawaeleze wananchi ni lini pesa za uswisi zitarejeshwa..akimwongelea Eddo amesema Anatumiwa na ccm kujaribu kuvuruga Chadema lakini mbinu zao zote zimegundulika na akasema hakuna vijana wa kuandamana kwa sababu waganga njaa wachache. Asema dr.Slaa ni jembe ambalo ccm linawanyima raha ndio maana hawalali bila kumtaja...awali alielezea mafanikio mbalimbali china ya uongozi wake ikiwemo ujenzi wa barabara za katikati ya mji kwa kiwango cha lami na changarawe kwa barabara za pembezoni mwa mji.