Wanabodi heshima kwenu
Baada ya nafasi ya Urais awamu ijayo 2015 kujadiliwa kwa kuangalia Chama kinachoweza kushinda, Wanasiasa Wanaume ambao ni presidential materials.
Na hivi karibuni...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti...
Nivumilie:
Sina kadi ya Tanganyika African National Union (TANU) - chama kilichoongoza wananchi kupigania uhuru. Sikuwahi kukata kadi ya chama hicho. Lakini nina kadi ya Umoja wa Vijana wa...
Wakuu,
Hebu tuwataje viongozi wa serikali kwenye nafasi mbali mbali ambao wao hawastahili kuwepo katika nafasi hizo, na uwepo wao ndiyo kikwazo cha maendeleo! hawa wamewekwa tu ili kujaza nafas...
Mkakati wa CCM chini ya safu mpya ya uongozi wa Mh Kinana unaonekana ni mwiba kwa vyama vya upinzani hasa CDM.Baada ya kutangazwa mkakati wa kutoa taarifa kwa watz juu ya muelekeo wa utekelezaji...
Ukimsoma Kinana na maneno yake ukimsikiliza Nape na propaganda za chama chake wenye akili watagundua chama tawala kimekosa sera, itikadi, utendaji na uhalali wa luongoza nchi.
Kinana anatoa kauli...
CCM imezidi kuendeleza dhulma zake kwa wananchi wa kanda hiyo kwa kuwakosesha soko la uhakika wa zao za korosho hali iliyopelekea wakulima wa zao hilo kutoa mazao kwa mkopo kwa wanunuzi...
Asubuhi hii, waziri wa Wizara wa nchi ofisi ya wazir mkuu sera na uratibu.. Ndugu Wilium Lukuvi kupitia kipindi cha kumekucha - ITV ametumia muda huo kuzungumzia mambo meengi ambayo kimsingi...
Watanzania wamelimika kiasi wnajua nini kinafanyika tofauti na zama zile za ujima.Watanzania wa leo si wale wakuwaburuza utakavyo ama wakulishwa maneno bila ya kuyapima.Wameshagundua kuwa mwerefu...
Serikali ina kiri wizara zake zinanuka rushwa,matamko haya yana semwa na watendaji wake ambao ndiyo wakuu wa wizara hizo.Ikiwa nchi yetu na serikali yetu tukuka ni waumini wa utawala bora kuna...
Nimeshitushwa na taarifa ya serikali ya ccm kuanza mpango wa kutangaza mafanikio ya serikali yake kwa sababu zifuatazo;
1. Mafanikio si lazima uyatangaze kwani yanaonekana
2. CCM imeua viwanda...
KATIBA YA ZANZIBAR.
1. Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la
Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka
na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa...
Wewe Nape kila ulichokianzisha kilifeli
Ulianzisha zengwe la jengo la umoja wa vijana ukafukuzwa
Ulianzisha fukuza mafisadi ukafeli
Ulianzisha vua gamba ukafeli
Ukaanzisha zengwe la kesi dhidi...
Imekuwa ni kawaida ya Katibu Mwenezi wa CCM Nape Nnauye kumwita Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbrod Peter Slaa,'Babu'. Kuita huku kuna kera wapenda siasa za staha na za kujenga. Kunakera sana...
Chonde chonde wanaJf naombeni kujua kama kweli wakati wa uchaguzi 2010 katika baadhi ya wagombea wa cdm walifanyiwa hujuma kwa baadhi ya mamluki waliochukua form za kugombea na kutokomea nazo ktk...
18 DECEMBER 2012
Na Rehema Maigala
MWENYEKI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema mtandao wa mafisadi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), umefanikiwa kupata uongozi kwa...
Habari wana Jf,
Usiku huu nilipokuwa nikiangalia idhaa ya Kiswahili ya BBCkupitia Star TV, nimeona kuwa Jacob Zuma amemushinda Naibu wake wa Rais kwakishindo kuongoza ANC. Taarifa hii...
Mimi kwa maoni yangu nafikiri hakuna chama chenye historia nzuri ya rushwa na uongozi mbaya kama sisiem. Kwanini nasema hivyo?Nadhani mtakumbuka ilifikia mahali hata mwenye uwezo wa kukemea hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.